Search results

  1. G

    TAHURI: Tumuunge mkono Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona

    Ndugu, Hata wao wenyewe wanagombania mgao wa chanjo toka kwa watengenezaji! Foleni ni kubwa. Siyo kwamba wanataka sisi ndo tu pate. nye
  2. G

    Tahadhari kwa mliojipanga kununua hisa za makampuni ya simu...

    Ndugu umefanya vyema kuleta hoja hii ktk jukwaa. Ni jambo la muhimu watu kujadili na kuelimishana Ila sasa unaharibu kwa kupinga ama kuponda ambayo wengine pia wanayafahamu pengine kuliko Wewe. Kama lengo ni kuwatahadharisha wasiojua, basi wacha wadau pia waongezee pale ambapo hukumalizia na...
  3. G

    Tahadhari kwa mliojipanga kununua hisa za makampuni ya simu...

    Hiyo siyo sahihi ndugu! Kila kituo cha mawasiliano kuna assets za namna mbili kubwa 1) miundombinu (infrustructure) kama chumba, lile li mnara ambalo juu yake wanaweka antena za kurushia mawimbi, na mifumo ya umeme 2) mitambo halisi ya kupokea na kurusha mawimbi ambayo imefungwa ndani ya...
  4. G

    Tahadhari kwa mliojipanga kununua hisa za makampuni ya simu...

    Ndugu mtaalam, asante kwa nia njema ya kufahamisha wengine kile unachoamini kuwa unakifahamu. Pamoja na nia njema hiyo, hoja yako haijajengwa na "facts" za swala hili. Ukweli ni kwamba A)makampuni haya yametakiwa kuuza hisa kwa mujibu wa sheria. Wao wenyewe wamejitahidi ku-lobby wasiuze...
  5. G

    BACHELOR OF SCIENCE IN ELECTRONIC AND COMMUNICATION

    Ina itwa Bachelor of Science in Electronic Sciences and Communications. Ni kozi pana kama jina lake lilivyo. Ni pana kuliko hiyo ya telecoms ama kozi za computer sciences. Ina husu sayansi ya umeme mdogo (electronics) kama vile mifumo ya computer, simu, tv, radio, mashine za kielektronic...
  6. G

    G.P.A ya mbunge David Silinde

    Hoja dhaifu sana hii ndugu! GPA nzuri haileti uhakika wa utendaji mzuri ktk kazi, biashara, uongozi. Hayo madaraja ya kitaaluma yanafaa tu ktk kazi za taaluma kama ualimu. Maprofesor wangapi wamepewa kazi za uongozi na wamevurunda? Angalia tu hata baraza la mawaZiri la sasa. Wako ma prof, drs...
  7. G

    Wolper akiwa ukweni

    CHAZA, Masasi wapo kabila gani? Wanakula panya ama hawali?
  8. G

    Master Of Bling Bling

    Autorun, Labda wapo ambao wangefanya hivyo, ila mimi siyo mmoja wao. My comment would remain the same, regardless of the race.
  9. G

    Master Of Bling Bling

    Huyu either ni mchawi, au ana matatizo ya akili, au vyote pamoja.
  10. G

    Nimeumia sana

    Pole,ni kuwa alikuwa hakuamini, hivyo anadhani mtoto si wake. Au tuseme haamini kuwa huyo mtoto ni wake.
  11. G

    Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

    Swali la nyongeza kwa wanaforum: Kwa nini watu huhitaji watoto???
  12. G

    Wizi wa nyaraka Ikulu: Uzalendo au usaliti?

    Pengine watu bado wana'chukua kitambo kufikiria' kabla hawajajibu. Ila pia, huo uhakika umepatikanaje? Baadhi yetu tunaikosa 'background'.
  13. G

    JK awapuuza Kinana na Nape: Mawaziri mizigo wapeta

    Naunga mkono hoja!
  14. G

    THANK YOU MY PRESIDENT NOW I HAVE MY PEACE OF MIND BACK!!: Sirudishi Kadi Tena I Love CCM!!

    Mumnenelaje nyee, ago magayo duh! Awo Wutoce!
  15. G

    Naiba, nakiri ila sijutii hata kidogo

    .....Point yangu mkuu ni kwamba masha yako tangu ukatishwe tamaa na mpenzi wako wa kwanza yametawaliwa na minyororo ya kisaikolojia na unahitaji kujinasua KIUME ili upate fursa ya kutimiza kikamilifu yote uliyoumbwa uyafanye ktk dunia hii. Niwie radhi kama utahisi nimekuhukumu. Ndugu...
  16. G

    Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    Wako kimyaaaa! Wanachoweza wao huwa nikuongelea watu tuuu, mipasho tuuuu! Na matukio. Kama Ndugai vile! Ktk hoja ni zero!
  17. G

    Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    Naam, jarida maridhawa miaka ile la Sani, au siyo?
  18. G

    Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    Loh! Huu uchambuzi wako ni maridadi kwelikweli! Loh! Nimecheka mbaya!
Back
Top Bottom