Search results

  1. pirate

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    I've tried both sports betting and casino games and ended up gravitating more towards to these poker online platforms. Initially, I was skeptical, thinking it might just be a time sink, something I've heard echoed by a lot of folks. But honestly, I got completely drawn in. It's not just about...
  2. pirate

    JamiiForums Usiku wa manane

    03:06 napigwa na Baridi la Airport terminal 3[emoji2]
  3. pirate

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Hii story niliionaga kwneye True Crime show na Very sad story jinsi jamaa alivyomfanyia Cousin wake.
  4. pirate

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Tunaanza upya, [emoji41]
  5. pirate

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Mkuu aisee sijajua kama nimekatisha Tamaa lakini lengo langu ni kutoa taharifa tu, ila unaweza pia kuchukua Risk na kuja ila naelezea mambo niliojifunza huku.
  6. pirate

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Bia zinakuza vitambi [emoji28]
  7. pirate

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Wakuu Habari Zenu, Embu tuelewashane kitu baadhi ya watu wanaonitafuta kutaka kuja Kufanya Nje wengi wao uwa ukiwauliza unataka uje ufanye kazi gani WATAKWAMBIA YOYOTE, yes ni kweli kazi Ngumu kupata huku UAE lakini Tafadhali usipange kwenda kufanya kazi Nje ya Nchi ukiwa ujakuwa ujajua unaenda...
  8. pirate

    Tatizo lolote la PC/device

    deactivate AV ya windows kwa muda kidogo kisha download then fanya activation
  9. pirate

    Tatizo lolote la PC/device

    OS imecorrupt inabid upige windows upya au ufanye restore, ila lazima uwe na installation media
  10. pirate

    Tatizo lolote la PC/device

    Mkuu sina uzoefu sana na hardware za simu na Tab.
  11. pirate

    Tatizo lolote la PC/device

    Mkuu kwanza hiyo "blue screen error" inakutokea kwenye windows gani? Pia je umejaribu kufanya vitu hivi je hardware zako zote zipo sawa, hii mostly uwa inasababishwa na HDD/SSd/Ram error na inawezakana labda ikawa zimekuwa na tatizo mahali. kama ulishawahi "Create restore Point" unaweza...
  12. pirate

    Tatizo lolote la PC/device

    Aaahh okay ni vizuri kama umefanikiwa mkuu.
  13. pirate

    Tatizo lolote la PC/device

    Mkuu ili niweze kukusaidia vizuri, unaweza kutaja hiyo ni Acer gani, na ni laptop au desktop? Na tatizo limeanzaje na limeanza lini?
  14. pirate

    Tatizo lolote la PC/device

    Mkuu hizo pc mbili zote ni aina moja ambazo ulijaribu hizo ram,hdd,betri? Kutokuwa kwa Pc uwa kunahusihwa na vitu vingi ila cha kwanza ukichomeka charger inaonyesha inacharge na ukibonyeza button ya kuwashia inatoa indicators yoyote au kuna Taa yoyote inawaka kwenye kiboard yako? nikipata majibu...
  15. pirate

    Tatizo lolote la PC/device

    Mkuu vip ulifanikiwa kutatuua tatizo lako?
  16. pirate

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Ni kweli mkuu naona watu wanapewa Habari tofauti juzi nilikuwa na jamaa wa Cameroon amekuja huku kutafuta kazi imekuwa ishu na amejilaum sana kwa maana pesa aliotumia ni nyingi na Dalali aliomleta alimpa information za Uongo.
  17. pirate

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Mkuu kuhusu kuzuiliwa kwa Visa sijajua vizuri ila kwa TETESI tu ni kuwa watu weusi wengi w anaishi huku wakiwa wana OVERSTAY, na Vurugu ndio maana hata baadhi ya nchi za Afrika ikiwa unataka visa yako ifanywe upya inabidi uwaletee police Clearance na kingine ni kuwa waafrika wengi kazi hawana so...
  18. pirate

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Guys, sijaingia kwenye huu mzi muda kidogo kwa ushauri na Angalizo na nautoa huu kwa uzoefu wangu mwenyewe, Mimi nilikwenda Dubai bila kutumia Dalali yoyote although ilikuwa ni risk ukizingatia ilikuwa kipindi cha Covid 19, ila nashukuru nilijitahidi nikapata kazi sehemu ambayo nipo hadi...
  19. pirate

    Tatizo lolote la PC/device

    Kama umefanya hivyo vyote na bado jaribu hii nyia ya mwisho, Fungua RUN kisha andika mmsys.cpl kisha OK Nenda kwenye Recording Tab, kisha angalia kama microphone yako ipo enabled baada ya hapo set as Default kisha Ok, Kisha hapo hapo Right-click Microphone > Properties>Levels iweke hadi 100.
Back
Top Bottom