Search results

  1. M

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Biden alikuwa anajua kuwa Iran huwa haitishii nyau!! Alikuwa ana uhakika kuwa Iran lazima utafanya kwelii. Zipo nchi mbili tu ambazo huwa haitishii nyau: Iran na Korea ya Kaskazini. Wazee wa kutishia nyau lakini hawafanyi kitu ni CHINA na Urusi. Ndio maana Marekani haziogopi kivile!
  2. M

    Yanga wanaizungumzia Yanga, Simba wanaizungumzia Yanga

    Wewe mbonà ni uto lakini hapa unaizungumzia Simba?
  3. M

    Refa na Mkufunzi wa FIFA akataa goli la Yanga

    Goli huwa goli tu baada ya refarii kukubali kuwa ni goli!! Maamuzi ya refarii kuhusu goli huwa ni ya mwisho!
  4. M

    Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

    Kuthibitisha kuwa azizi ki hakufunga goli, hata prnati yake hakuifunga!! Mapovu ruksa!!! Sasa tusemeje? Tukisema ukweli kuwa mpira haukuvuka mstari Kwa asilimia 100 mnapota povu, basi afadhali mtoe povu Kwa halali!!
  5. M

    Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

    Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki. Nje kwa milimita 1 Hilo dogo...
  6. M

    Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

    Hizo ni mbinu za woga!! Ukisikia kitolewa kike ndio hivyo! Yanga katolewa kike! Kutolewa kike ni kutolewa pasipo kupambana! Yanga hakupambana! Aliogopa kupambana!! Alitegemea kudra!! Ni sawa na bondia ambaye muda wote yeye anarudi nyuma na kujitahidi kukinga uso wake! Huyo akitolewa tunasema...
  7. M

    Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

    Hatutaki utabiri wa nguvu za Giza! Ukweli ni kwamba Simba itasonga mbele Watabiri mshindwe Kwa Jina la Yesu! Simba itashinda si Kwa sababu ya watabiri Bali Kwa sababu tunamwomba Mungu ishinde! Utukufu uende Kwa Mungu na si Kwa watabiri!! Ee Mungu nakuomba mara hii Simba iende nusu fainali Kwa...
  8. M

    GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

    GSM anajua hakuna goli atakalofunga yanga Kwa hiyo Hana Cha kupoteza hata akiweka dau kubwa!! angeweza kuweka hata bilioni bila stress!!
  9. M

    Uongozi wa Yanga fuatilieni alichoongea Aziz Kii na Kocha wa Mamelodi

    Jangwani hakuna timu ya kushinda!
  10. M

    Shikamoo master tactics "Gamond"

    Pacome kutokucheza ndio kipona Kwa yanga! Angekuwepo pacome yanga wangeshawishika kufunguka na hapo ndipo wangekutana na dhoruba ya magoli!! Pacome si chochote mbele ya mamelodi!! Subirini kmc!!
  11. M

    Kesho ndo watu watajua kuwa waarabu wana figisu figisu ya kufa mtu kwenye mechi ya Misri Vs Cae Verde

    Misri haitakubali iishie kwenye hatua ya makundi wakati itakapokutana na Cape Verde. Hadi sasa Misri ina pointi 2 tu kwenye mechi zake mbili. Kesho ikifungwa itakuwa imeyaaga mashindano!! Kesho waarabu watakuambia KAMA MBWAI NA IWE MBWAI, watafanya lolote linalowezekana hata kama ni kulazimisha...
  12. M

    Mjadala: 'Namna ya Kutambua na Kuepuka Utapeli Mitandaoni' - Septemba 21, 2023

    Hivi hii biashara ya bitcoin exchange kwenye mitandao haina utapeli kwewli?
  13. M

    Namna ya kutambua kama umeokoka au wewe ni Mkristo

    Kutokutenda dhambi ina maanisha ni kutokuishi dhambini! Haimaanishi kutokukosea!! Ambaye hajaokoka hutenda dhambi kama mtindo wa maisha! huishi dhambini!! Aliyeokoka anaweza kujikuta amemkosea Mungu na hapo hapo atakosa amani na kuomba toba na msamaha wa Mungu!! Hafurahii tena dhambi!!
  14. M

    Mwaka wa kumi huu au zaidi umeajiriwa (unatumwa tumwa tu); je, ni kitu gani kinakufanya usijiajiri?

    Kujiajiri ni kuajiriwa na wateja!! Ni kujidanganya kudhani kuwa kujiajiri kunampa mtu uhuru wa kufanya anavyotaka!! Utafanya wanayotaka wateja!! Watakutuma uwatafutie wanayotaka!! Huna ubavu wa kuwavimbia wateja ambao kimsingi ndiyo mabosi na waajiri wako!! Ukiwakaidi wateja wanakufukuza kazi...
  15. M

    Mwaka wa kumi huu au zaidi umeajiriwa (unatumwa tumwa tu); je, ni kitu gani kinakufanya usijiajiri?

    Kujiajiri kiukweli ni kuajiriwa na wateja wako!! Wateja ni wafalme!! Utalaziomika kuwasikiliza na kuteleleza wanayotaka!! Kiuhalisia ni kwamba kujiajiri ni kuajiriwa na wateja!! Wateja ndo mabosi na waajiri wako!! You are not free!!
  16. M

    Hamisi Kigwangalla: Nimeambiwa nafuatiliwa, ila naamini niko salama

    Ngoja tuone!! Watu wameanza kutupa mawew gizani!! ukisikia kuh!!! ujue jiwe limempata mtu!!
  17. M

    Hamisi Kigwangalla: Nimeambiwa nafuatiliwa, ila naamini niko salama

    Kigwangala hatatulia hadi apewe kitu! Mama anajua kila kitu!! Ni njaa tu inasumbua!! hakuna cha uzalendo wala nini! Ni kama Polepole alipopewa kitu (ubalozi wa Malawi) makelele ya wahuni hayakusikika tena!!
  18. M

    Naomba kuuliza kwa anayefahamu kwa uhakika: Ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza inabidi akae bila kuoa au kuolewa?

    Nashukuru kwa taarifa hiyo. Sharti la asklari ni lazima uwe single!! Sema labda hakuweka wazi kuwa ana mke na mke mwenyewe hakuwa ameolewa rasmi!! Walikuwa wanaishi tu pamoja!!
  19. M

    Naomba kuuliza kwa anayefahamu kwa uhakika: Ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza inabidi akae bila kuoa au kuolewa?

    Je ni miaka mingapi inabidi mwajiriwa mpya wa magereza au polisi asubiri kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa? Kuna binti anataka kujua hili ili aamue kuomba kazi huko. Mwenye kufahamu hili atujuze!
Back
Top Bottom