Search results

  1. M

    Nchi ya ovyo, viongozi wateule hata wakiulizwa salamu tu lazima wamshukuru na kumsifia Samia

    Na tutamlazimisha atawale hadi mwaka 2040 atake asitake tutamlazimisha!
  2. M

    Michepuko ya mume wangu ni ndugu zake wa damu

    Binamu ni kinyama cha hamu eeh!
  3. M

    Rafiki yangu kaharibu gari langu

    Hujaharibu, upo sahihi kabisa. Aliyekurekebisha ndiye aliyekosea!!
  4. M

    Rafiki yangu kaharibu gari langu

    Kwani wingi wa gari sio magari?? Kama jibu ni ndiyo basi nomino gari inaangukia kwenye ngeli ya LI - YA na sentesi ya mdau (gari langu) ipo sahihi. Gari - magari Gari langu limeharibika Magari yangu yameharibika Ngeli ya LI - YA
  5. M

    Nyumba Mpya Zinazozwa Chanika Zinausalama Kweli?

    Aunt yangu alinunua nyumba ya aina hiyo kule Chamazi. Baada ya miaka 5 nyumba imechanika nyufa kila mahala mpaka akahama kwa kuogopa kuangikiwa na nyumba.
  6. M

    Kampuni za mabati za kuziogopa

    Nakubalina nawe kwenye brick red, hata bati za makampuni haya ya TSH 23,000 zinachelewa kupauka.
  7. M

    Nasumbuliwa na upele mdogo mdogo kwenye uume

    Magonjwa ya ngono hayo. Vaeni condom Vijana
  8. M

    Dawa ya kuzuia mbao za paa kubunguliwa

    Mafundi ni matozi wanaogopa kuchafuka
  9. M

    Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    Hata ukimfungulia biashara kama ni malaya ataliwa tu. Hata akiwa mama wa nyumbani kama ni malaya ataliwa tu na bodaboda au mpemba muuza samaki wabichi.
  10. M

    Anaolewa tarehe 25 mwezi huu lakini ananipa mzigo kila ninapohitaji

    Vipimo gani vya HIV vinavuouzwa pharmacy?? Pharmacy ipi? Wapi?
  11. M

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Nimeumia as if namjua marehemu! Daah! Mungu atulinde
  12. M

    Nini sababu za mijimama kupendelea vijana?

    Nimecheka mno! Kwani wamama wote wapo hivyo?
  13. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ni dume hilo aisee. Litakuwa ni chicha mwiba
  14. M

    Hali gani ulikuwa nayo siku chache baada ya kununua gari lako la kwanza?

    Hizo ni ishara za ufukura na ulimbukeni ndugu. Ukishaziea utaacha tu
Back
Top Bottom