Search results

  1. I

    Elections 2010 Uchaguzi 2010 chanzo cha jamii forums foundation, (jff).

    JATROPHA, pole sana kwa mtazamo potofu na watu kama nyie Dr Napoleaon hills amesema mna mtazo potofu au negative thoughts, sijasema hamna pesa ila ninachoongelea sio kuongea sana,kama mnavyofanya lakini hakuna lolote zaidi ya kupinga na kuonyesha mapungufu. Huyo Dr Slaa tunaemtaka na tunae...
  2. I

    Elections 2010 Uchaguzi 2010 chanzo cha jamii forums foundation, (jff).

    Habari zenu ndugu zangu watanzania, natoa shukrani za dhati kwa wote wlioniomba niwatumie kitabu JE TUMWAMBIE RAIS?pia nashukuru kwa maoni yote ya wachangiaji wa mada nilioitoa, ingawa kuna alieniuliza kwa kejeli kama siogopi kufa kwanini nilikimbia?napenda kuwakumbusha ya kwamba kukimbia si...
  3. I

    Elections 2010 KADA wa CCM atoboa siri CCM mambo magumu

    Asanteni sana ndugu zangu wa Tanzania naamini sasa tumepevuka kifikra na wakati umefika, mimi niliandika kitabu na kukiita je tumwambie Rais? na baada ya kumpa Reginald mengi ili akitoe matokeo yake akampelekea kikwete kisha wakaanza kuniwinda mpaka nikakimbia nchini. hawana jipya CCM, na mungu...
  4. I

    Kikwete avunja record 14 !!!!!

    we mkali ndugu yangu huyo jamaa hafai na mungu amlaani na sio siri ana nuksi na mungu hawezi kutubariki kama tuna rais mdhambi na mnafiki kama huyo. haya jamani wakati ndio huu wa kumwaga haramia huyo.
Back
Top Bottom