Search results

  1. B

    ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

    Sasa nimeelewa kawa nini Mfalme Suleiman alimuomba Mwenyezi Mungu HEKIMA
  2. B

    TAKUKURU Tabora yamsaka Paul Christian kuhusiana na tuhuma za cheti feki

    Hivi wewe huko kichwani una akili au matope?!
  3. B

    CUF na CHADEMA kwa wagombea hawa, upinzani mtaishia kunawa tu, kula hamtakula kamwe

    Kama Maalimu amaechoka na hachaguliki tena, mbona hiyo CCM yako haijawahi kumshinda huyo Maalimu aliyechoka katika uchaguzi mkuu?. Au unajitia upofu na upumbuvau kujifanya kwamba umedondoka leo kutoka sayari ya Mars na hufahamu yaliyojiri huko Zanzibar? Shame on your buttocks!
  4. B

    Bunge la Afrika Mashariki: Wagombea wa CHADEMA na CUF waruhusiwa, NCCR na ACT Wazalendo waondolewa

    Siju Mayalla aka Njaa atakuja na pumba gani sasa!
  5. B

    Bunge la Afrika Mashariki: Wagombea wa CHADEMA na CUF waruhusiwa, NCCR na ACT Wazalendo waondolewa

    Siku Propesa Lipumba akiteuliwa kuwa mshauri wa Rais masuala ya uchumi ndipo mgogoro wa CUF utakapoisha!
  6. B

    Kauli ya Lawrence Masha baada ya kukamatwa kwa Tundu Lissu

    Kwa akili yako unafikiri Polisi wanaweza kumkata Prof Lipumba wa sasa?
  7. B

    It's just a Matter of time: Tumshauri Kujitafakari And Do The Right Thing or Live And Let Die?

    KWahiyo yeye kuwataja watu hadharani kwamba ni wafanya biashara ya madawa ya kulevya kwa tuhuma za UONGO ilikuwa sahihi kwako? Haya mayala (njaa) yakihamia kwenye ubongo ni SHIDA!
  8. B

    Yussuf Manji, Omba Toba

    Kweli ujinga ni mzigo, badala ya kuwasomea Ahla badri BAKWATA waliomuuzia Manji viwanja, nyinyi eti mnamsomea mnunuaji ambaye ni Manji. Sidhani Mungu ni mpumbavu kiasi hicho!
  9. B

    Ujio wa Wema Sepetu CHADEMA: Is She an Asset or a Liability? Mmeishaumwa na Nyoka, Hamjifunzi tu?!

    Mayalla maana yake ni NJAA Na wewe njaa zako zitakuwa zimehama kutoka tumboni kwend kwenye UBONGO! No wonder you're arguing like brainless myopic kid
  10. B

    Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana

    Mtamfanya mama wa watu akachukue Serengeti boys kama yule Mbunge wa Viti Maalum wa CCM!
  11. B

    The East Africa Law Society yalaani na kuhuzunishwa na matamshi ya Waziri Dr.Harrison Mwakyembe

    The EALS wamekosa kazi, wanapata wapi mda wa kumuandikia mtu aliyekana andikao la PhD?!
  12. B

    Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

    Katika dunia ya leo ya karne ya 21 ya sayansi na teknolojia, kama rais anaweza kumteua STD VII, simply kwasababu eti uteuzi wake hauwezi kuhojiwa na mtu/chombo chochote. Hao STD VII ndiyo awategemee kuifanya nchi ya viwanda, basi huyo Rais atakuwa na matatizo makubwa kuliko hao akina Kayumba aka...
  13. B

    Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Ujin.ga nao ni kipaji. Mtu unamtuhumu anajihusisha na madawa ya kulevya. Unautangazia umma kwamba mtu huyu anahitajika Polisi kwaajili ya mahojiano na Polisi kuhusu kujihusisha kwake na biashara ya madawa ya kulevya. Baada ya wiki 2 mtu huyu anakwenda Polisi kwaajili ya mahojiano. Baada ya...
  14. B

    RC Makonda ataka Spika Ndugai aanze utaratibu wa kupima wabunge kugundua watumiaji wa madawa

    Wazungu husema CHARITY BEGINS AT HOME. Kabla ya kumtaka Spika kuwapima wabunge wote kama wanajihusisha au walishawahi kutumia madawa ya kulevya Makonda mwenyewe angeonesha mfano kwanza kujipima yeye lakini pia kuwapima wafanyakazi wake wote walioko kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam...
  15. B

    Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Kati ya vitu hivyo viwili hakuna kilicho KIZURI. Unless una Kamusi tofauti kabisa na watu wengine wote duniani kuhusu msamiati wa ZURI/KIZURI
  16. B

    Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Kiwanda ni changu lakini ARV fake si zangu! compare with Meli ni yangu lakini meno ya tembo si yangu! The writing is already on the wall. I beg to quit.
  17. B

    Kutajwa kwa Mbowe: Kisa ni Billicanas inayomilikiwa na Mbowe Hotels

    Siku tukianza kutaja majangiri wanaomaliza Tembo wetu kwenye hifadhi zetu na mapori yetu ya akiba, basi tumtaje yule Katibu wa chama chetu ambapo meno ya tembo yalishikwa mubashara katika meli yake.
  18. B

    Sakata la Dawa za Kulevya: Askofu Gwajima atema cheche, adai RC Makonda anatumika

    Hatimaye Mch Josephat Gwaajima amtaja NYANGUMI wa madawa ya kulevya Tanzania. Tunasubiri kuona kama huyu NYANGUMI ataitwa Central Police kwa mahojiano na KIBUA!
  19. B

    Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Ngoma hapa inakuwa ngumu kwa Makonda kwasababu hawezi kuwatumia Polisi, ku plant kipisi cha bangi nyumbani kwa Manji, kama alivyofanya kwa Wema Sepetu. Nyumba ya Manji inalindwa na CCTV. Sasa sijui exhibit Makonda atakitowa wapi kuishawishi mahakama kwamba Manji anajihusisha na biashara ya...
Back
Top Bottom