Search results

  1. Z

    Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

    Ki ustaarabu tukubali Cpt John Komba is NO MORE haya mengine ni kati yake na MOLA wake.. sisi tusimuhukumu.
  2. Z

    Kuhusu mpaka wa Zanzibar na Tanganyika

    Napendekeza tuachane na huu uzi.Mengi ya kweli na uwongo yanaweza ibuka yakatuchanganya kama ya Malawi/Ziwa Nyasa.
  3. Z

    Kuhusu mpaka wa Zanzibar na Tanganyika

    Tunahamia Dom kwa sababu hiyo!!! I dont believe
  4. Z

    Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

    Kufa siyo Adhabu.na ukifa huendi kupumzika.turejee vitabu vitakatifu na tuzingatie yaliyomo ndani.
  5. Z

    Dkt. Magufuli aibomoa ngome ya Lowassa

    Kwani lazima watu hao hao wawe viongozi.Je wengine hawawezi.Ni wakati sasa wa kubadilisha MINDSET zetu au tutakwenda kwenye utawala wa kifalme
  6. Z

    Magic moment: Unataka kutajiwa tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa? Fanya hivi

    Toa jibu....tuko 3 tumechanga kumi kumi tukapata 30.tukanunua chakula cha 25.tukapata chenji ya 5.tukagawana moja moja zikabaki mbili.hizo mbili tukatoa zawadi kwa muhudumu. SWALI:Tulitoa kumi kumi tukarudishiwa moja moja inakuwa tumetoa tisa tisa.kwa sisi watatu jumla inakuwa 27 ukijumlisha na...
  7. Z

    Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

    Huko NAIVASHA KENYA niliona magari la miaka ya hamsini yakiwa katika hali nzuri utadhani yanatoka kiwandani yakiuzwa kati ya USD150000 na Usd 200000.Kweli ni mazuri na yanavutia
  8. Z

    Chenge: Jeuri yake ni kaburi la CCM

    Someni in between the lines sakata hili la Hon Chenge, mimi naona huyu bwana ataondolewa katika Chama kuonesha ukomavu.Na kama CCM ikishika madaraka tena atasamehewa na kurudi kundini na kumfanya MBUNGE wa Bariadi amuachie kiti.
  9. Z

    Mbunge Moses Machali wa NCCR, kutogombea ubunge Kasulu Mjini

    Mchali hayo ni matatizo ya siku zote,kaeni muyaongee ki utu uzima na muyamalize.Tunahitaji viongozi vijana wenye upeo.
  10. Z

    Dr. Slaa hawezi kuwa Rais-Tufikie hatua tuwe wakweli na wenye kuwaza kwa kina

    Mambo binafsi tuwaachie wenyewe.Muhimu tumtafute kiongozi bora..atoke kokote kule ili atuwezeshe tutoke hapa tulipo.Wandugu huku kwenye serikali za mitaa na vijiji maisha yamebana ile mbaya,kama vile gari imekata ring piston
  11. Z

    Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

    Mungu wangu.......!!!!!!!
  12. Z

    Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

    Hongera ......shida iko barabarani,vibaka watangowa site mirror na maandishi ya gari,bodaboda nao watalikwaruza.TAKE CARE.
  13. Z

    Kigogo mbaroni Mwanza mauaji ya albino

    Kumuuwa ALBINO ni dhambi isiyofutika.Hakuna sababu yoyote ile ya kutokumtaja muhusika au hata kama ni SUSPECT.Watajwe tu ili tuwajuwe na tusaidie polisi."UKWELI PIA HUPATIKANA KWENYE UWONGO"
  14. Z

    Buriani Mhe. Komba wa 'Joka la kufugwa'

    Mh Judge Warioba wengine tunamuita baba na wengine wanamuita Babu.Ni imani yangu Mzee Warioba kwa sifa zake za u Baba na U babu alikwisha msamehe RIP KOMBA,mzazi hauwi.Maandiko matakatifu yanatutaka tusameane ili iwe sababu ya ku upata ufalme wa mbinguni.
  15. Z

    Sio kila Mhaya ana dharau

    Nachukia sana malumbano ya dini na ukabila na vingine ambavyo ni GOD CREATED.hatuna ujuzi/utaalam wa kumkosoa MUNGU.
  16. Z

    Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA kanda ya ziwa Victoria uwanja wa Furahisha

    Wako kwenye msiba wa kada.Hawawezi kuja kumdhuru yoyote yule.
  17. Z

    Madaktari/wauguzi wenye tabia ya kupiga picha za maiti wadhibitiwe kwa sheria kali

    Na kuhusu picha za maiti baada ya ajali kwa ajili ya utambulisho???nadhani mbaya ni picha za kumdhalilisha,Daktari hana muda wa kupiga picha kama mimi na wewe.
  18. Z

    DC wa Kinondoni atenga siku maalum ya kusikiliza kero za wananchi

    Utashindwa kumaliza kero na ukazidisha mgogoro kati ya wana Kinondoni na Chama chako.nakushauri achana na hiyo...huko wako Mnyika, Halima na Azan wanatosha.
  19. Z

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Sijui mimi na wengine tujifunze nini kutokana na yaliyoandikwa humu kumhusu Marehemu John Komba.
  20. Z

    Anna Tibaijuka, Andew Chenge na Wiliam Ngeleja, wasimamishwa Ujumbe wa NEC na Halmashauri Kuu ya CCM

    CCM toa maamuzi ili watu wajipange,dakika za mwisho zitaleta balaa.Na mbona kila siku Nape anakuja na taratibu mpya za kuwajibisha wale sita ie Lowassa,Wassira,January etc.Inaonesha hapa iko kitu ndani ya box.
Back
Top Bottom