Search results

  1. M

    Natoa gari langu aina ya Surf na maisha yangu kwa M4C - Mawazo

    Shikamoo mwanangu, nasalimia pesa zako na moyo wako wa kujitolea kwa ukombozi wa nchi yetu.....aishiye kwa upanga hufa kwa upanga, CCM inapelekwa Makaburini na CDM ndio wanafufuka.
  2. M

    Sababu iliyomfanya mkuu wa mkoa Arusha kupigwa mawe

    Hivi semina elekezi wanazopatiwa kwa gharama kule Ngurdoto, huwa wanapewa mtihani kupima uelewa wao?sawa na kwenda na suti kuzindua mbio za marathoni?...kabla ya kuongea fanani lazima ujue hadhira unayoenda kuzungumza nayo. Vema na haki walichotenda wanafunzi
  3. M

    Balozi Karume: Usultani hauna uhalali wa kuitawala Zanzibar

    Nini chanzo......BALOZI Vs PROFESSOR? -Chuki ya Madaraka -Kutoka kuonekana msomi -Kutaka kudhihirisha family ya Ndumilakuwili
  4. M

    Dr. John Pombe Magufuli & Morgan Tsvangirai Wahudhuria Uzinduzi Kampeni za ODM Kenya

    Sasa Pombe na Morgan kuhudhuria uzinduzi wa kampeni ni Breaking News are News Broken
  5. M

    Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    Hadithi....hakuna hoja, huu ndio ushahidi wa kutekwa? Tofautisha kutekwa na kujificha
  6. M

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    Tumechoka na tabia hizi za udaku..........tumepuuza mengi, sasa imesomwa taarifa yake na bado majibu ni mengi kuliko maswali
  7. M

    Kifo cha rais wa Ghana, Viongozi wa Tanzania watajifunza nini?

    Raha ya milele umpe ee Bwana Mungu, na mwanga wa milele umuangazie....apumzike kwa amani. Africa have lost dreams and promise
  8. M

    Je kuongeza kodi kwa wafanyakazi (PAYE) kutamkwamua mfanyakzi au ndiyo maumivu kwao?

    Mawazo wanayotuwazia CCM si mawazo ya amani na upendo, vita ya kiaina
  9. M

    Lukuvi: Tanzania inafanya vizuri kuliko hata inchi za dunia ya kwanza, na ......

    Kilichonishangaza zaidi ni pale aliposema "unakuta wizara au halmashauri ilipotembelewa na CAG haikuwa na risiti/viambatanisho vya matumizi, lakini ripoti ya CAG ikitoka unakuta tayari wameshapata risiti/viambatanisho...kwahiyo zile tuhuma zinafutwa kwenye ripoti". Upuuzi mtupu, siamini kama...
  10. M

    Lukuvi: Tanzania inafanya vizuri kuliko hata inchi za dunia ya kwanza, na ......

    Kilichonishangaza zaidi ni pale aliposema "unakuta wizara au halmashauri ilipotembelewa na CAG haikuwa na risiti/viambatanisho vya matumizi, lakini ripoti ya CAG ikitoka unakuta tayari wameshapata risiti/viambatanisho...kwahiyo zile tuhuma zinafutwa kwenye ripoti". Upuuzi mtupu, siamini kama...
  11. M

    Zanzibar: Risasi zarindima!

    Tatizo/hoja ni kutotaka Muungano au ni Wakristu?...wamechoma kanisa la K/koo-Znz na kuchoma gari la Askofu nk. Nilikuwa napita tu
  12. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Huyu Shibuda ni sawa na Mrema alivyoiua NCCR then TLP...ni mpinzani wa wapinzani
  13. M

    Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

    O Level 1981-1982?....1year. Kweli kasi za maisha
  14. M

    Dr Kitila Mkumbo aing'arisha CHADEMA vyuo vikuu

    Kupenda kazi....kusema kweli CDM ipo juu kama rubani hewani, kila siku CC-Mafisadi inazidi kubakiwa na vikongwe....wale wa-today wanawaona kama Chocklate za Bamia
  15. M

    NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

    Kweli wananchi sasa tunapaswa kuiimba Tanzania.....kwa hekima na wingi wa sifa kwa kuanika ufujaji huu
  16. M

    LEAK: Document ya hukumu ya Godbless Lema HAPA

    Watu heee.....thanks sana kwa hii docs
  17. M

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Brazilian: Ndio CV halisi ya msema hovyo, updated kwenye website ya Bunge
  18. M

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Mbigili Primary School Primary Education 1980 1987 PRIMARY CCM College Ihemi Certificate 2007 2008 CERTIFICATE Ministry/Political Party/Location Position From To Chama Cha Mapinduzi...
  19. M

    Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

    Gharama ya fidia itakayolipwa CDM, itatosha kugharamia Uchaguzi 2015
  20. M

    Blandina Nyoni na Dr Deo Mtasiwa bado wapo Wizarani

    Kweli akili za mbayuwayu changanya na za kwako...I.e Pinda kawatoa madaktari barabarani?
Back
Top Bottom