Search results

  1. R

    Waziri wa Afya kazi imemshinda tishio la Hospitali binafsi kuikataa NHIF

    Nhif ni saccos wanakopeshana wao KWA wao na ni benki pia wanakopesha taasisi za umma hata serikali kukuu hujichotea hela.
  2. R

    Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Anajua nini kuhusu wanawake wa Tanzania,anajua nini kuhusu MAKUNDI maalum,yaan teuz zingine ni kichefuchefu tu
  3. R

    Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

    Hapo utamgusa Mwiguru,bashite na igp kipind kile.Hawa jamaa Wana Siri kubwa mno mioyon mwao
  4. R

    DOKEZO Waziri Mchengerwa, nenda Nasibugani Sekondari Mkuranga, shule haina umeme, maji, madawati, walimu, vitanda wala barabara nzuri

    Shule hii kidato Cha I-VI, shule imepelekewa wanafunzi 400+ wa kidato cha tano huku hakuna miundombinu inayotosheleza kupokea idadi hiyo ya wanafunzi. Shule ni kama imetelekezwa hakuna anayejali, watoto wetu wanalala chini, umeme hakuna shule ipo gizani wakati ipo porini, shule haina walimu wa...
  5. R

    Utitiri wa viwanda vya bati Tanzania na paa za nyumba zenye bati mijini kuwa na kutu ni Udhaifu mkubwa uliopo TBS

    Miji mingi Tanzania inakabiliwa na kupoteza ubora,nyumba nyingi zinaonekana kuchakaa hususani paa za nyumba nyingi kuonekana kuwa na kutu. Yawezekana ni bati kutokuwa na bati nyingi kukosa ubora licha ya hapa nchini Kuna taasisi ya umma inayoshughulika na ubora wa bidhaa. Utitiri wa viwanda vya...
  6. R

    Wale wa udsm mnaikumbuka September Conference?

    Wanachuo wakisup siku hiz wanalalamika mitandaon media zinapiga kelele,wanasiasa wanaunda kamati kuchunguza kwann wanasup,Kwa kuona hivyo hakuna sup sikuhiz,pili wogawa serikali kupoteza Hela Kupitia heslb vyuo wanalazimisha kufaulisha tu,wakija kupata AJIRA utafikir katokea form two na...
  7. R

    Shehe Mwaipopo: Wakati Dini nyingine wanakazana kujenga Mashule na Hospitals Bakwata wao Wamekazana kuhakiki Mali za Urithi!

    Ni kweli,Tangu enz hizoChuo kikuu kimoja tu Cha kiislamu Cha Morogoro na majengo yake tulipewa na JK.Hata hvyo wengi wetu hatuendi kusoma hapo hata dini jirani zetu hawaruhusiw.Bakwata ni majungu tu.
  8. R

    Hii ya wake wa viongozi wastaafu kuanza kulipwa ni zaidi ya too much

    Ukiwa kwenye ofisi za umma,iba uwezavyo.Ukitaka kujua angalia mtumishi wa umma akifariki kabla ya kustaafu,bila michango ya wafanyakazi wenzio mambo hayaendi,sanduku linawekwa kwenye Carrier ya cruiser.Wanasiasa wakifariki Hadi nyumba zao zinakarabatiwa.Uzalendo sio tz
  9. R

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) ni kikundi Cha wezi kinacholewa na Serikali

    Heslb wamekuwa wakikata hela hovyo Kwa watumishi wa umma hata Kwa watumishi wa umma wasio wanufaika au wanufaika waliomaliza madeni Yao ya Mikopo bila utaratibu.Inaonekana Hawana database ya wanufaika waliomaliza madeni hivyo hurusha jiwe,watakaolalamika ndio wanajua huyo hana hadaiwi au...
  10. R

    Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Hela za watanganyika zinaijenga Zanzibar,kwao umeme wanauziwa Bure watanganyika tunawalipia
  11. R

    Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

    Kuanzia jtatu saa Tano naingia kazin,saa saba najitafutia ugali
  12. R

    Niambieni sio kweli Udanganyifu kwenye mishahara

    Kabisa,enz za kikwete July ilikuwa mambo yote
  13. R

    Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu!

    Hongera,nilikuwa na hoja kama nne zilizotajwa na wanasheria,nilitaka kutoa Uzi umezitaja Sina Cha kuongeza.
  14. R

    Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

    Huyu James kaji toka kamishna wa kupambana na dawa za kulevya mpaka ukuu wa wilaya
  15. R

    Suala la DP World ni IQ Test kwa Watanzania, tumewajua vilaza na vipanga

    Mimi nilisoma mkataba wa kilaghai kati ya Mangungo chifu wa Msovera na peter cjawahi hata kufika huko,ila nikisoma maandishi yaan mkataba naona umepigwa.Ile Historia inareflect ya sasa.Yule chifu baada ya kusaini,alipewa na vioo vya kujitazama na shanga.Kwa sasa unapelekwa hotel ya nyota 6 na...
  16. R

    DOKEZO TAMISEMI iangalieni hii shule ipo Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Leo tarehe 01/07/2023, nilienda kutembelea shule ya sekondari yenye kidato cha I-vi Nasibugani high school , shule hii ipo tarafa ya Kisiju, kata ya Msonga halmashauri ya wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, ipo km 48 toka halmashauri ya wilaya ya Mkuranga, kijana wangu amechaguliwa kusoma tahasusi...
  17. R

    Lema atoa shutuma kali kwa Kanisa la KKKT DK kwa utitiri wa michango huku likipuuza huduma za Jamii kwa waumini wake

    Ni kweli kabisa,kkkt huwa tunaenda Kwa ajili ya kuzikana tu,mkiwa watu nane kwenye familia ujue uwe na bajeti ya jpili moja zaidi ya laki,ni kujenga mijengo.Ukienda makanisa mengine huko Nako wanapangiwa kiwango Cha utoaji,katolik watu wanazikimbia jumuia.Kwenye uislamu huko hali ni shwali kabisa.
Back
Top Bottom