Search results

  1. B

    Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

    Aweke namba yake hapa,.
  2. B

    Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

    Unapatikana wapi? 0754445976
  3. B

    Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

    Protecter nyeusi na cover nyeusi za Sumsang Galaxy S 7 edge.
  4. B

    Magroup ya damu na uzazi

    Mimi nia O+ na Mke wangu ana O+
  5. B

    Msaada anayeweza kunambia hii simu inapatikana wapi au mwenye nayo

    Nokia orginal,. Made in Finland Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    Msaada anayeweza kunambia hii simu inapatikana wapi au mwenye nayo

    Mafikiri umeiona hiyo Nokia E6-00 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    Msaada anayeweza kunambia hii simu inapatikana wapi au mwenye nayo

    Mimi ninayo Nokia E6-00 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    Msaada anayeweza kunambia hii simu inapatikana wapi au mwenye nayo

    Mimi ninayo E-6 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Ukifa hujao wala siyo shida utazikwa tu, ili mradi unashiriki kuanzia kwenye jumuiya. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Hayo ni mawazo ya tu, michango wala siyo issue. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    Viatu vya kiume Vinapatikana

    Location please, watu wengi wanahitaji kufika dukani kwako na kuchagua kinachomfaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    Viatu vya kiume Vinapatikana

    Mnapatikana wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    Hivi TTCL mna nini?

    Mimi toka ijumaa jioni hakuna mtandao kabisa mpaka leo.
  14. B

    Naomba kujuzwa huu ni mkoa gani

    Hiyo Arusha bana,.
  15. B

    Haya mafuta ya mgando tunayoyakuta reception nyumba za kulala wageni yana kazi gani hasa kwetu?

    Kwanini hujauliza sabuni? Mwisho wa siku unaweza ukauliza na taulo ina kazi gani. Maana vitu vyote hivyo vinakuwepo kwenye nyumba za wagaeni na matumizi yake yanaeleweka kwa kila mmoja.
  16. B

    Simba sports club kuweni makini TFF kupitia Kagera wanataka kuisaidia Yanga.

    Tatizo siyo kupewa point tatu, ila ni sheria na kanuni zina mapungufu. Ili kukata mzizi wa fitina ilipaswa Kagera apokwe Point, lakini Simba pia asipewe point za mezani. Hali kadhalika kuwe na adhabu nyingine siyo kupokwa point tu ndiyo inatosha.
Back
Top Bottom