Search results

  1. kisute

    Inakuwaje wadada wanaona aibu kuchunguliwa papuchi zao wawapo kwa bed?

    HIvyo ilivo tu wakaka wanailamba, Je ikiongezewa uzuri si mtaitafuna kabisa
  2. kisute

    Kupigwa na mwekezaji kisa kutofika kazini, ni halali?

    Wana jamvi nahitaji msaada wenu kwa hili. Jamaa yetu mmoja (mtingaji mgodini) leo hii kapata kisago kisa hakufika kazini kwa siku mbili. Kabla ya kujitetea alipigwa na kiongozi wake ambae ni kaburu hadi kuzirai. Alipopata fahamu alijikuta yuko clinic kaumia mbavu na mkono mmoja. Je, kwa kosa la...
  3. kisute

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Mkuu nahisi unakoelekea siko. Enzi ya mwalimu si enzi hizi, kijana wa leo ana mtazamo mpana sana hutomlinganisha na enzi zile. Mfano mdogo to wale wazee wa Afrika mashariki angalia wanavyoteseka, wataka nasi tupate suluba ile ile??? Nionavyo mimi mnataka nchi iendelee kuwa maskini zaidi sio...
  4. kisute

    SSRA - YAJIBU maswali kwa barua pepe kuhusiana na fao la kujitoa(Withdraw benefit) - Resolute Mining

    Tarehe 30 July 2012 SSRA wametuma barua Resolute Mining kuhusiana na sakata la fao la kujitoa Kumb. Na.CB75/396/VOL.II/13 withdraw benefit soma hiyo clip. Je hili si changa la macho? Mbona hakuna nakala kwa NSSF makao makuu, mkoa hata wilaya? Naomba MCHANGO WENU Nawakilisha
  5. kisute

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Wafanyakazi wa mgodi wa North Mara (Barick) Jana walipokwenda NSSF kuchukua mafao yao baada ya kuwa wameachishwa kazi, waliambiwa wasubiri hadi miaka 60 kwani sheria hiyo imeanza kutekelezwa tangu 01 July 2012. Swali: Inakuwaje sheria ipitishwe kinyamela pasipo husisha wahusika? Life...
  6. kisute

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Jamani jana tulikuwa na hawa ndugu wa NSSF, kwa jinsi majibu yao yalivyokuwa hilo lipo laja japo hawajui lini itatokea hili.
  7. kisute

    How many Triangles ?

    Ziko arobaini (40) tu
  8. kisute

    Tanesco - je ni ukiritimba au ndo huduma zenu za luku ziko hivyo?

    Wana JF naombeni msaada kuhusiana na Luku. Nafahamu asilimia kubwa mnatumia luku na si mita za zamani. maswali yangu ni haya: - 1.Inapotokea Luku kuharibika au kutofanya kazi kabisa ukaripoti itachukua muda gani kubadilishiwa? 2.Je, utalipia tena Mita hiyo (luku)? 3. Je, ikiwa utasubili hadi...
  9. kisute

    Tanesco - je ni ukiritimba au ndo huduma zenu za luku ziko hivyo?

    Wana JF naombeni msaada kuhusiana na Luku. Nafahamu asilimia kubwa mnatumia luku na si mita za zamani. maswali yangu ni haya: - 1.Inapotokea Luku kuharibika au kutofanya kazi kabisa ukaripoti itachukua muda gani kubadilishiwa? 2.Je, utalipia tena Mita hiyo (luku)? 3. Je, ikiwa utasubili hadi...
  10. kisute

    Nape Nnauye: Toka moyoni mwangu

    Kaza Buti Nnauye.Jn Kazi ipo mwisho wa siku kitaeleweka.
  11. kisute

    Yako wapi Maamuzi ya Kikao cha CHADEMA?

    :smile-big:mengi yataongewa lakini uzi wabaki pale pele.
  12. kisute

    Ya Mwisho naacha Mapenzi......

    Je hukuwahi kuwa na demu mwingine kabla ya huyu wa sasa?
  13. kisute

    Rest in Peace Regia Mtema

  14. kisute

    Anataka wamzibue mtoto masiko.

    Kuwa uyaone,
  15. kisute

    Diamond ampa kipigo Wema Sepetu amharibu uso kisa sms ya mapenzi

    ndio wapatanao. Huko ni kukumbushana tu wajibu wa kila mmoja. Ndugu wakipigana chukua jembe ukalime ..........................
  16. kisute

    Chadema Wants CCM Out Of Igunga Race: CCM has violated elections ethics and regulations

    Nimeamini ndiyo maana waingia Igunga usiku na kutoka usiku huo huo. Unalala mchana usiku wakesha kama Bundi. Kazi kweli kweli.
  17. kisute

    Bora nife

    Ushauri gani mkuu. Wataka nawe uwe mshiriki wa kifo chake??? Emma.one achana nae utapata atakae kupenda kwa dhati b,cause wako wengi duniani.
  18. kisute

    Mwanamke ajifungua jiwe!

    Mkuu mimi shishangai kwani nimeshuhudia kama mara mbili wilayani Nzega - Ya kwanza mama alijifungua yai la kuku na furushi la dawa zxa kienyeji. Mama alikuwa akihudhuria clinic na kuambiwa maendeleo ni mazuri lakini mwisho alijifungua hicho. Tukio lingine lilitokea kijijini itiro ni nje kidogo...
  19. kisute

    Amwua Mwanaye Ili Aolewe!

    shetani kamzidi akili kiasi cha kujikuta akimtumukia bila ya kujijua. Naye anastaili adhabu hiyo hiyo iwe fundisho kwa wale wote wazaao na kuua. Bora amtelekeze na sio kuua. Kapoteza kiongozi mzuri wa kesho. Balaa na zimwandame maisha yake yote na mungu amnyike mtoto maisha yake yote.
  20. kisute

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Hiyo siku ya tano(05) - ina maanisha baada ya kutoka kumaliza hedhi ndo uhesabu siku ya tano ndo siku ya tano au tunahesabu tangu siku anaanza kupata hedhi?
Back
Top Bottom