Search results

  1. isk

    Wanawake LIVE: Mange Kimambi azungumzia maisha yake binafsi, mipango na ndoto ya kuolewa na mzungu

    Kujua kuongea kizungu ndio kusoma mbona mnatia aibu
  2. isk

    Wanawake LIVE: Mange Kimambi azungumzia maisha yake binafsi, mipango na ndoto ya kuolewa na mzungu

    Ivi ndoa inasomewa wapi mange mwenywe hajitambui
  3. isk

    Msaada: Mawasiliano na Azam Tv

    Bonyeza *150*50*5# ok utapata maelekezo na namba zao utapata humo
  4. isk

    Natafuta kioo cha flat Tv (SINGSUNG)

    Ofa yako
  5. isk

    Baada ya Dr Slaa na Katambi nani anafuata?

    Masikini chadema jini wamelipokea wenyewe sasa linaanza kuwazuru bila wao kujua ifikapo anafata SUMAYE wa mwisho kabisa LOWASA ndio kitakuwa kifo cha chadema
  6. isk

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    JAMANI MBONA MNAMUANDAMA PENGINE KALIZA MSOMO ANAANZA KAZI MSHAHARA WENYEWE HUWEZI KUUBAJETI UKAPA JAPO MTAJI WA KUFUNGUA HATA GENGE MAANA MSHAHARA UNAISHA KABLA HATA YA MWEZI KUISHA SIKU ZINAZO BAKI WANAKOPA WANA MADENI HAO USIPIME
  7. isk

    CHADEMA kuweni makini na hili!!

    CDU UJERUMANI & CDM TANZANIA KWANINI WASITUMIE UDINI WAKATI NDIO MLENGO WAO
  8. isk

    Mume anahitajika 36+

    Wewe tabia za kike za kujua thamani ya mume au unataka mume ajue thamani yako alafu.wewe usijue thamani ya mume
  9. isk

    Tujadili faida na hasara ya kulipa kodi ya nyumba kwa kila mwezi na kwa miezi 6 au mwaka

    Mimi binafsi naona ni vizuri sana kwa sababu ilikuwa inafika wakati mpangaji anamaliza kodi yake alafu hana ela ya kulipa miezi.sita au mwaka akimwambia mwenyenyumba ampe kiasi alicho nacho mfano miezi mitatu mwenye nyumba hataki sasa anamwambia amuachie chuma/nyumba yake sasa inafaa sana...
  10. isk

    SINGIDA: Mtuhumiwa wa tukio la ujambazi ameuliwa na jeshi la polisi

    Muuaji ndie mtoa habari matango poli tunalishwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. isk

    Lisu ni mpinzani halisi

    Yaani Tundu Lisu natamani awe.mgombea 2020 huyu ndie mpinzani wa kweli anaweza kutuvusha ccm inataka wapinzani goigo lakini.Lisu.anawapelekesha mputa.mputa mpaka.wanakoma Sent using Jamii Forums mobile app
  12. isk

    Nakukumbusha tu mwanaume mwenzangu

    Mwanamke lazima umpendezeshe unapeleka shopping m inakatika hata ulicho nunua hakionekani wewe unawaza10000 hata usafi wa.kucha haiwezi kutosha Sent using Jamii Forums mobile app
  13. isk

    Dodoso la mgeni: Je, vitabu vya Biblia na Quran ni maono au kazi ya fasihi?

    Ndugu yangu mleta mada hivi vitabu ni maona na sababu zipo kwanza ukitakakujua kwanza kuwepo kwa vitabu hivi kwa mda lefu sana ni ishala tosha maana toka viandikwe bado hakuna aliye jaribu kuandika kitabu kama hiko hata hao tunao waita wasomi wakubwa duniani wameshindwa lakini kuna mambo...
  14. isk

    ARUSHA: Cafe la Aziz yafungwa na TRA

    Mashene hizo sio leseni wala TN maana wameamua kutumaliza kwenye mashine.zao zinaanzia laki saba kwenda juu ila makato yao sasa faida yote wanachukua wao unabaki na.kidogo mfano mimi yalisha wai kunikuta niliuza mali za milion moja na laki.nne nikapata faida ya.laki.mbili na kumi wao walinikata...
  15. isk

    Hawa Wakazi Wa Dar-Es -Salaam Kwa Kweli Maisha Yao Yanachanganya Lakini Yanafundisha Saana

    Bashite mtoto king'ast anadili na watu wake wabongo hawana mpango nae choko tu Sent using Jamii Forums mobile app
  16. isk

    Hawa Wakazi Wa Dar-Es -Salaam Kwa Kweli Maisha Yao Yanachanganya Lakini Yanafundisha Saana

    Daudi for lena huyo bongo achana nayo kabisa watoto wa.mama hawakai wanaukimbia wanaishi wanaume ngosha kataka kuwaondo wakamwabia utaondoka wewe sisi utatuacha ukitaka mjinga wa mwisho utamkuta bongo na ukitaka mjanja wa kwanza utamkuta bongo na ukitaka msikini wa kwanza utamkuta bongo na...
  17. isk

    Hawa Wakazi Wa Dar-Es -Salaam Kwa Kweli Maisha Yao Yanachanganya Lakini Yanafundisha Saana

    Shikammoo mleta topic Dar es salaam ni jiji la gharama watu wake hawaishi kuhamahama ukizubaa unapigwa.mtama Dar es.salaa ni.chemsha bongo.ukiweza kuishi umehitim.chuo.kikuu hata kama haujasoma akili.ndio.inatumika zaidi kama ulivyo sema darali hana nyumba lakini anapangisha.nyumba kama sio...
  18. isk

    Hawa Wakazi Wa Dar-Es -Salaam Kwa Kweli Maisha Yao Yanachanganya Lakini Yanafundisha Saana

    Dar es salaam njoo.na.akili zako tabia utaikuta huku huku Sent using Jamii Forums mobile app
  19. isk

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kwani professor unasomewa wapi mpaka uonekane ni wazamani Maana sijakuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom