Search results

  1. Nkoboiboi

    Naibu Waziri Kassim Majaliwa(CCM), atoa amri Sekondari ya Mpwapwa kufanya Tambiko

    Leo kawa PM.....ma albino anzeni kukimbia
  2. Nkoboiboi

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kahama - Septemba 25, 2015

    ILANI NA SERA za ccm ni Sumaye na Lowasa... Ndo maongezi ya Mr Pombe haps mkutanoni.... Tunadubiri achemke awashe (push up)
  3. Nkoboiboi

    Sababu kuu za CCM kuanguka vibaya na UKAWA kushinda uchaguzi Oktoba 25

    Huwezi kudanganya watu wote muda wote. Uongo wa CCM umekinaisha watu wengi
  4. Nkoboiboi

    Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

    Slaa ni wa kupuuzwa kesha tuonyesha uhalisia wake.
  5. Nkoboiboi

    Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

    Oli nte ya mukebe.....gamba limekuziba akili...
  6. Nkoboiboi

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Hii imekaa Sawa...UKOMBOZI wa kweli wa waTanganyika....
  7. Nkoboiboi

    Makao makuu CUF: Ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ushiriki wao UKAWA

    Chama legelege huzaa serikali legelege - Mwl Julius Nyerere
  8. Nkoboiboi

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Mbunge wangu wa Nkenge atimuliwa rasmi na Raisi.... sisi tumebakiza kugonga muhuri 2015 -
  9. Nkoboiboi

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Amesema ki-kwao tunazoza..... Tutazoza vizuri 2015.... Kama anafikiria wote tulibeba LUMBESA, kura yangu ni zaidi ya LUMBUSA
  10. Nkoboiboi

    Kagera: Kilichonifurahisha jana ni wagombea 3 wa CCM kujiuzulu asubuhi

    Olwaile amagezi iwe... Tuendelee kulea majizi na bashuma lunkunku - (Majambazi.... ) Na bado subiri kwenye Karatasi lenu la Chenge.... Mtashangaa sana.... Mpola Boojo. (Kama hukuelewa muulize Asumpter)
  11. Nkoboiboi

    Kagera: Kilichonifurahisha jana ni wagombea 3 wa CCM kujiuzulu asubuhi

    Naomba data kamili tafadhali... Huyu mama anajiita Mbunge wa Nkenge ametuabisha sana... Nimepata za Kanyigo tu...
  12. Nkoboiboi

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Nakubali uniite mjinga.... Ila tuko wengi....!!!! Tumeanza kwa Uchaguzi mitaani, tunapasha kwa ajili ya Katiba Pendekezwa, fainali 2015.... Ujinga wetu utaonekana tuuuuu:msela::msela::msela:...
  13. Nkoboiboi

    Serikali, Wahubiri hawa wana tofauti gani na waganga wa tiba za asili?

    NENO LA MUNGU linapatikana kwa kusoma BIBLIA PEKEE, ukisubiri au ukitegemea nabii akusomee.... matokeo ndo haya... !!! Akiwa anahubiri au kuonyesha maajabu yake we soma BIBLIA yako, ukiona hayamo anayofanya na kuonyesha,... Endelea na mambo mengine achana na utegemezi katika mambo ya MUNGU...
  14. Nkoboiboi

    Mengi: Natishwa

    ZABURI 91:10-11... Atamlinda tu haitaji ulinzi wa mafisadi
  15. Nkoboiboi

    Mbunge Asumpta Mshama umeutia aibu Mkoa wa Kagera,Tutakushughulikia

    Wakati wa mjadala wa ESCROW kuna mtu alomba avae KI-NINJA.... Mimi kwa dadangu asumpata sihitaji kuvaa kininja... AMETUFEDHEHESHA sanasana sisi tuliojamaa zake...!!!
Back
Top Bottom