Search results

  1. NTINGINYA

    Kwa wanaume watu wazima tu!!!

    Mfunga tai Wewe ni mtu mzima na hapa utapata pressure ya bure utambiwa kila aina ya ushuri huu sio ukweli unaoambiwa hapa tumia akili na muamini shemeji huko aliko na pili naomba uchukuwe ushauri unao kuridhisha mimi naenda mwezi wa nne sasa na sina kinacho nisumbua ukifatilia sana shauri...
  2. NTINGINYA

    Kwa wanaume watu wazima tu!!!

    Mkuu kama hujaharibu natoa pongezi sana kwa uamuzi wako ni wachache wenye moyo huo tatizo lako ni dogo sana wewe huwa unalala kibudu. Namaanisha kuwa wewe ukilala huwa huna maombi fanya maombi mpaka utakapo pitiwa na usingizi hali hiyo itatoweka shetani huwa ankuchezea. Mimi mkuu nafanya kazi...
  3. NTINGINYA

    Paul Kagame: Tanzania's own spy

    Nyakageni Hizi nchi Drc Rwand Na Uganda zote zina internal problem ndiomana wliandaliwa hawa jamaa ili kudhibiti hayo matatizo leongo la mwalim ilikuwa kuweka sawa nchi za jirani tatizo hawajamaa waliopewa zamana hiyo wamegeuka na kuangalia maslah yao binafsi badala yakwenda kutoa ukabila na...
  4. NTINGINYA

    Paul Kagame: Tanzania's own spy

    Wewe acha unafiki wakijinga wewe mtusi unajifanya et uhusika wetu kwenda kigali ukaonje jotonya jiwe huko. Tanzania ni nchi iliyokuwa na mkakati wa ukombozi wa bara la Africa ndomana sehemkubwa ya Africa walisaidiwa kimafunzo na kijeshi ilinkuzikomboa nchi na sio ukoloni mambonleo kama hujui hilo
  5. NTINGINYA

    Jaribu kumuweka nyuki mdomoni mwako kisha uje hapa unipe feedback

    Asante mkuu nikuelewa nashkuru sana
  6. NTINGINYA

    Jaribu kumuweka nyuki mdomoni mwako kisha uje hapa unipe feedback

    Mzizimkavu asee hii sijaelewa kitu hapo tunaomaba utufadanulie wengine darasa letu dogo tupe tafsiri kiswahili
  7. NTINGINYA

    Sony xperia m, mfano wa kuigwa kwa simu za bei ndogo

    Mkuu tusamehe kama tutakuwa tumelitumia vibaya lakini sioni kama kumuombea baraka mtu ni kosa kama ni makosa tunaomba utfahamishe ubaya wake na utfundishe tulitakiwa kumuombeaje
  8. NTINGINYA

    Wataalam wa Itifaki tuelimisheni: JK kupokelewa na Meya wa Jiji Salzburg Austria

    Ujinga ulionao wewe handsome siufikii hata kwa robo thelus utabakia hivyohivyo
  9. NTINGINYA

    Wataalam wa Itifaki tuelimisheni: JK kupokelewa na Meya wa Jiji Salzburg Austria

    Hivi nyie watu mmerogwa au ni upofu mlionao japokuwa mnamacho lakini hayaoni. safari za rais ndizo zinazoleta manufaa mengi nchini na sio raisi wetu pekee anasafiri kila mara kama huwa unatizama matukio duniani hebu jaribu kuangalia kiongozi wa juu kabisa wa marekani bwa ambae Secretary general...
  10. NTINGINYA

    Alininyima Kwa Muda Mrefu, baada ya kunipa nimeamua ku...!

    Doh naomba uniwie radhi Hivi wewe inaumri gani na uanaumewako upo wapi nilizani unaomba ushari wa tatizo alilo nalo kumbe ni ufinyu wa akiliyako na kukosa busara hata ubinadam huna wewe naweza kusema huna hadhi yakuitwa mwanaume aliye kamilika mwanaume aliyekamilika hawezi kujahapa na kutaka...
  11. NTINGINYA

    Sony xperia m, mfano wa kuigwa kwa simu za bei ndogo

    Mkuu nimeona hawajamaa Sony wanatangaza xperia waterprof imewekwa kwenye beseni inamwgiwa maji tunaomba utupe speciation ya hiyo mkuu hatuna tulijualo kiundani kiongozi Ubarikiwe sana mkuu
  12. NTINGINYA

    Lengo la kagame na mseveni ni moja kwa tanzania.

    Wajaribu waone motowake yena mnatupandisha mzuka itakuwa safi kabisa tutaweka rais tumtakae na himaya kubwa ya ulinzi kwa maslahi yetu. Watuts wanjidangaya sana kuona JW limekaa kimya kimya hee waulizeni makaburu watawap ishu zetu
  13. NTINGINYA

    Hawa ndio Role model wangu

    Ubarikiwe sana Kamanda atakuwa amekusoma
  14. NTINGINYA

    Hawa ndio Role model wangu

    Asee kwa heshima ya huyomkuu unanatakiwa umtaketadhi kwa matamshiyako binafsi sijapendezewa na umenikwaza kumuiya (hilo mtu)
  15. NTINGINYA

    Hawa ndio Role model wangu

    Mkuu huyo wajuu umekosea kmleta huku kwakuwa ni mchafuzi wa mazinhira tu natoa shukranzanhu kwa kamandawetu mwenyesuti namuombea kwa munhu maisha marefu na afianjema ili azidishe ufanisi
  16. NTINGINYA

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Kwahiyo unafrahia watanzania waliopoteza maisha yao huko dafur sio. Hakika unaonyesha iduni wa siasa ulionao wewe nazani si mtanzania halisi wala husamini utanzania wewe ni kabaila huwezi kufurahiya mauji ya askari wetu wakitanzania walipo sudani kwa ngao ya UN jeshi ni latanzania na sio la...
  17. NTINGINYA

    Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    Mkuu mwikulu wabeja sana mwenye macho haambiwi tizama
  18. NTINGINYA

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Amjinu nini mpimbavu yule ukibishana na mjinga na wewe utakuwa mjinga kwanza kanchi haka kanatukera tu sijui nyerere alivumiliaga nini kutusafisha hutu turwanda na burundi vingekuwa viwilaya vyetu tu na kama kagame imemtachi ajaribu kama mwanaume nasema hili hamnijui siwajui tujuane...
  19. NTINGINYA

    Adhabu kubwa ya mpenzi anayekusaliti

    Ase sisi wanaume maranyingi hakuna apendae kushea mpeziweke na mungine na kweli pindi utakapo gundua kuna usaliti hujukua uamuzi wa haraka sana kupiga shini ilhali hakuna uchunguzi wowote ulioufanya wengi wa wanaume husababisha wapenziwao kutoka nje ya ndoa kutokana na tabia zetu tulizo jijengea...
  20. NTINGINYA

    Adhabu kubwa ya mpenzi anayekusaliti

    Utaacha wangapi sikuhizi asilimia 65 wanandoa wapo majaribuni wengi hutoka nje ya ndoa kwa tamaa za maisha kutaka visivyo vya lazima
Back
Top Bottom