Search results

  1. aye

    Jihadhari na makampuni ya Kitanzania yanayoagiza magari

    unashindwaje jisajili tradecarview , be foward au sbt ukaagiza gari mwenyewe? hao jamaa.janja janja sana bora uende showroom ukachague mwenyewe kama huwezi agiza
  2. aye

    Tarehe 31 Machi, 2022 TTCL wanapandisha bei ya vifurushi

    leo ndo tarehe 31 vipi bei zimepanda? Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  3. aye

    Tarehe 31 Machi, 2022 TTCL wanapandisha bei ya vifurushi

    acha uongo kesho tar 31 hakuna kitakachopandishwa Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  4. aye

    Phone4Sale Simu za mezani za laini (sim card)

    karibu ukiitaji tunapatikana mwenge tupigie 0712326009 pia tunafanya delivared free kwa dar
  5. aye

    Phone4Sale Simu za mezani za laini (sim card)

    ni ya kucharge mkuu battery 3000 mAh inakaa na charge muda mrefu
  6. aye

    Phone4Sale Simu za mezani za laini (sim card)

    hailipi mkuu
  7. aye

    Phone4Sale Simu za mezani za laini (sim card)

    tupo mwenge nzasa street tupigie 0712326009 ukifika mwenge tukuelekeze ofisini
  8. aye

    Phone4Sale Simu za mezani za laini (sim card)

    voice and sms tu mkuu
  9. aye

    Phone4Sale Simu za mezani za laini (sim card)

    Jipatie simu ya mezani inayotumia laini ya mtandao wowote ( tigo,voda,airtel,ttcl,zantel,halotel) Inau wezo wa kutuma message na kupokea, ina alarm pamoja na redio 80000/= call/watsup 0712326009 Dar free delivared Mikoani tunatuma kwa gharama za mteja.
  10. aye

    Mbona Bunge limevurugika?

    si tuliambiwaga wapinzani ndo wanavurugu bungeni au
  11. aye

    Wakazi wa Madale wapatwa na taharuki baada ya kuvamiwa na Nyati wa Porini

    mkuu nyati ashaingia mtaani taharuki imetanda na ni makazi ya waru kama unajua madale ni maeneo ya flamingo iyo sindano mpaka ije si angeleta balaa
  12. aye

    Elimu ya uvaaji vibarakoa bado ni ndogo

    kweli ukivaa mask mtaani wanakuona much know sana hata ukipanda daladala Sent using Jamii Forums mobile app
  13. aye

    Usijaribu kuchaji Simu yako kwenye bus za Ally's Star

    mi nkitakaga chajinsimu kwene mabasi natest na kitochi kwanza kabla ya smartphone guwa siziaminigi sana izo port Sent using Jamii Forums mobile app
  14. aye

    Tulioletewa bili za ajabu za maji ya DAWASA tukutane hapa

    hawa jamaa usipokuwa makini wanakubambika nliwaigi shauri msomamita anapokuja kuwe na mtu kuyoka nyumba husika ahakikishe wanachosoma kama ni kweli lakini wapi wakati mwengine hawaji wanakadiria Sent using Jamii Forums mobile app
  15. aye

    Tetesi: Kikao cha dharura cha wakuu wa vyuo vyote vikuu nchini kinaendela mjini Dodoma , kuna tatizo kubwa

    hili la graduate makazini ni tatizo liangaliwe kwakweli wahitimu wa sasa wanasomea wapate vyeti na kuvaa joho wapige picha lakini field ni utumbo mtupu Sent using Jamii Forums mobile app
  16. aye

    Mabati ya rangi/sunshare kwa price list ya kiwanda

    kuna alieezeka na mabati haya atupe mrejesho kama yanapauka au la
  17. aye

    Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

    nafikiri amejifunza mengi hatafanya kosa tena kwa muda wote aliokaa nje ya NBA bado ana nafasi
  18. aye

    DStv punguzeni bei ya vifurushi vyenu kwa ushindani

    nimesikia wanapunguza sept 1 bei
  19. aye

    Mfanyakazi wa Tigo - Tawi la Mlimani City akamatwa kwa utapeli wa mtandaoni

    nilijua huu wizi lazma kuna watu jikoni wanaika hao wanaopiga simu ni wamaliziaji tu watu kama hao wafungwe tu miaka mingi wameumiza watu sana
Back
Top Bottom