Search results

  1. M

    Sophia Simba ni Waziri Bogus

    mimi wala sishangai na siwezi kumlaumu huyo lisophia ila namlaumu aliyempa hiyo cheo, mama huyo kwanza hajui analofanya tangia awe waziri sijawahi kumsikia hata mtu moja anayemsifia, kuanzia utendaji wake hadi hotuba yake ni pumba tu, ingekuwa china huyo mama kashalimwa shaba ya kichwa, na watu...
  2. M

    CCM ijibu hoja za CHADEMA - Sumaye

    Ungempendaje Slaa Wakati anagusa maslahi yako? Wala siku shangai
  3. M

    CCM ijibu hoja za CHADEMA - Sumaye

    Viongozi wa serikali na chama tawala, naona busara zimewapungua, wanatumia pesa na nyadhifa kama busara, ndo maana tunahitaji katiba mpya ambayo viongozi wa serikali watakuwa na displine katika utendaji wao, mimi na wananchi wenzangu ambao tunateseka na hali ngumu ya maisha, tunatoa tamko, kuwa...
  4. M

    CCM ijibu hoja za CHADEMA - Sumaye

    Viongozi wa serikali na chama tawala, naona busara zimewapungua, wanatumia pesa na nyadhifa kama busara, ndo maana tunahitaji katiba mpya ambayo viongozi wa serikali watakuwa na displine katika utendaji wao, mimi na wananchi wenzangu ambao tunateseka na hali ngumu ya maisha, tunatoa tamko, kuwa...
  5. M

    Sheikh Basalleh wa Radio Kheri Ni Mchochezi

    Hapa kunahatari yatakayo jitokeza, swala la mtu kujadili na kuhoji udini wa myu mwingine kila siku si swala nzuri hata kidogo, uwingi wa wafuasi wa dhehebu fulani si sababu ya kuwa viongozi, hii ni dhana potovu kabisa na inachochea chuki na ugomvi miongoni mwa jamii yetu, huyo shekhe anapaswa...
  6. M

    Madiwani wa CHADEMA Arusha wamfukuza mkurugenzi wa TAMISEMI

    Habari za ndani ya mji wa Arusha, la kwanini meye wa mji wa Arusha ang'ang'anie nafasi ambayo hajachaguliwa ki uhalali ni kwamba yuko pale kulinda maslahi ya wa kubwa kwa garama yoyote, pale Arusha kuna mashamba yanaitwa mashamba ya Burka. yako karibu na makao makuu ya TANAPA na kwa Askofu wa...
  7. M

    Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

    ki ukweli January makamba hoja yake ni nzuri na ameweka facts na baadhi ya vitu ambavyo labda hata sisi hatukuya jua kama mtambo wa mwanza unaolipwa bila kuzalisha umeme, na jinsi huyo wakili alivyo cheza rough na tanesco, ila mimi na shukuru kwa ujumbe ambao sidhani kama utaleta nafuu kwa wa...
  8. M

    Namshukuru Mnyika kupeleka hoja ya katiba Bungeni-Sumaye

    Hivi huko serikalini hakuna hata mtu mmoja liye bakiza akili hata kidogo ya kutafakari kuwa wa Tanzania wa leo si wale wa enzi zao! hivi utalipaje campuni ambayo mmiliki wake hajulikani! je nani alikuwa anaendesha keshi inayo semekana ameshinda na serikali inapaswa kuilipa DOWANS, Hata hawa wana...
  9. M

    Unawafahamu warangi?

    Mi naona historia hukusoma au kama ulisoma basi ulizungusha, hakuna kabila linaloitwa wambulu, Mbulu ni wilaya, kabila ni wairaqw, wala hakuna wa gadzabe ni wa hadzabe, sasa warangi, wala hata hawahusiani na wairaqw, wala wanyaturu, wala wataturu, ila wa mang'ati, wa barbaig, wataturu, watatoig...
  10. M

    Nukuu toka tamko la waislaamu

    Hivi ni waislamu wa ngapi wanao soma kwenye taasisi za kidini! shule za sekondary, vyuo, vyuo vikuu, je serikali inavyuo vingapi ambavyo vinaweza kuakomodate waislamu wote wenye sifa za kusoma vyuo vikuu, mfano, tumaini universities zote 6 zina waislamu wangapi je wanaonewa! st Agustino na vyuo...
  11. M

    Sikizeni enyi masheikh na maaskofu!

    Naona wana JF sasa tunaelekea kubaya kujadili issue za udini, mtu anapohesabu mapungufu ya upande mmoja na kuweka kama ndiyo agenda ya kitaifa ni kupoteza maana na uhalisia wa mjadala, leo tunaweza kusema kipindi cha uongozi wa mwl nyerere waislamu walionewa, kwa vile Nyerere mkristo, je kipindi...
  12. M

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    sura ya kuuuza anayo basi labda ya kutishia watoto wakorofi au wasiopenda kula
  13. M

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    yule ni kinda la ndege tu.
  14. M

    Asante Kinana umetuokoa

    mimi si mwana chama wa chama chochote cha siasa, na sina nafasi yoyote katika chama chochote, ila kama huyo A.Kinana anathubutu kuhojiana na Dr Wilbrod Rais mtarajiwa awamu ya 5. na mimi acha ni seme kinana wewe ni campain manager wa kikwete, na wewe mwenyewe unaona upepo unakoelekea, mimi na...
  15. M

    Kikwete sawa na Mrema wa TLP

    muna mtu mmjoa mmemsahau, yeye siyo empty tu bali ni hola kabisa, marmo wa ofisi ya rais utumishi + hawa ghasia, wote upupu mtupu. na yule ambaye hazimtoshi mzee wa kulisha watu majani, mramba.
  16. M

    Elections 2010 Umafia wa CCM sasa ni dhahiri zaidi

    hiyo ni kujihami tu wala hawana lolote hawa wameshaishiwa sera ndo maana mkuu wao amebakia kuahidi tu, hata hajui atapata wapi pesa, mtu waajabu kweli huyu, haamini hata makada wake, anaamini familia yake na ya makamba, lakini kura anataka zetu, mwaka huu wake
  17. M

    Elections 2010 Umafia wa CCM sasa ni dhahiri zaidi

    hivi kama ccm inakubalika na wananchi mahangaiko yote ya nini! si wasubiri tu huo ushindi jue, wanahangaika na vikao vya usiku na mchana wa kazi gani!
  18. M

    Sheikh Yahya Alazwa !!

    labda ndo utabiri wake unatakakutimia, maana wiki iliyopita alitabiri, asipokufa ngombea urais mmoja atakufa yeye,
  19. M

    Mmh..Mashaka yanazidi kuniwia kuhusu JW

    kumbuka safari ya wana wa israel, kutoka nchi ya misri wakienda nchi walio ahidiwa na mungu, lakini farao na jeshi lake walipania kuwaangamiza, wakiwa wanaielekea bahari ya sham,nyuma jeshi la farao, mungu alisema na musa bahari ikafunguka nchi kavu ikaonekana na wana wa israel wakapita salama...
  20. M

    hapa mimi ndipo ninapokerwa na CHADEMA!!

    kwakweli wewe ndo unaelewa nini maana ya kuchoka na kutaka kufanya mabadiliko, hoja yako ni ya msingi sana, ila usikate tamaa siunajua saa zingine mambo ya uchumi, ila mungu ni mkuu, nina imani Dr atakuja huko lazima. pole sana na endelea kuwahamasisha watanzania, wanaopenda maendeleo, hata huku...
Back
Top Bottom