Search results

  1. R

    Real & Perfect ways of making mean money online

    Samaani👐 nilimaanisha ku- make
  2. R

    Real & Perfect ways of making mean money online

    Salama jamani? naombeni kujua namna ya kufanya kazi online na kutengeneza hela bila kuwa na blog au website,kama kuna mzoefu anisaidie✌
  3. R

    Nini maana ya "ZIP CODE"

    Samaani wakuu kama mlisha wahi kuongelea kuhusu hili,ila linanisumbua sana, katika site nyingi ninazotaka kujoin au ku ship online huwa wana niambia niweke Adress yangu na hiki kitu kinaitwa Zip Code,sasa mimi sikielewi ni code gani ninayotakiwa kuweka, naombeni msaada
  4. R

    Hodi

    Hi everyone,mi mgeni humu:baby:,naombeni mnifundishe jinsi ya kutumia JF vizuri
Back
Top Bottom