Search results

  1. B

    Match not found on mmu

    so y is so big deal???// mapenzi mapenzi tu kiila mtu ana haki ya kuheshimu hisia zake
  2. B

    hahahahahaha

    ‎"Jamaa mmoja alikuwa ndani ya daladala, Tumbo likaanza kumsumbua coz of gesi. Jamaa akaona bora ajambe kwa kufuata bit la mziki. Kweli Jamaa akajamba kwa kufuata biti la mziki na tumbo likatulia. Alipokuwa akishuka akashangaa kuona watau waliomo kwe ile daladala wakimshangaa kichizi...
  3. B

    Nini kinachowasukuma baadhi ya kinadada/kinamama kukubali kuwa 'nyumba ndogo'?

    dah nimepnda sana mawazo yako kaka hnk i can add up somethng the thing is bado wanawae wengi wana maisha ya kuigiza "nataka kuishi kama flan",ofcoz kila mtu anatamani kuishi maisha mazuri bt utofauti ni kwamba watu wengi wanaexpect too much in too soon umasikini wa fikra na kutojiamini...
  4. B

    Sugu awatukana waandaaji wa fiesta kwenye facebook

    kwahiyo sugu ni chadema au sugu ni member wa chadema?????????
  5. B

    Sugu awatukana waandaaji wa fiesta kwenye facebook

    jiheshimu ww hapo kavaa sura ya usanii so acha awe msanii na kama una chuki binafsi na chadema useme
  6. B

    Wanafunzi UDOM wadaiwa kutengeneza mabomu-Siasa na elimu

    ivi ni kweli uyo mkuu wa wilaya yupo serious au!!!!!kama kweli serikali inadai inaondoa siasa vyuoni hiki anachofanya uyu ni nini??????siamini kama viongozi wengine hasa wa chuo wanaliona hili afu wapo kimya 2,,kwa kweli tz hakuna tunapo elekea kwa staili hii..,viongozi wa udom nao badala ya...
  7. B

    Wanafunzi UDOM wadaiwa kutengeneza mabomu-Siasa na elimu

    Kwa kweli Kikula una matatizo, kama unao ushahidi wa hao waliotaka kutengeneza mabomu, wafungulieni mashtaka mahakamani, huwezi kudanganya watu wazima kwa kuja kwako usiku kuzuia mgomo kwa madai kuwa matatizo yetu yanashughulikiw a, tulipogoma mwezi disemba mwaka jana mliahidi pamoja na...
Back
Top Bottom