Search results

  1. czar

    Waliosema watajiua CDM ikishinda Arumeru!!

    some of us think b4 we talk and many others do vice versa.
  2. czar

    Waziri Mkuu wa Kenya apata mshahara maradufu kumzidi rais wa Marekani (Obama)

    Pesa bana halafu utasikia Raila anapiga dili apate pay zaidi. Jamani kwani tutaenda nazo mbinguni?
  3. czar

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Yap, labda hii itamfanya asije US. Kwa nn trip za US, Uk anatia tim mwenyewe? Amtume Pinda au mwingine aah. Na yeye awe anaenda Sudan na Syria. Kwanza kuja kwake US hakusaidii chochote watanzania. Angalia ujumbe atakaoongozana nao. Wapi wanalala na kula ni pesa kibao tunalipa.
  4. czar

    Mwanamke akikupenda...

    How do you know, if she really loves you? how. She can do anything just to get something from you. This applies to men too. How do you know he loves you?
  5. czar

    Binti wa Rostam anasoma shule ada US$ 200000 kwa mwaka

    Duh kaazi kweli kweli ila ndo kazi ya pesa hiyo. Mi ntajitahidi nioe binti mmoja wapo kati yao labda mavumbi ya ufisadi takanipitia nikapata maisha bora. Ha haaaaa.
  6. czar

    Lipumba: JK atamaliza urais vibaya

    Sasa akimaliza vibaya inatusaidiaje sisi? Badala ya kutupa mwongozo wa kufanya unatabiri umekuwa shehe Yahya wewe? Tuambie kwa ugumu huu tufanye hivi au vile.
  7. czar

    AU's dilemna and the Libyan crisis

    Ghadafi kaita raia wake mwenyewe mende na lazima waangamizwe sasa mnamteteaje huyu? Lazima watu watakufa tu kwa njia yoyote ila bora iwe ni katika kuwatetea wapate haki. Rwanda iliachwa wakachinjana leo wanalaumiwa UN hawakuchukua hatua.
  8. czar

    AU's dilemna and the Libyan crisis

    AU haina maana yoyote, nini wameweza kufanya, Madagascar kimya, Ivory coast wanasuasua tu, Congo wanawake wanabakwa kila kukicha kimya, Kenya mpaka ICC wameitwa wao kimya, kwa Mugabe hamna kitu sasa hii AU kazi yake ni kula tu sioni kingine.
  9. czar

    Mkullo: Uchumi wa Tanzania umeporomoka; Kila mtu atakula kwa jasho lake

    Duh hii kali yaani mwezi ujao utadondoka na mwisho wa mwaka utakua, sasa huu uchumi umekuwa kama mvua za masika. Cha ajabu watz tukiambiwa tunakubali tu, hakuna kuwajibika hata kidogo. Watu wa nje wanatuona hamnazo kabisaaaa.
  10. czar

    Serikali yakanusha 'kujiuzulu' kwa Magufuli

    BAKITA wamo humu eee, jitahidini kurekebisha kiswahili wengine wanakibomoa makusudi kabisaaa. Mfano neo bwana wanasema bana aah badilikeni.
  11. czar

    CHADEMA ni wachawi wa upinzani - Mtatiro

    Anataka kwenda Cdm huyo baadae, so anatafuta sifa ili akichomoka apate nafasi nzuri angalau. Ni kama mzee wa propaganda wa ccm aliyetoka cuf Tambwe. Alijijengea jina cuf then akahamia ccm so ccm ikabidi wampe ulaji kwani anamaslahi kwao.
  12. czar

    Majina yanayoanza na Mwa

    Jk = mwajk salma = mwasalma pinda = mwapinda ha haaaaaa.
  13. czar

    CUF kuishtaki serikali kwa wananchi (nao ni wachochezi?)

    CUF wako biased na vitu fulani so kuna mikoa fulani hawatafika kama Kilimanjaro n.k. Na ikitokea wakaja ni zuga tu. Wana sehemu zao hao ee.
  14. czar

    Kikwete: Msamaha wa kodi utolewe; Lengo ni kupunguza makali ya maisha

    Sanaa kila pahali, wakipunguza kodi kwenye bidhaa itabidi wafidie sehemu nyingine, sasa angalia bei za bidhaa zingine wanazoita sio za lazima zitakavyopanda. PAYE pia haitaachwa. Kwenye madini aah jamaa wanapeta bure na misamaha. Hamna kitu kasema JK.
  15. czar

    Nimsaidiaje Kaka yangu aliyelazimishwa kumuacha mkewe na vyombo vya dini?

    Asilazimishe ndoa, hiyo ishakuwa balaa, mfano hata huyo mm akikubali kuishi na kakako, je mtakuwa na amani? Ndoa ni amani na upendo achilia mbali pesa japo zina umuhimu maana kula lazima. Cha kufanya taliki, pigana kiume fursa bado ziko kibao, na boom utashangaa umerudi saafi na at that time...
  16. czar

    Rostam awaparamia CHADEMA

    Mtake msitake RA kasema kweli yy ni mwanasiasa makini, ktk vikao vyote vya ccm hakuna hata mmoja aliyewahi mkemea kwa mwenendo wake, pili katika wabunge wote wa ccm na baadhi ya wapinzani hakuna anayeweza kumsema hadharani sasa kama sio makini tusemaje. Na mwisho wa Tz tumesema weee still jamaa...
  17. czar

    Dutch slash aid to Tanzania and some other countries

    Na wengine waige hamna haja ya misaada. Mtu akishajua atasaidiwa hajitumi. Angalia ofisi za wizara na magari yao, full ufahari ya nn kutoa misaada kwa watu hawa? ACHENI, then tutatia akili.
  18. czar

    Waziri mkuu, huu si wakati wa maneno maneno

    Kwani kwenye kubomoa Dr Magufuli alivunja sheria? Kama ndiyo apelekwe mahakamani basi, mbona watu wanasema pembeni tu na mahakama zipo? Hii ndo sanaa sasa siasa kila mahali tunabaki wachovu kila siku. Usikute wabunge na watu wenye uwezo wamejenga na wanatafuta namna ya kuzuia.
  19. czar

    Kikwete atoa agizo wastaafu wa EAC walipwe!

    Usishangilie kwa sababu kasema walipwe, alishasema nadhani wakati wa Mkapa, watu wakalipwa sh 700, 1000, etc, nilikuwa Tanga wakati huo aibu. Mzee katoka Muheza ndani Teule huko kuja chukua mafao anakuta 700 acha tu. Wazee lakini walitukana matusi si mchezo.
  20. czar

    jamani nisaidieni

    Hiyo tabia kaanza lini, kama kabla hujamwoa alikuwa hivyo basi tegemea hayo kuendelea la basi kajifunzia kwako na wewe ndo tatizo. Cha kufanya tafuta siku yuko na furaha sana kaa nae ikibidi nje ya home, jiweke mdogo then muulize kwa lugha laini tu mambo yatajipa utapata majibu yoote.
Back
Top Bottom