Search results

  1. Not_Yet_Uhuru

    Nimeamini sasa, Rais Kikwete amechoka

    UKAWA ya EDO imemchanganya sana...sasa hakumbuki kuwa serikali hii na Mawaziri wote ni ya kwake, nahisi anadhani tayari anaongoza chama cha upinzani, ambacho PM ni kama M/Kiti wa KUB, ndiyo maana kamtumia Rambirambi badala ya kumtumia Spika au kutuma Official Press kwa Umma kama Rais!! Hali...
  2. Not_Yet_Uhuru

    Lowassa aingiza Waisrael kutoa mafunzo ya Kijeshi, Apson Mwang'onda ndiye anadaiwa kuratibu

    Uchafu wa choo huo....Majina yanayosemekana ya vijana toka Kaskazini mbona majina yote ya kusini....! Uchafu wa choo cha kwa ALI MAUA...kila saa kufurika...! hilo nalo Gazeti? uchafuu tupa kuleee
  3. Not_Yet_Uhuru

    Makamba ni muongo! Alimtetea Lowassa ndani ya ofisi ya rais mchana kweupeee!

    Mwagika G Sam...huu ni Mwaka wa ukombozi...kumwaga shetwani na vibaraka wake wote wanaosambaza uwongo, kashfa na majungu ili kulinda matumbo na njaa ya kuendelea kubaki kufisadi taifa letu...! Sema, utabarikiwa zaidi
  4. Not_Yet_Uhuru

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Wadau; Hizi ni Porojo na tapatapa! Yeye January kaja juzi ktk siasa....Baba yake ndiye aliyekuwa wa kwanza wakataza CCM kuingia ktk midahalo, hasa Tido Mhando {ex-TBC} alipoanzia Mchakato Majimboni...Huyu JM anahemka nini...mweupe tu, amejaa woga!! Wanadhani kuongea tu kama chiriku kwa Mgombea...
  5. Not_Yet_Uhuru

    Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Bado kuna baadhi wanabisha...wanang'ang'ania ndoto za kale... wanajifariji eti..'hatuwezi kushindwa, tuna dola, na vyombo vyake, tutashinda tu!' UKAWA ilishamaliza Kazi...! wenyewe ktk Lumumba wanajua pumzi haitoki tena!
  6. Not_Yet_Uhuru

    Mgombea mwenza wa Dk. Magufuli, Samia Hassan asitisha kampeni zake Dar

    Ha ha haa,....kamkimbia 'rais'...maana anajua EDO yupo mujini kuangamiza magugu na magamba kuanzia leo hii...! Subirini muone kama unyao utabakia pale EDO atakapopitia...!
  7. Not_Yet_Uhuru

    NEC: Hakuna sheria inayozuia matokeo ya Urais kubandikwa vituoni!

    Nakumbuka Mh Mabere Nyaucho Marando, Mwanasheria wa UKAWA aliyetukuka kwa uzoefu, alishasema dhahiri kuwa yeye atachukua Jukumu la Kwanza kuyatangaza Matokeo yote kwa Kila kituo yakiwemo ya Urais, kwa kila atakapoyapata na kuyathibitisha. USHAURI: Tunawaomba wanasheria wa UKAWA kufanya mapitio...
  8. Not_Yet_Uhuru

    Lowassa, Jeshi la mtu mmoja dhidi ya wafa maji CCM

    Mkapa yupo wapi? Alitakiwa awepo MAANA ndiye 'Mgombea' aliyepenyeza 'kete yake' kupitia hiyo sura Mpya! Tujikumbushe kidogo ktk Jimbo la Arumeru Mashariki na Tabora kwa Rostam Azizi, ilienda Serikali nzima na marais wastaafu akiwepo Mkapa lakini Joshua Nassari (Arumeru) na Kashindye (Tabora)...
  9. Not_Yet_Uhuru

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Mkapa yupo wapi? Alitakiwa awepo MAANA ndiye 'Mgombea' aliyepenyeza 'kete yake' kupitia hiyo sura Mpya! Tujikumbushe kidogo ktk Jimbo la Arumeru Mashariki na Tabora kwa Rostam Azizi, ilienda Serikali nzima na marais wastaafu akiwepo Mkapa lakini Joshua Nassari (Arumeru) na Kashindye (Tabora)...
  10. Not_Yet_Uhuru

    Nape aita waandishi wa habari Lumumba kujibu mapigo ya UKAWA

    Analo la kweli zaidi ya weweseko? Atueleze na Mabao yake ya Mkono, alivyoiba Kura Mtama, na Rushwa hadi wananchi hadi leo wanaandamana kumpinga! Atapiga tu tarumbeta kama kawaida...maana kwa stairs 'zimeshaisha' imebakia fume!
  11. Not_Yet_Uhuru

    Ziara ya kimyakimya ya IGP Ernest Mangu kushawishi Askari kupigia kura CCM na kuzuiliwa kwa Msafara

    Huyo IGP anahangaika tu bure....anajua zimebakia siku, masaa na dakika....anatapatapa kunusuru tumbo...mafuriko hayazuiliki.
  12. Not_Yet_Uhuru

    Wanasheria wa CHADEMA hamuwezi kuipinga amri ya Polisi mahakamani?

