Search results

  1. M

    Tido Mhando atemwa TBC

    Hili ni suala la kuchunguzwa kwani kijuujuu unaweza kusema kuna mchezo mchafu na si tu ni ukabila bali ni ukoo. Kwa makabila mengine watu huwa hawajali vigezo lakini wakiwa Wahaya au Wachaga kila mtu anasahau sifa na kudai ukabila kwa hiyo hapo kuna kuwa na viwango tofauti. Hoja yangu ni kuwa...
  2. M

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    Zitto ayumbisha CHADEMA Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa 01 December 2010...
  3. M

    Why Did Nyerere Support Biafra?

    Na wakati ule utajiri wa mafuta hakikuwa kitu cha kujivunia kwani bei ya mafuta ilikuwa chini sana na ilikuwa inapangwa na mataifa ya Magharibi. Ugomvi unaondelea sasa katika Bonde la Niger na Ogoni ni ugomvi wa matumizi mabovu ya raslimali na kuwanyima haki watu wa maeneo hayo kunufaika na...
  4. M

    Why Did Nyerere Support Biafra?

    Nadhani ukisoma maelezo ya Rugemeleza na Shwari utapata majibu mazuri ya yote uliyoyasema hapo juu. Na utaona wazi kuwa Nyerere alifanya yale aliyofanya kwa imani ya ukombozi wa Waafrika na aliamini kuwa unyanyasaji wa Waafrika na Waafrika wenzao ni wa kupigwa vita pia kama ule wa kutawaliwa na...
  5. M

    Why Did Nyerere Support Biafra?

    Hii ni hoja ambayo imenifanya nichangie. Msimamo wa Mwalimu kuhusu Biafra ulikuwa wazi uonevu wa watu wale ulikuwa hauvumiliki na alilinganisha na ukandamizaji wa Wayahudi kule Ujerumani kitu kilichosababisha mauaji ya Wayahudi milioni sita. Maelezo yake kama yalivyokatika hotuba yake yana nguvu...
  6. M

    Mtizamo wa Bloga: Uamuzi wa CHADEMA Kususia Hotuba ya Kikwete Bungeni

    Swali lako linaonyesha upeo mfupi wa kufikiria wao wamebuni mbinu za kuiabisha CCM na mbinu hizo ni pamoja na kushiriki katika vikao vya bungeni kwa uchaguzi mkubwa. Kama ambavyo Matiba alikuwa anafanya alikuwa anaingia na kuonekana bungeni kiufundi "technical appearance." Hivyo mkoba wa mbinu...
  7. M

    Mtizamo wa Bloga: Uamuzi wa CHADEMA Kususia Hotuba ya Kikwete Bungeni

    Mbinu halali za kupinga uchakachuaji ni muhimu. Leo wezi wa kura wameaibishwa mbele ya Watanzania na jumuia ya kimataifa wanaanza kulia kama mtoto mdogo. Kwa taarifa ya wengin raisi si baba wala mama yako ni mtu anayechaguliwa kwa utashi wa watu. Katu kamwe mtu asimlinganishe raisi na mzazi yeye...
  8. M

    Dream team ya michuzi

    Si tu ni wachakachuaji kura bali wa demokrasia. Hawa wanahusika katika kuua demokrasia Tanzania. Michuzi ni mganga njaa ameneemeka kwa kujipendekeza kwao na kesha futa umaskini wake. Yeye ni mpaliliaji wa ufisadi kwani unampatia chakula chake cha kila siku.
  9. M

    Haki si tu itendeke lazima idhihirike kweli imetendeka

    Haitoshi haki itendeke, lazima idhihirike kweli imetendeka Hidaya Novemba 17, 2010...
  10. M

    Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    Kiapo ni kwa katiba na nchi na ai kwa Raisi. Ndiyo maana ya Jamhuri na si Ufalme. Hivyo wananchi wanahaki ya kumpinga Raisi ikiwa ni pamoja na kumsusa, kumsusia na kutomtambua kama amepata madaraka kwa wizi kama ambayo kikwete amefanya.
  11. M

    Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

    They have looked evil in the eye and mocked it. Rigging election is a treason offense tolerating it is participating in it which is also a criminal offense. Thank you Chadema for showing courage and telling Kikwete you are an impostor and a cheat.
  12. M

    1,000,000 >>>50MPs Zanzibar :40,000,000>>>>189MPs Bara

    Hakuna anayezuia Wazanzibari kudai serikali tatu. Hoja ya msingi ni kuwa ni lazima tuwe na serikali na mabunge yenye uwakilishi unaoendena na idadi ya watu. Hatuwezi kuwa na serikali na bunge kubwa ili kuwanufaisha watu wachache ambao wanajifanya wanawakilisha watu wa upande mmoja wa muungano...
  13. M

    Elections 2010 Mbunge mmoja wa CHADEMA amewekwa na CCM

    Mbona maelezo yako hayana mtiririko wa kimantiki?
  14. M

    Bungeni: TLP, CUF, UDP na NCCR Mageuzi navyo vyaungana

    Kuna ujanja kwa upande wa CUF kwani chaguzi saba (7) zilizobaki wanaweza kupata viti vinne na vilevile kupata viti viwili vya upendeleo hivyo watakuwa na jumla ya viti 40. Hivyo basi ukiongeza vile vinne vya NCCR, kimoja kimoja cha UDP na TLP basi wao watakuwa na wabunge wengi kuishinda Chadema...
  15. M

    Bungeni: TLP, CUF, UDP na NCCR Mageuzi navyo vyaungana

    Mzee wa Kilaracha akiwa Dodoma leo nadhani atawaunga mkono CCM kwa nguvu zote.
  16. M

    Elections 2010 Tanzania Electoral bodies under fire.

    This is a damning indictment to the entire electoral process in Tanzania. It also show how Makame, Kiravu did Kikwete's dirty job. He is a cheat and unworthy to lead our beautiful country.
  17. M

    Elections 2010 Tanzania electoral commissions under fire over handling of poll

    The simple and inescapable conclusion is that the election was massively rigged by Kikwete, Makame, Kiravu, kinana, Makamba and TISS. All worked in concert to ensure victory to an otherwise rejected and incompetent Kikwete. Shame on you all.
  18. M

    Elections 2010 Kikweteee!

    Kwa nini abadilike wakati amepata kile alichokuwa anataka? Kuendelea kuwatia umaskini Watanzania na kuigeuza Tanzania nchi ya kifalme. Kampeni yake kubwa sasa ni namna ya kumfanya Ridhiwani awe raisi. Hivyo atajenga hoja ya kubadilishwa katiba ili umri wa kugombea uraisi uwe miaka 21. Vilevile...
  19. M

    Elections 2010 Respect poll outcome for peace - EU

    This was not a European Union election it was Tanzanians. They only came as observers so they will remain. They know damn well that the election was rigged massively. Their brief does not allow them to state the truth but that of giving assessment and recommend areas of improvement. That does...
  20. M

    Elections 2010 SMS ya Maandamano nchi Nzima Ijumaa Imeanza

    Maandamano ya amani ni haki yetu na ni lazima watu wapinge kwa nguvu zote uhaini huu wa Kikwete, Makame, Kiravu na wote walioshiriki kugeuza mchakato wa uchaguzi kuwa kishekesho. Haini Kikwete hatukutaki. Mwizi mkubwa wa demokrasia
Back
Top Bottom