Search results

  1. MAKA PEN

    Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Hauna nidhamu ya biashara wewe, kuna siku nimekwambia nipo mlimani city nakuja hapo kwa remy ukasema poa. Nimefunga safari kufika kwa remy haupatikani kwenye simu, uliizima kabisa hata sikukuelewa ni kwanini ulifanya hivyo na ndipo nikaanza kuhisi yawezekana wewe ukawa ni tapeli ambaye hauna uzoefu
  2. MAKA PEN

    Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Kubali au kataa lakini wewe ni faizafoxy, isitoshe kuwa faizafoxy si kosa wala tusi ila ukweli ndio huo.
  3. MAKA PEN

    Maoni, Mawazo & Ushauri kuhusu biashara ya Rasta na Weaving

    kwa ambaye pia anajua brand nzuri ya nywele na style zake naomba aniambie wadau
  4. MAKA PEN

    Maoni, Mawazo & Ushauri kuhusu biashara ya Rasta na Weaving

    inategemena na supplier Honey Faith
  5. MAKA PEN

    Maoni, Mawazo & Ushauri kuhusu biashara ya Rasta na Weaving

    Wadau habari. Kwa mtu yeyote yule anaifahamu vizuri biashara ya nywele zinazotoka nchini China naomba anifahamishe, sina uelewa kabisa na hii biashara. Ningependa niifahamu vizuri nione kama inafaa au la. Nimepata supplier mmoja kutoka China, amesema wao wanauza kwa kilo. Ambapo nusu kilo...
  6. MAKA PEN

    Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Hauhitaji kuwa profesa kufahamu kuwa hii ni biashara ya faizafoxy......
  7. MAKA PEN

    Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Hauhitaji kuwa profesa kufahamu kuwa hii ni biashara ya faizafoxy....
  8. MAKA PEN

    Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Hauhitaji kuwa profesa kufahamu kuwa hii ni biashara ya faizafoxy..
  9. MAKA PEN

    Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Hauhitaji kuwa profesa kufahamu kuwa hii ni biashara ya faizafoxy,
  10. MAKA PEN

    Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Hauhitaji kuwa profesa kufahamu kuwa hii ni biashara ya faizafoxy
  11. MAKA PEN

    Nyumba inauzwa haraka Ukonga Mombasa Dar es salaam

    Mpe pole kwa matatizo mkuu, i really feel his/her pain
  12. MAKA PEN

    Viwanja vinauzwa bei poa Mbezi Msakuzi

    viwanda gani mkuu? hahahahaha
  13. MAKA PEN

    NSSF waanza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    hizo tetesi umezitoa wapi?
  14. MAKA PEN

    Mkombozi Bank: Miamala iliyofanywa kupitia Akaunti ya VIP Engineering ilikuwa halali

    ligera unamtazamo gani kuhusu hisa za CRDB na hisa za DCB? Humo kote nimo..... Swiss na NMB sina wasi wasi
  15. MAKA PEN

    Mkombozi Bank: Miamala iliyofanywa kupitia Akaunti ya VIP Engineering ilikuwa halali

    wanaobisha ni watu wasio na hisa za mkombozi na yawezekana ni watu wasiojua kabisa kuhusu soko la hisa
  16. MAKA PEN

    Mkombozi Bank: Miamala iliyofanywa kupitia Akaunti ya VIP Engineering ilikuwa halali

    Kwa yeyote anayepingana na ligera aje anunue hisa zangu, nimeweka hisa zangu sokoni toka tarehe tano mwezi wa kwanza lakini mpaka muda huu ninapoandika post hii tarehe 25 mwezi wapili hakuna aliyethubutu kununua hisa zangu za Mkombozi.
  17. MAKA PEN

    Siloam church

    Pdidy ana majibu ya maswali yako yote
  18. MAKA PEN

    Uchawi bungeni wafika Usalama wa Taifa, Polisi

    ripoti tafadhali
Back
Top Bottom