Leo ni siku muhimu kwa kaka, mwenyekiti na shujaa wa kupigania uhuru wa kweli kwa nchi yetu.
FREEMAN AIKAEL MBOWE. Hii ndiyo siku aliyobatizwa. Baada ya kuzaliwa mwezi wa tisa, wazazi wake kwa ushirikiano na wadhamini wake wa ubatizo Mwl. JULIUS NYERERE (baba wa taifa) walisubiri hadi siku...
Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismas na mwaka mpya.
Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama yalivyochapishwa katika gazeti la Mwananchi.
Umesema kutokana na changamoto za uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 umetaka tusameheane kwa yote yaliyotokea...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni.
Hii...
Niliahidi wiki iliyopita kwamba nitaandika tena baada ya hukumu dhidi ya Tundu Lissu ambayo tayari ilikwishavuja hata kabla ya mashtaka kuandikwa.
Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza rasmi kumfungia mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu kutojihusisha na kampeni kwa siku 7.
Wiki...
Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameahidi kuwa akishinda nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu, Serikali atakayoiongoza itafuta sheria zote zinazominya uhuru wa habari na haki za kiraia zinazotumiwa na Serikali iliyopo...
Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Masalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama.
Kwenye gari alikuwepo Mgombea Umakamu wa Rais (Chadema), Mheshimiwa Salum Mwalim, Katibu wa Makamu wa Rais, Gerva Lyenda, Mlinzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.