Search results

  1. K

    Life after a very sweet love/relationship

    Do you want to completely and permanently delete those memories? Do only one thing...! Initiate a strong, and unsolvable conflict with your ex- ....! It is from there, your minds will never waste time to think getting back to the past....!
  2. K

    Tuorodheshe MAAJABU yanayoandaliwa na wanadamu ili kuuhadaa ulimwengu

    11. Kujivua gamba..... 12. Mvua ya mabomu.... 13. Mafisadi ni wachapakazi, watu safi Tanzania.... 14. Ahadi 86 kwa mwaka mmoja.... 15. CHADEMA wakiichukua dola wengine watahama nchi, na wengine kujinyonga.... 16. Waziri Mkuu kudanganya taifa.... 17. Polisi kuiba maiti mochwari.... 18. Hotuba ya...
  3. K

    CHADEMA bwana

    Binafsi nimefurahi sana huyu mchanga anavyowachangamsha kwenye siasa......! Hata ukifuatilia vema amekuwa akishindwa kujizuia kuto "Likes" katika baadhi za comments fulanifulani.....!
  4. K

    Viongozi wa wilaya CHADEMA Singida wahamia CCM

    Na mimi, na wengine 53 kutoka Monduli tumehamia CHADEMA kutoka CCM....! So, ngoma droo....!
  5. K

    Wanawake ambao HAWAJATUMIKA: Vyuoni wapo wengi tu

    Umesahau siku hizi zipo seals za kichina? Shauri yako unayedanganyika...! Mie sidanganyiki...!
  6. K

    Kufumania na kufumaniwa kipi bora?

    Japokuwa inauma...! Si dhambi wala si kosa kufumania, lakini ni upumbavu, ujinga, aibu, ni dhambi umetokea hadi umefumaniwa....! Labda nikushauri uingie maabara na ujaribu yote, then uje na majibu....!
  7. K

    Naomba Msaada

    Si ueleze tu moja kwa moja kuwa ni wewe? Kwanini uombe msaada nyuma ya pazia?
  8. K

    Ni kitu gani...?!

    Bibi Lizzy, haya yote ni ya kusadikika....! Maana katika kila ndoa lazima baadhi ya hayo yatokee...! Cha msingi ni kufahamu yafuatayo; Mara zote mwanamke humkubali mwanaume, pamoja na mapungufu kwa matumaini kwamba huyo mwanaume atabadilika....! Lakini wanaume hawabadiliki....! Mara zote...
  9. K

    Mwanamke akikupenda...

    Duh...! Mkuu naomba unifafanulie hapo pekundu....!
  10. K

    Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

    Mkuu kuna haya yafuatayo; Huwa wanasema wanandoa wakiishi pamoja kwa muda mrefu hufanana....! Tafadhali sana, kufanana kwao sio kwa sura, bali kwa tabia....! Hivyo, kama sio mkeo kakuridhisha tabia hiyo, basi uwe makini usije ukamridhisha yeye siku za mbeleni....! Uelewe kuwa wanawake wengi...
  11. K

    How can you let it go?

    Pole sana mamiii....! Ninavyoamini mimi ni kwamba kambi zingine zote zinaweza kuvunjwa kwa amani na zikavunjika milele...! Lakini sio kambi ya mapenzi...! Hivyo, inaonekana kambi yenu mliivunja kwa amani mkiamini kuwa inawezekana, na sasa uhalisia unakushinda....! Wahenga walisema usinyee kambi...
  12. K

    Je hii ni nzuri

    why not?
  13. K

    Nisaidieni wana jf.

    Can you have peace of mind in whatever you may decide?
  14. K

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Hata yeye asipojinyonga sheria itamnyonga....!
  15. K

    Ukimfumania mwenzi wako nyamaza

    What? Ever you tested your suggestion? If yes, to what extent did you performed? I think nature and time will tell you what you can do....!
  16. K

    Nina wakati mgumu; kisa kibuti....

    Great thinker..... hahaaaa! Nimerudi kwa kuwa nahitaji ushauri.... Okay sir.....!
  17. K

    Nina wakati mgumu; kisa kibuti....

    Jamani nimekuwa na my wife, ambaye tumekuwa tukiishi vizuri sana, japo kama ilivyo kawaida katika maisha tumekuwa tukipishana hapa na pale na baadaye tunarudi vema kabisa.... Lakini kikubwa zaidi ni kwamba nimekuwa na nyumba ndogo ambaye my wife hakuwahi kuijua...! Juzi nyumba hii ndogo...
  18. K

    Je, kwa nafasi yako wewe hili ungelifanyaje?

    Ukiwa mwanaume, umeoa na umekuwa na mzunguko wa hapa na pale katika kutafuta mkate wa familia. Umebahtika kumpata mtoto wako mmoja....! Umekuwa ni wa dunia ya leo na hivyo ukawa mmepanga na mkeo kuweka interval fulani katika maamuzi ya kumtafutia mwana wenu mdogoye...! Lakini ukiwa safarini...
  19. K

    chadema ishukuru kupata wabunge 23!

    Avatar yako uneiweka sura yako kujinadi.....! Hata tabia yako inaonekana wazi kabisa.....! Kamwe sibishani na ........, maana nami nitaoneka .......... ilhali nimekamilika....!
  20. K

    Thread za Babu Loliondo

    Thanks for the message....! Nakuombea wewe na wengine wote wapate kuponywa magonjwa yao yote....!
Back
Top Bottom