Search results

  1. ambili

    Naomba updates za Interview ya TANESCO

    mbona kuna tetesi watu washaitwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ambili

    Naomba updates za Interview ya TANESCO

    hivi wale waliopiga oral pale ubungo post ya generation engineer washaitwa kazini? maana ilifanyika tokea 24 july mpaka leo kimya.
  3. ambili

    Wataalamu wa magari, naomba msaada

    Labda kwa kuanzia ungecheki hapa,
  4. ambili

    Usichokijua kuhusu Salim Kikeke wa BBC

    Aisee hii jamaa naikubali m'baaaya,yani akitangaza habari basi mtoto hatumwi dukani. Halafu wanamtiririko mzuri unaomfanya msikilizaji/mtazamaji kuwa na shauku ya kujua habari inayofuata. Sijui kwa nini hili linakua gumu kwa tv/redio zetu za nyumbani..! Nashindwa kung'amua je!? Hili ni tatizo...
  5. ambili

    Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    www.heslb.go.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=418:loan-applicants-to-correct-necessary-information-list-13-s-z&catid=1:news-and-events&Itemid=11
  6. ambili

    Moto waunguza mitambo ya Vodacom, wadhibitiwa!

    huu mtandao mkubwa bana Walitakiwa atleast wawe na recovery site kwa kila major serving site( iwe switch or whatever you call it) .kuwakosesha watu mawasiliano kwa siku nzima ni chaos kwa kweli. Maji yamewafika shingoni , hadi huduma kwa wateja nayo imefungwa kwa mda.
  7. ambili

    Moto waunguza mitambo ya Vodacom, wadhibitiwa!

    Mi washanikata stimu , jana nilinunua bando ya buku 3500 salio langu likakatwa na bando sikupewa hadi mda huu nshawapigia zaidi ya mara 2, lakini jibu ninalopewa nisubiri eti taarifa za matumizi yangu hazionekani kwenye system. So napigwa kalenda tu mara piga baada ya masaa 3 , mara piga saa...
  8. ambili

    Mwalimu Raymond Mlasu afariki dunia!

    Alikua mwaka gani kigo , maana mi nilipita enzi za kina shelimo. Poleni sana wafiwa.
  9. ambili

    Magari moja kwa moja toka Japan

    Kaka kama hutajali naomba unipatie bei ya toyota run x
  10. ambili

    kupatwa kwa mwezi leo tarehe 25 april 2013 kuanzia saa tano na dakika nane (11:08 PM)

    Mkuu angalia vizuri mduara haupo sawa ,haukuwa hivi nusu saa iliyo pita. Give it sometime, mwenyewe utaniambia.
  11. ambili

    kupatwa kwa mwezi leo tarehe 25 april 2013 kuanzia saa tano na dakika nane (11:08 PM)

    Wadau mnaweza kwenda nje sasa taratibu naona mwezi unaanza kumezwa na kivuli cha dunia
  12. ambili

    kupatwa kwa mwezi leo tarehe 25 april 2013 kuanzia saa tano na dakika nane (11:08 PM)

    Kwa wale wadau wanaopenda kuangalia astronomical events, basi leo inatarajiwa kushuhudiwa kupatwa kwa mwezi kuanzia saa tano hadi saa saba usiku huu, stay tuned. source: Apr 25, 2013 Penumbral Lunar Eclipse
  13. ambili

    Ndege za Jeshi Dar

    Nipo maeneo ya kisutu ,Naona fighter jet zina pita pita angani kama kuna maonyesho ya airforce hivi! Wenye info tujuzuzeni tafadhali.
  14. ambili

    30% Tu ya Samsung Galaxy S4 Kuwa na Core 8

    nimependa specs zake ,ila kutokuwa na fm ni drawback kwa nchi kama Tanzania, maana zaidi ya asilimia 90 tunapata habari kupitia radio. General 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 4G Network LTE SIM Micro-SIM Announced 2013, March Status...
  15. ambili

    Afya ya Lwakatare YAZOROTA

    Tayadi=tired
  16. ambili

    Afya ya Lwakatare YAZOROTA

    hilo swali waulize jeshi la polisi au leo umekosa imani nao kwa sababu kiongozi wa chadema amekamatwa ? jibu swali la mbogo. naona ushaanza kuingiza udini
Back
Top Bottom