Search results

  1. lukesam

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Kamanda, tutapata Katiba mpya kweli?
  2. lukesam

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hivi kuna timu mbovu kama hii yetu kwa sasa? Kila nikiitazama hii timu ikicheza napata mashaka kama huwa inafanya mazoezi ya pamoja. Ni aibu kwakweli!
  3. lukesam

    Mtu mwenye Ualbino ni mlemavu au sio mlemavu?

    Ulemavu wao unatokana kweli na mazingira waliyopo, mazingira ya Tanzania ni joto na jua kali hapo albino lazima awe na changamoto na hapo atakuwa anaonekana mlemavu. Ila huko Uengereza kwenye baridi, Albino anaishi kama mtu asiye na shida yoyote.
  4. lukesam

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Tangu nijiunge na JamiiForums sijawahi kuona mtu amejihoji maswali ya kijinga kama huyu. Sidhani kama kuna mtu atakufunika kwa kujihoji maswali ya kijinga zaidi ya haya.
  5. lukesam

    Luhaga Mpina katumwa na nani?

    Wewe umetumwa na nani?
  6. lukesam

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Nilikuwa sijazoea hayo mambo mkuu, baada ya muda mfupi ndio wakaniambia mwanamke akikupenda anakuona kama mtoto wake. Kuanzia hapo nikaacha kushangaa.
  7. lukesam

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Njia pekee wanayoweza kutumia ili kupata masikio ya watu ni kuwakosoa vikali watendaji wazembe ndani ya serikali, kuanzia mawaziri. Sasa wewe wananchi wamechoka na uzembe wa serikali wewe unaenda kuwapigia ngonjera za serikali imefanya hili na lile, hawawezi kukuelewa. Makonda alikuwa...
  8. lukesam

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Nafikiri huwa akiniangalia nikiwa na watoto huwa ananiona kama mtoto wake wa kwanza.
  9. lukesam

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Mke wangu alipoanza kunifanya kama mtoto wake, mara aanze kuhakikisha nimekula na nimepumzika, anichagulia nguo za kuvaa.
  10. lukesam

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Mabovu, tunatupiwa mavitu mabovu na ukarabati ni finyu.
  11. lukesam

    Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

    Tofauti kubwa ni kwamba Lowassa alikuwa na watu na alikuwa na uwezo. January hata hapo ndani ya chama akisimamishwa na mgeni Josephat Gwajima bado hawezi kumshinda Gwajima.
  12. lukesam

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Inadaiwa, na Ruto amewahi kusema, Ogolla ni mmoja ya watu ambao walitaka asiwe Rais wa Kenya. Anadai alitumwa kumzuia mwenyekiti wa tume ya uchaguzi asimtangaze Ruto kama mshindi. Licha ya hayo yote, Ruto baada ya kuwa rais aliamua kumteua kwakuwa aliamini ni mtu makini na mwenye sifa zote za...
  13. lukesam

    Picha: Hili geto ni la mtu kutoka mkoa gani?

    Hapo sio kwa mganga?
  14. lukesam

    UZUSHI Mawingu yenye Mwonekano wa umbo la Yesu yaonekana Angani nchini Kenya

    Madhara ya bangi ni ya wazi kabisa katika jamii yetu.
  15. lukesam

    Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

    Kwa wakristo, Mungu anajitahidi sana kuwaonesha Mbwa mwitu wanaovamia imani yenu ila ni vichwa ngumu na wazito kuelewa. Mambo yanadhihirika kabisa kwamba viongozi wenu wa kanisa wanapingana na Mungu ila mnakaza kichwa na mnaanza kuwatetea!
  16. lukesam

    Ndugu zangu, wala hakuna uzuri kwenye jambo hili

    Hivi wewe umesoma mpaka la ngapi?
  17. lukesam

    Tumetoka kusali jumuiya kwa Baba ambae ni Mkatoliki na Mama ni msabato. Kiukweli kipengele cha kuangalia dini kwenye mahusiano ni cha muhimu sana

    Udhaifu wa kwanza ni kukubali kuishi ndani na mtu kama mkeo na asiwe anasali dhehebu moja na wewe.
  18. lukesam

    Hakika CCM haina watu tena, Wote walioteuliwa leo hawana Jipya ni wepesi kuliko pamba

    Labda ni kwasababu upinzani nao umedorora ndio maana CCM wanaamua tu kumpa mtu yeyote cheo? Yote tisa, kumi viatu vya Makonda Makalla hawezi vivaa labda ajaze magodoro ndani.
Back
Top Bottom