Search results

  1. R

    Scholarship! Scholarship!! India 2011/2012

    Kwa wale wanaohitaji kusoma India kupitia scholarship za ICCR kwa mwaka wa masomo 2011-2012, tembelea http//www.hcindiatz.org/education.asp!! hizi ni scholarship za uhakika zenye masharti mepesi....mimi pia niko India kupitia scholarship hizi!! kwa ushauri zaidi ntaweka mawasiliano yangu...
  2. R

    Nigerians defame african's reputation india

    Mimi ni mwanafunzi wa MA(masters degree) ktk chuo kimoja hapa New Delhi nchini India. Majuzi tulipata tour ya kutembelea mji muhimu wa India (Mumbai) kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ya kihistoria yahusuyo India. Baada ya kumaliza tour yetu tulihitajika kurudi New Delhi, kwa vile kilikuwa...
  3. R

    Elections 2010 SLAA: NEC yacheza mchezo mchafu na masanduku ya kura

    Hebu mtazame huyo mama mwenye mtoto mgongoni mbele ya michuzi, kwa mtazamo wangu anaomba dr.slaa aingie ikulu mapema ili aepukane na mateso anayoyapata.
  4. R

    Elections 2010 Nguvu ya Dr.Slaa Mwanza kumpeleka Kikwete tena Mwanza?

    wizi wa kura wa mwaka huu unahitaji mbinu ya kimafia, ama cvyo, WATAHAIBIKA!
  5. R

    Elections 2010 Niwaonavyo wagombea watatu wa urais

    Ndugu Ami, sitaki kuamini hili lakini nadhani lina ukweli ndani yake, wewe unaongozwa na itikadi ya KIDINI ingawa hukutaja hapa moja kwa moja. Hivi unadhani elimu ya dr.slaa ni ya upadri peke yake? Je unajua viongozi wote wenye hekima duniani kuanzia karne ya 4 enzi za ROMAN EMPIRE walikuwa...
  6. R

    Rais wa ukweli, kipenzi cha watu wenye akili timamu.

    Sitaki kuamini kama wewe ni mmoja wa wale watu wanaoamini " wingi wa mvi, ndo wingi wa busara". Yaani unashindwa hata kutofautisha tamasha la kisiasa na kampeni za kisiasa, hebu jaribu kuangalia hizo picha za kampeni za JK, halafu angalia na picha za kampeni za Dr.slaa halafu utofautishe...
  7. R

    Elections 2010 Yatakayomkuta Kikwete iwapo atataka kuingia Ikulu kwa gharama yoyote

    AUTHORITY without LEGITIMACY ni kitu hatari sana, nashangaa Dr. Bana amesoma Political science lkn anashindwa kumshauri Kikwete kwa hili. Unapoongoza watu wasiokupenda kila wakati utapata upinzani kutoka kwao, lolote zuri kwako, litakuwa baya kwao. Kwa nini ulazimishe hili litokee??? Nachojua...
Back
Top Bottom