Search results

  1. T

    Kwa Hali Niliyoishuhudia Leo Old Bagamoyo Rd: There is No Way CCM Inaweza Kushinda!

    Pasco kwa mtu makini kama wewe(kwa kadi right ya maadili yako), ulipaswa kujua hilo toka mwezi wa Tano. Mie nimesikia hilo mwezi wa saba. Hakuna namna mkuu, Lowassa ni sheeder kwa ccm.
  2. T

    Mpiga mbinja wa Hamelin na Siasa za Tanzania za Leo

    Watoto wale walienda kwa dizaini ya mafuriko kama hayahaya
  3. T

    Mpiga mbinja wa Hamelin na Siasa za Tanzania za Leo

    Ni msemo wa Aristotle yule wa kale, kuwa 'Binadamu ni mnyama mwenye hulka ya kupenda siasa'-Sababu ya msemo huu ipo wazi kuwa, siasa huratibu maisha ya mtu mmoja mmoja na watu wote kwa ujumla katika jamii husika. hivyo, Siasa ikiwa mbaya, bila shaka maisha ya mtu mmoja mmoja na watu wote kwa...
  4. T

    Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

    Non analytical bafoon. Hawahami hao alaaa!
  5. T

    Vijana wazalendo waliokuwa wanaelekea Ikulu wamekamatwa!

    Warudishwe mpaka geita kwa miguu.... ujumbe wao utakuwa umesikika.
  6. T

    Vijana wazalendo waliokuwa wanaelekea Ikulu wamekamatwa!

    Rais amefanya vema Hatuwezi kuwa na nchi ambayo baadhi ya watu wanashabikia vurugu na kukosekana amani tu. Hao vijana hawajatendea haki miili yao na hawajalitendea haki taifa. Wafunzwe tu! Naomba tuwe na amani wakati rais akiwapa mafunzo ya kuwa raia wasikivu Sifa za kipuuzi kabisa
  7. T

    Werema: Hatuna waandishi wa habari za uchunguzi Tanzania bali wahemea kodi za pango

    Pasco poleni sana waandishi wenye moyo wa dhati wa kuibua mambo yaliyo nyuma ya pazia lakini yana maslahi kwa taifa. Mimi binafsi niliguswa sana na taarifa zako kuhusu uzulumaji katika miradi ya gesi.werema mpotezeeni tu kajeruhiwa
  8. T

    Pinda, kuwa muungwana na jasiri ujiuzulu

    Kwa hali iliyopo, na kwa uhuni uliofanywa na PAC, ni vema Rais awasafishe hawa viongozi mbele za umma. Wameonewa na kuchafuliwa bila sababu. Hoja nyingi ni za kihuni na kishabiki. Hasira na ujeurijeuri ndo ulitawala. Naaminu Rais atatenda haki.
  9. T

    Fulikunjombe: Mke wa Maswi aliniangukia

    When you surround an army, let an outlet free. Do not press a desperate foe too hard~ sun tzu
  10. T

    Wabunge wa Kamati ya PAC Wachukuliwe Hatua Kali za Kisheria

    Uhuru wa mawazo unakuwa wapi katika hili? JF lazima iwe huru isiwe ni sehemu ya watu wa mrwngo au fikra zinazofanana.
  11. T

    Wabunge wa Kamati ya PAC Wachukuliwe Hatua Kali za Kisheria

    Naunga mkono hoja. Maelezo yako haya nivema kama yangewekwa katika uzi mpya. Ni muhimu sana tukaujadili kama uzi.
  12. T

    Suala la ESCROW limejaa hisia kuliko hoja

    Kafulila katika hili si mkweli. Binafsi imeniuma kuona kuna watu wanatafutavushindi wala si ukweli. Katika hili mimi sioni mantiki. Ushaniki ni kitu kibaya sana hususan kwa mambo yanayoweza kuhatarisha amani ya taifa. Kafulila, tuhurumieni wenzenu huku. Zungumzeni ukweli toka nafsini mwenu.
  13. T

    Wabunge wa Kamati ya PAC Wachukuliwe Hatua Kali za Kisheria

    PAC kama kamati na kwa nafsi mojamoja ya kila mjumbe, wana hoja ya kujibu
  14. T

    Escrow: Je, Watanzania ni ignorant au tumelogwa? Tuache cherry-picking kutafuta Mbuzi wa Kafara!

    Siongezi neno kaka.halipo la kupunguza. Mifano imeshiba. Ahsante
  15. T

    Suala la ESCROW limejaa hisia kuliko hoja

    Watanzania tulio wengi ni shida! Hili suala la escrow nionavyo mimi ni jambo rahisi sana. Fedha za escrow haziwezi kuwa ni za umma kama tunavyosadikishwa kwa nguvu kubwa. Kuna upotoshaji wa wazi tena ni wa makusudi. Inamaana umeme Haukuzalishwa? TaNesco walikuwa wanalipa against what...
  16. T

    Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

    Bado ana njia ndefu ya kuiendea
Back
Top Bottom