Search results

  1. wasaimon

    "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Pole sna, hayo ndo mapito hapa ulimwenguni, yakupasa kuvumilia kila jambo, kikubwa sasa inabidi ujirudi ktk maisha yanayoendana na kipato chako, funzo ulishalipata kwamba huyo mzee wako biashara hawezi, siku nyingine biashara vyema ukaifahamu kabla na hata kama wewe uko na ajira sehemu nyingine...
  2. wasaimon

    Lazima uwe mume -----..

    Teh!Teh!Teh!...nimefurahishwa na majibu yako Twende kazi! Safi sna...
  3. wasaimon

    Philip Mulugo, naibu waziri wa elimu wa Tanzania anasubiri nini ofisini?

    Kama alisomeshwa na Kanisa sidhani kama angeweza kununua jina la mtu na kwa ameshatoka sasa ni namna ya wewe na mimi tutoke vipi,....waziri chapa kazi bhana!! Achana na hizi longo longo, kuna jamaa aliwataja watu kwa majina kuwa wanavyeti feki na jamaa wakatishia kumshitaka wameishia wapi...?
  4. wasaimon

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Hongera Lema kwa ushindi! Mungu akutie Nguvu!
  5. wasaimon

    Haya ndio madudu yaliyotokea kwenye usaili tare 15.12.2012, Kinachoendelea UTUMISHI ni kiini macho

    Kalaghabao...hii ndo Tz mzee zaidi ya uijuavyo. Pole na pambana kitaeleweka tu.
  6. wasaimon

    Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

    MZALENDO WA UKWELI, WAKO NA WENGINE LAKINI NADHANI UOGA WAO NDIO UNAOWAFANYA WASHINDWE KUKUNJUA MAKUCHA YAO...Kikubwa hapa ni namna gani tutaweza kuifanya nchi yetu kupiga hatua katika uchumi haswa ktk huu ushindani wa soko huria la A.Mashariki, kiukweli kama tukiweza kuitumia reli kama kitega...
  7. wasaimon

    Lazaro Nyalandu vs Khamis Kagasheki vs Government Policy

    Kama walitumia njia za panya kwa manufaa yao TANAPA wako sahihi kuwafungia Ahsante Tours kwani utaratibu unaeleweka kuwa lazima mgeni na Mtz walipie kabla ya kupanda mlima au kuingia ndani ya hifadhi. Lakini napata shida kidogo serikali imefahamu vipi kiasi tajwa kuwa ndicho walichopaswa...
  8. wasaimon

    Shemeji yangu huyu ananitega!

    Aisee hongera kwa kupata shemeji mzuri, mwenye heshima na mkarimu kiasi hicho. Lakini kipi cha ajabu hapo...kukupigia magoti? kuna makabila jinsia ya kike kuchuchumaa mbele ya mwananume ni tamaduni, nadhani ni vyama nawe ukaendelea kumpatia heshima yake kama shemeji na wala usifikirie vinginevyo...
  9. wasaimon

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Mkuu asante kwa taarifa Mungu akubariki....
  10. wasaimon

    Boyfriend wangu ananitishia ameniwekea mtego

    Muongo huyo hakuna cha tego wala nini...ww fanya sio kwa kujaribu ingia na miguu yote,,,angekuwa amekutega asingekuambia ila anakutisha ingawa kwa namna moja ama nyingine ni nzuri kukulinda kwa style hiyo kwani kujaribu jaribu nayo sio ishu.
  11. wasaimon

    Wanaume stress tupu!!

    Hapana kwani hata mdada mwenzio nae atakupa stress dawa ni kukomaa tu kwani stress ni kila mwana wa Adam hivyo usijekwepa mkojo ukaenda kukanyaga kinyesi...ww tulizana na huyo anaekupa stress kikubwa usiwe mtu wa kufuatilia vitu vidogo vidogo.
  12. wasaimon

    Tanzia: Smile afiwa na mama yake mzazi.

    RIP mama mpendwa.....pole sana Smile.
  13. wasaimon

    TRUE STORY...msinirushie mawe

    Pole na kwa upande mwingine hongera kwa kutaraji mtoto toka kwa huyo demu wako.Kikubwa jua ya kwamba huwezi kugawa penzi hivyo kama uliamua kuzaa nje ya ndoa yako basi huo ni usaliti mkubwa sana ndani ya ndoa yanu, je mkeo nae akiwa na DUME lingine nje utafurai? Kama ndivyo...KILA...
  14. wasaimon

    RIPOTI MAALUM: Mtandao wa ufisadi, siri hadharani

    Aisee...hii ndo tz zaidi ya uijuavyo...Asante kwa taarifa mkuu. Barikiwa sana.
  15. wasaimon

    Jamani Mume wangu Ananiogopa...

    Muulize taratibu atakupa sababu na kukaa kwako sio sbb ya yeye kuogopa kukueleza ukweli lkn huenda ndo nature yake, endelea kumdodosa utalijua hilo.....
  16. wasaimon

    Mwanzo mgumu lakini mvumilivu hula mbivu

    Mkuu hongera sana na ni mfano mzuri wa kuigwa...God bless you!
  17. wasaimon

    Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

    Yaani leo ndio unalitambua hilo? Pole..chama kinawenyewe hicho...c chama cha wakulima na wafanyakazi tena. Lakini ndivyo ilivyo "SIKIO LA KUFA HUWA HALISIKII DAWA" Barikiwa sana watu wa Mungu mnaoomba juu ya nchi hii...iko siku hata yasiyotarajiwa kuwa hadharani yatajitokeza...endeleeni kuomba!
  18. wasaimon

    Wedding Anniversary

    Hongera sana FP na Mungu azidi kuwabariki na kuwalinda ktk maisha yenu.. Amen!
Back
Top Bottom