Search results

  1. mluga

    Maswali kwa bashe dhidi ya mgombea wake.

    Naomba umpelekee swali hili Bashe: Je ni kuwa hakuna rushwa?
  2. mluga

    Yusufu Manji kwaheri!

    Mawwazo ya kijinga haya, uzembe wa kipa, ni kuwa Manji alimwambia toka golini?
  3. mluga

    Abiria chunga mzigo wako

    Mpemba huyo, huko Pemba vitu vya kawaida saana, Takashi upo mtwana?
  4. mluga

    Asante sana Ngeleja

    Bi Celine, Mbona hajaonekana kwenye mazishi ya MPENDWA? au ulimwakilisha?
  5. mluga

    Ligi Kuu Tanzania Bara, Raundi ya IV: 18 Oktoba 2014

    Mtoto akijinyea, anataka KUCHAMBWA utaona alivyo na kelele, sasa ndo haya nayaona kwa wapenzi wa MNYAMA. Mzazi hamtumi mwanae, TUNAWACHAMBA tu usihofu
  6. mluga

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Nadhani hujui unachoongea au kuandika, unashangilia Taifa lako kuingiliwa katika miiko ya uongozi kisa wewe huipendi Yanga. Hapa swala si yanga ni udhaifu katika uongozi wa CECAFA.
  7. mluga

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Malinzi, Rejea habari za Yanga kukataliwa kupeleka timu ya vijana, nauomba uongozi wa TFF utoe ufafanuzi, ni wapi ilipoandikwa kuwa timu iwakilishwe na nani? Kama nia ni kukuza soka la ukanda huu, basi hii ni kitu cha ajabu saana, nia na dhamira ya Yanga ilitakiwa kuungwa mkono, kwani ilikuwa...
  8. mluga

    Yanga yaenguliwa Kombe la Kagame, Azam wachukua nafasi yao

    Mkuu Makoye Matale, Binafsi nawaunga mkono, na hili swala nililiandika mapema katika link ya Malinzi, na kuuliza maswali kadhaa juu ya uendeshaji wa shirikisho hili. Soma kwenye link hapa chini sababu nilizotoa. https://www.jamiiforums.com/sports/598842-maswali-na-ushauri-kwa-malinzi-28.html...
  9. mluga

    wapiganaji wa Jihadi (ISIS) watakangaza kutahiri wanawake ?iraq

    Hivi wewe ni mtoto ndani ya ndoa?
  10. mluga

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Malinzi, Hivi CECAFA, inashirikisha vyama wanachama katika kuanadaa mashindano(ratiba) yake, i.e klabu bingwa? Na je nia hasa haya mashindano ni nini? kukuza mpira ukanda huu, biashara, kukuza maelewano ya viongozi? Nauliza hivi, kwa sababu, nikiangali tu tuchukulie mfano wa wawakilishi wa...
  11. mluga

    Russia Provides Photos that Kiev Forces Deployed BUK

    Haya sasa, kwa nini uchague wandishi, mjifungie ha ha ha ha ha
  12. mluga

    Russia Provides Photos that Kiev Forces Deployed BUK

    12m ago US intelligence supports theory of rebel 'mistake'A press conference was held this afternoon by the US office of the director of national intelligence (ODNI), at which select reporters were briefed on US intelligence with regard to MH17, the SA-11 missile system suspected, and rebels'...
  13. mluga

    Russia Provides Photos that Kiev Forces Deployed BUK

    Warusi, wamesema watoe hizo image tuzione, na wao watatoa kutoka kwenye space. Sasa mpaka saa hii, kwa nini Ukraine Intelligence service, haijatoa kukanusha explanation ya ile video walitoa? na wapeleke wandishi wa kimataifa waka hakiki hiyo sehemu? KGB, wametoa na kueleza na kueleza ipo sehemu...
  14. mluga

    Russia Provides Photos that Kiev Forces Deployed BUK

    Hebu tazama na kusikiliza vizuri hiyo press conf,. hivi unakumbuka Gen Collin Powell? ndo haya yanakuja, Marekani angekuwa anacho kidhibiti tayari angekuwa ameunguruma, hii imetolewa chambo ili kupata nafasi kumtenga mrusi, ili waikamate Ukraine na pia kwa Urusi kumpa hifadhi Snowden. Hivi...
  15. mluga

    Russia Provides Photos that Kiev Forces Deployed BUK

    Mkuu, Wamewavua nguo Ukraine, intelligence agency ya Ukraine wamechemsha, sasa Marekani atoe hicho chombo chao cha space, kilikuwa hapo kinafanya nini? na mbona hawatoi picha kutoka space na position ya wapi ilitoka hiyo misile? Na hizo jet fighter zilikuwa zinatafuta nini? Mbona Ukraine...
  16. mluga

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Malinzi, I came across this very interesting article, hopeful will help you and your organization. Cheers!!!!!!!!!!!!! How Germany's 14-Year Plan Destroyed Brazil By Brendan Greeley July 08, 2014 10:48 PM EDT Photograph by Alex Livesey/FIFA via Getty ImagesThomas Müller of Germany...
  17. mluga

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Hivi, hakukuwa na conceptual design? ili hata iweze kutoa fursa ya kamati yenu kujadili? Na kwa mradi ambao ni mali ya public insitution, kwa nini hamkutoa tender ili ma archtect waweze kushindana, na nyinyi mwisho mnapata kitu safi ambacho ni cost effective. I really wonder, ohh Malinzi...
  18. mluga

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Hebu tuache ushabiki wa kitoto, hivi waliopita wote hawajawahi kweli kushinda?
  19. mluga

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Malinzi, Sina wasiwasi, ila uongozi wowote ulitukuka huendana na transparency katika mapato na matumizi. Hiki kitu haina maana watu wanapotoa ni kuwa wana wasiwasi, la hasha. Hii si kwa faida yako tu, bali hata kwa wengine wote.
  20. mluga

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Malinzi, Eneo hilo ni zuri saana kwa executive business center. Hamtakiwi kujenga maduka, kuzunguka hapo na kuweka hotel, kumbuka unapoweka hayo maduko ya frame, hali ya usalama inakuwa ni mbaya saana, na hata watu wa kulala hapo unahatarisha maisha yao. Kilichokuwa kinatakiwa na kujenga...
Back
Top Bottom