Search results

  1. B

    Elections 2010 Slaa: Watanzania ipuuzeni CCM

    Jamani hebu tuwe tunatafakari sio kila taarifa unabeba hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Tuache kuzoa propaganda na kuzipost tu hovyo hovyo kwa kuwa tu wewe ni mwanachama wa chama fulani. Unauhakika gani hizo msg zimeandikwa na CCM? Si propaganda ili useme kuwa wamekushindwa sasa wanatumia ujumbe...
Back
Top Bottom