Mabeberu a.k.a. Majambazi
wa Ulimwengu,hawataki kuona Afrika inakua na kiongozi anayejitambua.Kiongozi yeyote aliyeamua kusimama kwa miguu miwili bila ya woga na kupambania maslahi ya wengi katika nchi yake,huyu ni hatari kwa maslahi yao.Wao wanahitaji viongozi 'idiots' ambao wataimba na kucheza...
Huku kwetu vijana wapo 'busy' na Simba,Yanga,pool table,singeli,kucheza kamari,uzinzi,kupiga dili n.k.Hawana muda na 'mambo nyeti' yahusuyo kesho yao.Na hali hii ndio mtaji mkubwa wa watawala wachovu wasiojua wanaelekea wapi.
Nakumbuka mawili:
1.Wanaofanya uhuni na fujo darasani ni wawili au watatu lakini mnanyukwa darasan zima.
2.Mnafagia viwanja vya shule huku mkibugia vumbi,ila akipita mwalimu mnalazimika msimame ili apite kwanza maana mtatimulia vumbi.
3.Mkipigana mnashughulikiwa wote bila kupewa fursa ya...
Hii ni sheria ya kiporaji na udhalimu mkubwa mno.Hii nchi mapesa mengi yanapukutika kwenye anasa za wakubwa wetu.Nchi hii siasa ni biashara,ukipata uongozi ni fursa ya kutajirika.Na wataendelea kupukutisha pesa za umma kwa sheria za kinyang'anyi mpaka hapo Watz watakapoamka usingizini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.