Search results

  1. mtukichwa

    Elimu ya Chuo cha Kiislam Morogoro

    Ni kweli lakini, tafadhali kwa anaefahamu tovuti yao naomba atufahamishe. Abadan sijakutana na muhiyimu wa chuo hicho wala kupata kusikia machapisho ama mihadhara ya kitaaluma kutoka chuoni hapo
  2. mtukichwa

    Hata siamini kama nimenasa

    Hahahahaha, smart move kutoka kwa mwenyeji wako. Atleast hakuna cha kujutia. Kwa upande mwingine hata wewe pia ulikolea kutambo hata kabla ya jamaa kufanya hiyo plan ya kutoka. Hahahahahaaa ndio maana hakuna maswali ama residtance popote ktk story yako you just went with the flow (kama maji...
  3. mtukichwa

    FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    Tuache maneno na majigambo mengi, siku zote mbwa mkali huwa hapazi sauti. Na ukitaka kuuchukia moto jaribu kuukumbatia. MUKAMASIMBA furahia moto kwa mbali na toa maoni yako kuwa moto huo sio mkali na hauna madhara, subiri ukukaribie utajuta. HINT: Kukachapa karwanda ni rahisi sana ukizingatia...
  4. mtukichwa

    FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    Kama redio inapiga sana kelele bila kukoma na ukijaribu kupunguza sauti inakataa, dawa ni kuchomoa waya wa umeme ama kutoa betri kwa sisi tulio kijijini. Nadhani waungwana mmenielewa in relation to our noisy neighbours :kev: TPDF - FIB nice work. For our noisy neighbours :kev: this is just a...
  5. mtukichwa

    Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

    Tatizo ninaloliona katika hili swala zima la utaalamu, uchunguzi na uchunguzi wa kitaalamu ni kuwa "Ile fimbo ya kumuulia nyoka (itakayotumika kumuulia nyoka) ndiyo hasa ambayo nyoka mwenyewe amejiviringishwa kwayo". Kwa maana kuwa wao wanaodhaniwa na kutuhumiwa wamehusika ndio haswa ambao...
  6. mtukichwa

    Polisi aliyemwua Mwangosi avuliwa uaskari kabla kufikishwa mahakama ya kiraia

    Kwani Huyu jamaa hana hata jina la ukoo? Ni mtanzania gani ambao ana majina matatu halafu yote ni ya kizungu? Anyways zote ni movie tuu. Kwa anaefuatiliia, mnakumbuka reaction ya polisi kuhusu sababu za kifo cha marehemu they are very contradictory.
  7. mtukichwa

    Pussy Riot Protest

    Bandugu hii bendi ingeitwaje kwa Kiswahili? Ningefurahi Kama wangekuja bongo kupiga shoo katika fiesta heheheheheheheee
  8. mtukichwa

    Umeona eeh anatutega

    Hii wanazuoni wanaiita invitation to treat. LoL
  9. mtukichwa

    Rafiki yangu na dada yangu wananichanganya.

    Waswahili husema shetani akizeeka huwa malaika. Inawezekana kabisa kuwa jamaa ndo ameamua kutulia na dadako, hivyo wape muda.
  10. mtukichwa

    Why do men fall asleep soon after coitus?

    Mi nadhani hii ni mutual hata upande "ke" ukishughulikiwa vyema na kuwezeshwa kupata mishindo Kadhaa nao hulala na kama hutakuwa na mautundu ya kukumbuka kumswafi anaweza kupitiliza hadi . . . Swala ni mautundu tuu, maana by experience hata upande "me" Kama haujapewa mchezo na mautundu ya...
  11. mtukichwa

    PICHA: Kwanini Ndege ya Serikali inayombeba RAIS in registration # 5H-CCM kwanini CCM

    Kama kumbu kumbu zangu zippo sahihi, hii ndege alipewa baba wa taifa enzi zilee za wakati wake. Yasemekana pia alipewa Kama zawadi in personal capacity na yeye akaitoa kwa serikali ya chama kimoja ambacho yeye ndie alikuwa kiongozi wake so the registration five hotel charlie charlie mike(I stand...
  12. mtukichwa

    cacico am sorry...............ma sweetheart.

    I wish ningekuwa mwenyeji humu, at least ningejua hata cha kusema
  13. mtukichwa

    Mwanasheria mkuu zanzibar apasua jibu kuhusu muungano muda huu

    Kama muungano utavunjika basi TIC inawahusu, maana wana majumba na mashamba kibao upande wa pili (bara). Itakuwa Kama Mayotte ambayo ni Ufaransa iliyo Afrika.
  14. mtukichwa

    JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

    Salaam Aleykum wadau, mi napita tu
  15. mtukichwa

    Msaada: Nini maana ya treasury bill (hati fungani)?

    Nakushukuru mkuu kwa kunifuta ujinga
  16. mtukichwa

    HAYA ndiyo MANENO hatari TANZANIA...

    Pamoja na majibu mazuri na ya kina ya mheshimiwa . . . Halafu anauliza Swali . . . Kweli kazi ipo
  17. mtukichwa

    Chadema mmejifunza nini kutokana na kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali?

    Mungu ana akili sana, kwa maana just imagine Kama sauti ingekuwa inasafiri fasta kuliko mwanga. Maana kwa Hali hii ingekuwa Shida, maana Mtu huonekana mwenye busara mpaka pale atakapofungua kiongeleo ama liongeleo lake. Sasa imagine kwamba ungeweza kujua ujinga wa Mtu kabla hajaongea.
  18. mtukichwa

    Jokate Mwegelo zaidi ya unavyomfahamu

    Mmesahau ya kuimba kwaya pale kanisani, mkabala na nyumba ya tai (ndege). Upo vyema mamii
  19. mtukichwa

    Meli ya MV Skagit yazama

    Kuvazadeki, hawa jamaa watatuua mpaka lini? Kweli njaa inatumaliza
  20. mtukichwa

    Superdoll, s.s bakhresa group, metl, etc

    Mi nadhani tatizo letu wazawa ni kupenda kupiga michongo hasa mahala pa kazi. Inasemekana wadosi ukiwapa Msosi tu ni kazi kwa kwenda mbele, hivyo watu ambao washapigwa sana na jamaa zetu wameamua kuajiri wadosi.
Back
Top Bottom