Search results

  1. awesome

    Mh. Samweli Sitta: Waziri wa Afrika Mashariki Ameiasi Serikali ya CCM?

    Sitta aachie ngazi ya uwaziri ili awachome vzr hawa wezi... hivi serikali haina mawakili??? au na wenyewe ni wezi tu kuchelewesha kasi ili waiibie serikali??? Mungu wangu hii Tz inapelekwa wapi na hawa wababaishaji???. Ipo siku mambo haya yataifika kikomo wataiba sana lakini watarudisha mali...
  2. awesome

    Nilianza mwaka kwa kufumaniwa.

    Hii stori ni uwongo mtupu, jamaa anatufunga kamba sie. acha fix za kitoto we jamaaa ............
  3. awesome

    Nataka niuze nchi ya Tanzania nifanyeje?

    Waambie rowasa na rostamu wakuuzie kama wamechoka kuitumia!!! maana wamenunua muda si mrefu kutoka kwa ben na wenzake baada ya kuwekeza sana kule lushoto na south A. wakauza kwa matapeli wengine. Nawe kama umetumwa kuuliza bei..... iko poa sana maana imeshamalizwa nchi hii haina jipya sasa...
  4. awesome

    Rostam Aziz: Dr. Slaa hatari kwa Taifa...............

    Nani hatari kati ya mhujumu uchumi, mwizi, jambazi Aziz na mpigania haki Slaa mwenye uchungu na nchi yake???????????????????? Watz ifike pahala tutambue kuwa nchi hii inaliwa na watu wachache sana idadi yao hata kumi haifiki, ni watu wachache wanawapa wengine nafasi ya kuila nchi hii tajiri...
  5. awesome

    Nimetembea na GF wa rafiki yangu

    Una pepo la ngono kaka, unastahili maombi ya kufunga na kuomba sana vinginevyo unatangonoka mpaka ndg zako.
  6. awesome

    R.I.P. Dr. Remmy Ongara

    Oooohhhh Maskini Ongalla, Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu amen Bwn alitwaa na bwn ametwaa, jina lake lihimidiwe.
  7. awesome

    nimem'badilikia gafla-sijisikii kumuoa tenai!!

    dahh... ee bwn sometime misholi inakinai kinoma unapokuwa nae kwa mda, hapa inaonesha umekula mzigo mpaka uanahisi kinyaa, kama vp mteme tu si humpendi ulikuwa kimzigo zaidi. Hata mie ilinitokea mbona nikatema tu na laifu linasonga nae kashechukuliwa...
  8. awesome

    Uhuru na Habari leo yamekuwa magazeti ya udaku?

    Kitambo sana watu wengi wanatambua hilo kwamba vyombo vya habari vya umma vimekuwa vikiroipoti habari ambazo si za kujenga bali za muchochezi na ushabiki wa vyama, jambo ambalo si jema kwa uandishi au utoaji wa habari kwa umma. Kuna watu kadhaa kama Marin Hassan wa TBC1, mhariri wa gazeti la...
  9. awesome

    Namhurumia Maggid Mjengwa

    huyu jamaa ni miongoni mwa watu wengi mamluki wa ccm, anatuletea habari za ukabila katika kuongoza jumba la kutungia sheria. Tusimseme sana tumpuuze tu isionekane nasi wajinga kama yeye.
  10. awesome

    Elections 2010 Hivi tbc ni shilika la ccm au la walipa kodi wote wa tz?

    Kuna m2 anaitwa marine hassan, huyu jamaa kachanganyikiwa na ccm yake, anaongea ka chiriku maneno yasiokuwa na maana kwa vyama pinzani. Anajiona anajua mambo kumbe mbumbumbu tu. Sio tv ya umma bali tbcccm
  11. awesome

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Kibonde u hv nothing to do with mr. II now coz the guy has won the match to mjengoni. Keep on vomiting but that how it is. Shame on u kibonde.
  12. awesome

    Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

    Ni jambo jema watz hatuwezi kuendelea kuongozwa na wezi wa mali ya umma, wao wananeemeka na familia zao then sisi tuanataabika kutopata huduma bora za kijamii. Najua wengine watashinda kama lowassa, aziz, jk lakini ipo siku yao watajibu mbele ya wananchi, maana kila wafanyacho/waamuacho rekodi...
  13. awesome

    Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

    Ni dakika chache zimepita tangu kutangazwa rasmi kuwa Lema ni mshindi ktk jiji hili tajiri tz. Ingawa hofu ilitawala miongoni mwa wananchi kuwa huenda Lema akauza tena ushindi huu kama alivyofanya 2005. Pongezi na ziwaendee wazalendo wa nchi hii wanaosimama kutetea wanyonge. CHADEMA...
  14. awesome

    Elections 2010 Mbowe Ndesamburo waingia Arusha

    Tuombe mungu, arusha hali ni mbaya baada ya mama batilda kukataa kusaini. polisi wanafukuza watu kwenye eneo la kutangazia matokeo. Fisadi mkuu (lowasa) naye yumo kwenye kwenye harakati za uchakachuaji unaoandaliwa hapa mjini.
  15. awesome

    Elections 2010 Nimesikitishwa sana na kauli ya Mkapa pamoja na JK

    Mkapa kasema alichokisema maana anajua fika hakuna angemjibu mara moja kutokana na muda wa kampeni kwisha..... hata hivyoalikuwa wapi kutoa kauli hiyo mapema wakati wapiganaji wananadi kura zao??????. Fisadi huyu hana kitufaacho kwa sasa ila tunamdai mgidi wetu wa kiwira alojiuzia kwa bei ya...
  16. awesome

    Elections 2010 Hivi huyu sheikh yahya tumfanye nini?

    Ndg yangu usipate shida kuwajadili wapuuzi wanaodandia ujuzi kama huyu anayejiita mtabiri..... kura tumeshapiga na watu wanaendelea kupiga. Tusubiri matokeo kama hayatachakachuliwa nadhani mambo yatakuwa mazuri.............
  17. awesome

    Dovutwa wa UPDP, keshanunuliwa?

    Hata hivyo msihofu wadau,jamaa huyu alikuwa na kura yake pekee hio ndo kampa jk. Ni kawaida kuwa na malimbukeni kama hawa tuwapuuze tuendelee mbele.
  18. awesome

    Elections 2010 Congrats JK.... Umeweza Mdahalo/Mahojiano

    wauliza maswali wanapaswa kututaka radhi watz, hakuna walilouliza la maana, hawana hata haya mambo ni mengi ya kitaifa wanauliza vitu vya kitoto ndo maana watz hatuendelei kwenye nyanja mbalimbali hasa uandishi na utangazaji kutokana na waandishi kama hao wa jana. m/kiti naye wa kipindi hana...
  19. awesome

    Elections 2010 Dk. Batilda atolewa uvivu na akina mama-arusha

    tulizungumza na tutaendelea kusema, mziki huu mkubwa kwake hata weza, asubiri kugombea uenyekiti wa mtaani kwao.
  20. awesome

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Mara zote ukitaka uwezo wako kufikiri upungue msikilize kibonde.... ni kitu gani kipya utapata kupitia kibonde show???????????????? ndg usidhalilishe elimu na utaalamu ulonao kusikiliza huyu jamaa. By the way tukizungumzia sana kuhusu kipindi hiki tutakipa umaarufu, achana nae
Back
Top Bottom