"haya sema maneno haya wajinga ndio waliwaoo*2" dawa ya kweli ya vidonda vya tumbo ni kula kwa wakati kama tumbo limeshaanza kuuma kula sana mboga za majani na matunda ila epuka matunda yenye acid..punguza futa sana kwenye mboga zako mabo ya nyanya nya inabidi upunguze au uyasahau kwa muda..na...
Haki za
makundi
madogo
katika jamii
45.-(1) Mamlaka ya nchi itaweka utaratibu wa sheria
utakaowezesha makundi madogo katika jamii:
(a) kushiriki katika uongozi wa mamlaka za nchi;
(b) yanapewa fursa maalum za elimu na fursa za kujiendeleza
kiuchumi na fursa za ajira;na
(c) kutengewa...
du ndo maana leo nimepita mida ya saa 10 alfajiri hakuna umeme sehemu kubwa ya viwanda maeneo ya pugu road na taa za katikati barabarani ya nyerere haziwaki
mie nimekaa nikaona bora hospitali kubwa zishinikizwe kutumia mfumo kama wa crdb ya makumbusho....ukifika unachukua namba ya digiti na kuingia kwa daktari iwe ni mashine ya umeme isome namba YAKO, hapo tutakomesha ubaguzi
asante mkuu kwa maelezo mazuri ila yule nes na mgonjwa aliyekuja nyuma yangu kwa mazungumzo tu wanafahamiana ..maana daktari alisema anaona mgonjwa wa mwisho kabla ya kuenda raundi arejee badae lakini mhhh !! doctor akamwambia nes naona mmmoja wa mwisho nesi akamwambia bado mmoja ndio mimi sasa...
quality ya Tv nyingi itadhurika maana TV NYINGI HAZIJAjiICONVERT to digital we angalia quality ya CITIZEN TV.hapa kwetu kwa kiasi kikubwa camera nyingi zinazotumika field ni home use vile vidogo vya kupigia harusi..nenda mikoani ndo utaona..lazima pia media zikubali kuoutsource vipind kwa watu...
UJUMBE WA SIMU YA MKONONI NILIOPOKEA KUTOKA KWA PASCAL CASSIAN...LEO MCHANA MAJIRA YA SAA NANE
"Wapendwa mungu mkubwa nimepinduka na gari natoka Mbeya kwa huduma nimeumia mguu mmoja kavunjika yote miguu hapa Kitonga namchungaji nilie kua nae imepInduka mara3 lakini na aihimidiwe Mungu tena bado...
:tape:Inashangaza sana mikoa mingine ni lazima uwe na dish ndo uone tv zingine lakini kura za wasanii Mnaomba nchi nzima ila kuonesha mashindano mnachaguatv inayoonekana kwene madish na mikoa 6 kwa WATU antena michache mnaacha kupeleka katika tv zenye kuonekana nchi nzima jamani tbl someni ripot...
Acheni akili za kwene chupa fungu la mchicha hadi 100 mbona huko oyesterbay 1000 ni kidogo tena wanampuja muuzaji walipaswa kulipa 5000 mua wote watu mawazo ya kinyonyaji tu unaendesha gari la milioni 60 hutaki kugharamia msosi unalipa kodi milion kwa mwezi sasa mchicha buku unalalamika kha?
Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata.
... Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa
aibu, japo John hakukugundua...
Hapa nionavyo mimi gondwe sio tatizo tatizo ni programming za media zetu hawana specialization so jambo hili ndilo tatizo la kushindwa kujua mtu kama gondwe anafiti kipi zaidi.......so gondwe sio tatzizo zinginezo zilizosemwa ni changamoto tu katika kazi yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.