Search results

  1. K

    Gari aina ya rav4 l, inauzwa

    gari la zamani bei mpya.
  2. K

    Nissan lucino sport inauzwa

    usafiri nahitaji lakini hiyo bei mbona cio ya gari used jamani?au unataka kurudisha bei uliyonunulia miaka hiyo?
  3. K

    Safari ya Songea

    Karibu sana mkuu hapa songea.nauli ni 45000/=. basi zuri la wewe kupanda ni Superfeo na hotel au lodge nzuri ni Heritage cottage.Hii ipo njiani kabisa eneo la msamala unashuka gari kituo cha Mauki.Hapo nyuma tu ni hotel wala huhitaji taxi.
  4. K

    Nile nini ili kuongeza wingi wa damu

    wadau naomba mnisaidie nile nini ili niweze kuongeza wingi wa damu mwilini?
  5. K

    Naombeni msinilaumu kwa uamuzi niliouchukua kwa mume wangu

    anaweza akakwepa ukimwi lakini atajuta maisha yake yote.wanaume ni watu wabaya wanapenda wafanye wao ukifanya mwanamke shida.kama hujafanya nakushauri uache.
  6. K

    Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    inapatikana wapi mkuu?
  7. K

    Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    Wanajamvi naomba mnisaidie dawa ya kuondoa madoa usoni yaliyotokana na kukamua chunusi. Pleases doctors nisaidieni maana hali ni mbaya sana.
  8. K

    Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    wanajamvi naomba mnisaidie dawa ya kuondoa madoa usoni yaliyotokana na kukamua chunusi.pls madoctor nisaidieni maana hali ni mbaya sana.
  9. K

    msaada wataalamu wa it.

    thank you my dear.
  10. K

    msaada wataalamu wa it.

    mh.kwakwel hakuna cha bure,nahitaji kujifunza ndugu yangu.
  11. K

    msaada wataalamu wa it.

    i am new to php scripting.I have created a login page. but all other registered users are accessing only one member access page. I want to make a script that will allow members to login to their different members home page with their names. Please i need step by step guide.
  12. K

    Kuanza Uhusiano Mpya baada ya ule wa zamani kuvunjika: ONYO

    nashukuru nimejua kama uamuzi wang ulikuwa sahihi au la.
  13. K

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    mungu akulaaaaaaaani,wakati unapokea vitu vyake hukujua kama sio msomi.maskini wa mawazo wewe,maisha ya ndoa cio usomi ni hekima.umeniboa mpaka nasikia kutapika.
  14. K

    naomba kujua namna ya kuondoa key

    hii post niliituma kwa bahati mbaya haikukamilika.samahani kwa usumbufu.
Back
Top Bottom