    100% agreed...! Wanasheria wetu wanatakiwa kuwa pro-active na aggressive zaidi dhidi ya huu utawala unaoanguka kwa kasi! Pia kuna taarifa kuwa IGP amepita katika maeneo na Mikoa mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi nchini akiwatisha askari kuwa lazima wawapigie CCM kura maana ndio wanaowapa...
  13. Not_Yet_Uhuru

    Tamko la Mbatia lisipuuzwe na Serikali hata kidogo

    Matendo ya CCM ni 'mkono wa Shetani' na haya matukio ya kuwatenga wapinzani ni ishu au dalili ndogo tu kwa tatizo kubwa la chama hiki kinachokufa haraka! Yaliyoendelea ndani ya chama hicho katika Kura za Maoni, hadi kufanya wenyewe kwa wenyewe kukatana mapanga, kupigana, na kukimbiana sio bahati...
  14. Not_Yet_Uhuru

    Nyaraka: Kashfa ya Richmond - Maagizo ya Lowassa na Uamuzi wa Serikali

    Kwa Richmond hii, Utawala wa CCM chaliii...! mbona hapo copies, tunaona 'MINUTES' na MAPENDEKEZO YA KAMATI YA MAKATIBU WAKUU chini Mgonja, kwa ajili ya Maamuzi, na ndiye aliyesemekana kuwa alikuwa anapokea 'Simu na maelekezo' toka Mamlaka ya Juu? Lowassa angegoma wapo? Lowassa alilazimisha Wapi...
  15. Not_Yet_Uhuru

    Magufuli aonesha vipaumbele vyake

    Tume ipi? Sasa wenyewe wanakaribia 'kujikojolea' maana kilichoonekana wiki hii wakati EL aliyoibadili DAR, kiliwapa mshtuko wa asili na hawana la kuifanyia CCM ichomoke shimoni zaidi ya kuiachia tu ifanye itakalo kujiokoa! Tume inajua Kampeni bado, ila Makufuli kutoa Ahadi za Milioni 50, kila...
  16. Not_Yet_Uhuru

    Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

    Mapachu is visionary and transparent, and sadly enough, Your assumptions are odd, and would only be possible under the same same CCM and its corrupt systems downstream. However, the guy [EL] joined a separate entity which is purely out of your mental parameters, specifically from 'mode...
  17. Not_Yet_Uhuru

    Mahakama yaamuru Kafulila akamatwe mara moja

    tpaul Hiyo itakuwa kesi nzuri zaidi hasa pale magwiji wa sheria wa UKAWA watakapoanza kuyaomba mafaili ya Mgawo wa fedha za Stanbic....'safari moja huanzisha nyingine'...waache wajilete!!
  18. Not_Yet_Uhuru

    Zitto: ACT-Wazalendo tutashiriki kuiondoa CCM Madarakani, ila hatutojiunga na UKAWA

    ZZK (a.k.a Yuda) aliiona nyota ya jaha ilivyoangaza Dar wiki hii akagundua kuwa 'mafuriko hayawezi kuzuia mikono'...sorry, yaani kinyume chake, na hivyo amejua mdomo wake pekee unazidi kumlaani, akaamua kugeukia upande unaotoa mwanga...taaratiib..
  19. Not_Yet_Uhuru

    Prof. Mukandala 'aifilisi' UDSM

    Yeye ni Mteule bhanaa....aliyemteua anasikia? Wanajopo wenzake kiutawala wanathubutu kulisemea? Tusubirie moshi unafuka, na pengine moto ndiyo utafumua bati tuuone kwa juu...!
  20. Not_Yet_Uhuru

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Well Said Mkuu, ila kiuhalisia zaidi, ukipunguza kwa EL almost 20% zitakazopotelea ktk kujinusuru kupitia 'MAGOLI YA MIKONO' utafikia kuwa 'POMBE' anapata 35% na LOWASSA 60% na itakayobakia 5% inaenda kwa Wasaliti, et al!... ....saa ya kufa miti, nyani wote huteleza, sorry, the opposite is...
Back
Top Bottom