Search results

  1. Inog01

    Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

    Kwa Vile Urusi ana maadui wengi na wakubwa kwa sasa naamini watafanya uchunguzi kwa kina nani tupo nyuma ya huo mango kabla hao magaidi hawajapelekwa kwa Sir God.
  2. Inog01

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Shukrani kwa Elimu nzuri,swali langu kuna baadhi wanapozaliwa wanapewa majina lakin ikifika umri wa kwenda shule wanabadili majina ndo hayo wanayatumia pengine maisha yote na kuacha kabsa lile la utotoni.Je hiyo inaathiri vipi nyota kwa upande wa jina?
  3. Inog01

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mtatoboa ???
  4. Inog01

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Goli la super sub
  5. Inog01

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Arsenal mpaka sasa tunagoli mbili WC
  6. Inog01

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Muwe na siku njema mashabiki wa arsenal,nyie wengine mtajijua
  7. Inog01

    Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

    Mambo ya online ni mtiti
  8. Inog01

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Hiyo ya nani mkuu
  9. Inog01

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Bado sijachukua hatua ila namba ninayo tayari
  10. Inog01

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Uzi huu ni most wanted,ni Moja ya nyui Bora kabsa Maya Angelou Umesaidia wengi ni vile tu watz tunajifanyaga hatufatilii mambo ya waganga
  11. Inog01

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Je sisi ambao ni life style labda tuanze ya kukaa miaka 2 ,mimi wastani miezi mitatu mara moja.
  12. Inog01

    Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    Niko hapa Mgama kwenye Shamba langu la nyanya,unataka kujua wapi utapata shamba ulime parachichi ama miti?.
  13. Inog01

    Swali: Kuna mtu amewahi tumia chumvi ya mawe na ikamsaidia?

    Aisee kuhusu hii maada ya chumvi, nilikuwa najiuliza inawezekanaje,basi kuna dada ni rafiki yangu tunashare status WhatsApp siku hizi naona unapost watu wakitoa feedback juu ya matokeo ya kutumia chumvi nikawa sielewi na kumuuliza siwezi.Leo nimepata majibu. Kumbe ameijua hii siri anawasaidia...
  14. Inog01

    Nnahitaji software ya kuedit picture ya kununua kama unayo

    Tafuta photoshop mkuu,kwanzia cc2015 lakin nakushauri ukipata cc 2019 ni njema zaidi halafu jinsi ya kuitumia unaweza mtafuta mtu mwenye uzoefu au uanze kukesha na tutorial youtube,kila la kheri
  15. Inog01

    Binadamu hana jipya hapa duniani zaidi ya kuwa ni mfugo unaosubiri kuliwa tu

    Mkuu hii kitu mimi pia huwa inanifikirisha,unajua ilimradi ukiwa hai lazma uhangaike hapa duniani,ndo maana mimi huwa nasema tunawajibikia uhai,huwa nashangaaa wanaposema uhai tumepewa bure hakuna cha bure ,ndo maana mtu akifa japo hatujui anakoenda ila huwa tunasema amejikomboa na shida za...
  16. Inog01

    Warusi na wa Ukraine ni kabila moja na hata lugha zao zinashabiana

    sasa kama madogo hawamsikilizi mkubwa wao ? Acha moto uwake
Back
Top Bottom