Search results

  1. K

    Bachelor of freight clearing and forwarding

    Mimi ni mhitimu wa kozi hiyo hapo maslahi ni makubwa. Sekta ya upelekaji na usimamizi wa shehena imepanuka( freight Clearing & Forwarding/ Shipping Logistics).Vihiyo wote serikali ina mpango kuwaondoa kwenye game.
  2. K

    Jamani Azam cola nomaaaaa......

    sio kweli kuwa azam cola nzuri! ina sukari nyingi,sumu kibao,(presevative)Ushauri nunua blender tengeneza healthy natural juices wewe mwenyewe.Maisha haya unatakiwa kuwa mtumiaji mwenye upeo Dunia imekuwa mahali hatari!!
  3. K

    Shamba la Miti ukanda wa Pwani

    ahsante sana ndugu LAT mchango wako ninauthamini sana. Nimekuwa nikifikiria mradi bamboo kwa muda sana sasa nafikiri ninepata platform ya kuongeza maarifa.JF pamoja tutaikomboa Tanzania na kurudisha hadhi yake. Nauliza mkuu LAT je Bamboo zinaweza kushamiri ukanda wa miinuko wa pwani?eg Morogoro...
  4. K

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    mi pia nina malengo ya kilimo hiki nitawacheck tuone jinsi ya kuunganisha nguvu.ahsantanteni wakuu.
  5. K

    Changamoto za wakulima

    Bei za huku zinaathiriwa sana na manunuzi yaliyofanyika karibuni(market trends). Kwa mfano bei ilikuwa chini ya 300 000 lkn wakaja jamaa fulani wenye pesa wakanunua eka kibao kwa 350 000, balaa na wanakijiji wengine wakatamani range hiyo. wanaoharibu bei ni vigogo!
  6. K

    Changamoto za wakulima

    Yaah, ndio hayo! uko mwepesi sana ndugu. Yes exportation ndio hasa lengo langu,nashukuru mungu shule ipo ukingoni kwani nayo ilikuwa some kind ya mzigo, sasa ninaweza kuwa na muda wa kutosha kufanya shughuli zangu. Oppurtunities za market kwa kilimo ni kubwa na zitazidi kuja lakini je...
  7. K

    Changamoto za wakulima

    ahsante, ila changamoto katika nchi zetu kilimo kinachanganywa na siasa, na viongozi wetu hawako serious na kilimo. mfano bei na upatikanaji wa mbegu bora ni ishu. tafiti haziwi communicated kwa wakulima miundombinu ya kibiashara mibovu maeneo makubwa ya ardhi yamehodhiwa na vigogo pasi...
  8. K

    Changamoto za wakulima

    market nategemea kuuza kisutu market na kuhuisha potential customers nipo kwenye mchakato wa kuanza mazungumzo na shoprite chains. mwendo wastani dk 30 or so barabara sio tarmac so it varies ni njiapanda ya Kipalang'anda unaingia ndani.
  9. K

    Changamoto za wakulima

    Ndugu ahsante, Mung'unya linaloitwa butternut squash ni aina ya boga zenye umbo dogo na rangi kama ya machungwa. Yapo familia moja inaitwa "cucurbits" pamoja na matango,tikiti,maboga ya kawaida,n.k. faida zake ni kwamba huzaa sana kuliko boga za kawaida na sehemu inayoliwa ni kubwa (minofu)...
  10. K

    Changamoto za wakulima

    Katika harakati za kujijengea uwezo wa baadae(near future) niliamua kutumia pesa zangu kidogo za bodi ya mkopo (mimi ni mwanafunzi mwaka wa tatu) kufanya kilimo. Nilianza na project tatu tofauti kwanza fish farming -mkenge mkuranga(Upo hatua za awali) pili kilimo cha...
  11. K

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    Rest In Peace, mwabudu nyota na wafalme wa anga.
  12. K

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Habari mkuu,nenda pale LITI- Morogoro wana kitengo cha ushauri utajifunza mengi. Au for practical guide fika maili moja Kibaha mkoani karibu na Polisi kuna msitu wanafuga kisasa.
  13. K

    Tujiunge na kuanzisha JAMII FARM

    nasapoti hoja mkuu kwani huyu Malila ni moja ya wadau potential tungependa kujifunza toka kwake. ahsanten wadau
Back
Top Bottom