Search results

  1. majata

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Muanzisha mada, Je! Unaamini wewe binafsi una Mwanzo!? na Je! ni nini fikra yako kuhusu mwanzo wa Uhai duniani!?, ukijibu haya maswali mawili nitakuja kukujibu vizuri kuhusu Mungu.
  2. majata

    Mbunge asema kilimo kinazungumzwa miaka nenda rudi lakini hakuna kinachotatuliwa

    Naomba niungwe tu kwenye hiyo kamati, ninao mwarobaini wa tatizo la kilimo Tanzania, siwezi kuandika sana lakini naahidi kwamba mtaona tofauti kubwa kati ya sasa na kilimo baada ya hii kamati, tutajivunia tena kuwa na wakulima wanao nufaika na wenye tija na uwezo kamilifu, uwezo ninao kwakuwa...
  3. majata

    PM Majaliwa: Bwawa la umeme kukamilika Juni 2022

    Hivi unafikiri transformer, Generators na control system zote zitafungwa za mwaka 70 kwa akili yako!!?..😀😀Labda CAG yeye mwenyewe au team yake hawako compitent juu ya feasibility study ya mradi wowote wa umeme, wanaposema imetumika feasibility ya miaka ya 70 sijui wameisoma vyema hiyo...
  4. majata

    Spika Ndugai awataka vijana kubadili fikra kuhusu ajira

    Ajira ya ubunge ni free, kila kijana au mzee anaruhusiwa kuirtafuta.
  5. majata

    Wizara ya Kazi na Ajira angalieni mfumo wa makampuni kukodisha wafanyakazi

    Maswali mazito, lakini ukisoma vizuri hapo juu nimesema kunaviashiria, hivi kama makampuni mfano yote mawili kampuni Mama na makampuni mengine yaliyojuu ya mnufaika wa mwisho ambaye ni mtanzania yote yanapata faida(udalali) kutoka katika jasho lako wewe kwanini basi isiwe wewe uajiri we na hiyo...
  6. majata

    Wizara ya Kazi na Ajira angalieni mfumo wa makampuni kukodisha wafanyakazi

    Mfumo wa ukodishaji wa wafanyakazi umeshika kasi sana hususani kwa makampuni Mengi makubwa hapa nchini, hili lipo sana sana kwa yale makampuni yaliyo na chimbuko la nje ya nchi. Mfumo huu unaviashiria vya ukwepaji wa mambo fulani ikiwemo kodi kwa Serikali, utakatishaji wa fedha na kunyonga...
  7. majata

    Kama umeingia madarakani kwa dhuluma na ghilba, huwezi kufika 2025

    Bila shaka hii umeielekezea kwa mungu wa kabila lenu. - Mungu Muumba wa ulimwengu na vyote vilivyomo ndiye anayeijua hatima ya watanzania yeye ndiye huwapandisha na kuwashusha watawala haambiwi na mwanadamu amhukumu na nani ampe haki - Mwombe Mungu ili kiongozi aliyemruhusu atawale atende haki...
  8. majata

    Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

    Jiongeze tu, Hayo makelele ya kampeni tunayosikia huko barabarani sio kuingilia uhuru wa mtu!?. Unataka iwe kwamba kila mgombea awafuate wale wa chama chake au wale wanaompenda tu!?, kama mtu kakuomba kura kwa message ni jukumu lako wewe kukataa kama huridhiki na huyo mgombea huu ni wakati wa...
  9. majata

    Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

    Hivi zambia, kenya, malawi nchi zilizo badili vyama vikongwe mbona bado vina andamwa na umasikini uliokithiri - kwa akili yako unafikiri tatizo ni ccm!? - tatizo la Africa ni watu mnaofikiria kama nyie ambao hata hatua za maendeleo hamzijui mnaolala mkiota mnakula mkate wenye siagi wakati hamjui...
  10. majata

    Lissu asema CHADEMA itaigawa Tanzania kwa Majimbo. Kila jimbo litakula kwa urefu wa kamba yake

    Labda afafanue maendeleo ya vitu au maendeleo gani!?.
  11. majata

    Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM haitoboi

    Kwa tathmini hii umejidhalilisha, Tanga nani wakumpiku ummy Mwalimu!?, Tanga hakuna upinzani kabisa hao washindani.
  12. majata

    Uchaguzi 2020 Ni mpambano kati ya muweka msingi wa maendeleo ya kweli kwa miaka mingi ijayo dhidi ya mkurupukaji mwenye malengo mafupi yanayotegemea uwepo wake?

    Kuchora picha ya Ghorofa sio kumiliki ghorofa. Huyo unayemuita mwenye maono ya mbali anafaa awe mshauri tu wa Rais tena apunguze jazba arudi chini amsadie Rais sababu yeye hana sifa za kuwa Rais atakayewaletea wananchi maisha bora. Tanzania na Africa nzima tunahitaji marais watakaotuondoa...
  13. majata

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, ilani yako na CHADEMA itahitaji msaada zaidi ya asilimia 90, tutarudi utumwani

    Hivi Maandamano yameisha!?, na alichokisema jana kawe ni maandamano ya kudai haki kwa walioenguliwa au ndiyo ilani!? Wanatuchanganya wananchi.
  14. majata

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Maamuzi yao ya kitoto ndiyo yanatufanya hata tuone kuwapa nchi ni kuiweka rehani nchi yetu.
  15. majata

    Vurugu za Hai, kuchomwa moto ofisi za CHADEMA Arusha na uasi uliobalehe na kukomaa ndani ya CHADEMA

    Huyo mpayukaji wenu ana Busara gani!? Huyo anayejiona mjuaji kwenye kilakitu!! - Magufuli ndiye chaguo letu mwacheni aijenge nchi yetu bado wananchi wengi wanamwelewa nakuona jitihada zake - nyie mliochagua mlengo wa ushoga na kujipendekeza kwa wasiotutakia mema lazima Mumuone Rais wetu mbaya wenu.
  16. majata

    Kenya won’t compromise health to resume flights to Dar, says Transport Minister

    Since the time you started to regard TZ as a High risk corona country to date it has proven you wrong, bad enough you are the one suffers the most, our schools are open for month's now, sports and recreational activities, busness everything is normal this part and we dont see people falling as...
  17. majata

    Watanzania chagueni Lissu au Membe kuwaongoza 2020-2025 kwa maslahi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Zambia malawi wamepata nini kamasio wametangatanga patupu, tutampigia magufuli kwa kura za kishindo.
  18. majata

    Uchaguzi 2020 Oktoba 2020, Tunachagua kati ya Utu wa Mtu na Maendeleo ya Vitu

    Sisi watanzania tunakwenda na Magufuli.
Back
Top Bottom