Search results

  1. M

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Nafikiri mheshimiwa unashida ya kutambua takimu za fedha, kulinganisha mshahara wa ya Yaya Toure, Beckham ni kichekesho maana mtu kama Yaya Toure analipwa Pound 200,000, Pound moja ni kama 2500 za tanzania . Ina maana analipwa shilingi milioni 500 kwa wiki na kwa mwezi analipwa shilingi...
  2. M

    Maggid ana nini na CDM?

    Kwa mtu yoyote yule kuna njia nyingi za kuonyesha kuwa jambo fulani hujaridhishwa nalo. Mwingine anaweza kupiga kelele, mwingine akalia n.k. Mimi nafikiri Majid anaelewa yote haya lakini kuna kitu kinamfanya asiweze kusema ukweli. Ni masilahi binafsi au ushabiki. Mengi yameongelewa kuhusu...
  3. M

    Elections 2010 Salakana aamua kumpinga Ndesamburo mahakamani .........................

    Jamani naomba kuuliza huyu Salakana ni yule yule aliekuwa mbunge wa NCCR-Mageuzi mwaka 1995 ?
  4. M

    Vinara wa Soka Waliopotea Kabla ya Wakati Wao!

    Habari hii imenishitusha kidogo kwa sababu mimi ninavyojua miongoni mwao wamecheza kwa umri ambao mchezaji anakuwa kwenye hali ya uchezaji na baada ya hapo mwili hauwezi tena kuendana na kasi ya mpira. Lakini inategemea pia unafuatilia ligi zipi, maana kwa wale wanaofuatilia ligi ya uingereza...
  5. M

    natamani bunge la tz.....lingeendeshwa kingereza

    Hakuna anayekataza mtu kujua siyo kiingereza tu bali lugha za kigeni angalau moja, ninachojiuliza hapa kuna mtu alikuwa nashadadia kuwa wabunge walikuwa wanatokwa jasho, na akaaenda mbali zaidi na kusema kuwa wengine wangeugua. Lakini bahati nzuri sana mimi nimesikiliza bunge kupitia TV4africa...
  6. M

    natamani bunge la tz.....lingeendeshwa kingereza

    Sijui ni ushamba , sijui ni ulimbukeni , sijui ndiyo ukoloni bado upo mpaka vichwani kwetu!. Mimi nashangaa sana mtu anapofikiri kujua kiingereza sijui ndiyo elimu ? . Hii kasumba inatusumbua sana, kama kiswahili tu watu kinawagonga unategemea mtu atakuwa na miujiza kuongea lugha ambayo siyo...
  7. M

    Je, CUF ni idara ya CCM?

    Ni ngumu sana CUF kuungana na CHADEMA kama vile Ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Nashangaa watu wamekuwa wakilalamika kwamba CHADEMA haitaki kuungana na vyama vingine lakini ukweli upo wazi siyo rahisi. Watu wanasahau kiuwa Zanzibar ni sehemu ya muungano kwa hiyo CUF haiwezi kuingia...
  8. M

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Kwanza kwa maoni yangu watu aina ya akina PASCO ni watu wa kuwalaani kwa sababu ni wachonganishi na wazandiki, sitaki kuamini kuwa mtu kama PASCO hasomi wala hasikii vyombo vya habari kuhusu msimamo wa CHADEMA kuhusu kushirikiana na vyama vingine makini. CHADEMA toka siku ya kwanza kimeweka...
  9. M

    Elections 2010 Tume yaongeza majina hewa 100 hivi kila kituo - ushahidi ni huu?

    Lakini nimejaribu kuangalia kwa kina namba ambazo zimetajwa hapa jamvini zianonekana zipo kituo cha OFISI YA WEO 'A', Buguruni -Ilala. Ila ninawasiwasi kuwa namba hizo hazijaandikishwa nimejaribu namba nyingi zinafanya kivyo kwa sababu kwenye database yoyote ukiweka namba na istoe chochote...
  10. M

    Elections 2010 Tume yaongeza majina hewa 100 hivi kila kituo - ushahidi ni huu?

    Jamani hii ni hatari kubwa inatakiwa yapatikane maelezo
  11. M

    Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    Habari leo kwani inatofauti na Gazeti la Uhuru na Mzalendo! mimi nilifikiri habari hii imetoka kwenye Gazeti makini kumbe! Hawa ni walewale wazushi waliobanwa mbavu na CHADEMA. Hatudanganyiki!
  12. M

    Elections 2010 Urais sio rahisi mnafahamu wanajamii forum?

    Kweli wewe ni mkatamiti na wewe huelewi kwanini Tanzania ni masikini!! Watu wengine tuwasamehe tu hawajui watendalo kama angejua nchi ambazo tulikuwa sawa nao miaka hiyo 50 na leo wako wapi maneno haya wala mkatamiti usingesema.
  13. M

    Elections 2010 Kuwepo mdahalo kati ya CCM na upinzani. Je ni sawa?

    Ndugu yangu kama ni hivyo basi CCM wasingekuwa wanafanya kampeni kwa sababu wao wako madarakani na mambo yao mazuri watu wanayaona na kuyafaidi. Kwanza kabla ya kutoa majibu rahisi namna hiyo inabidi tujiulize nini maudhui ya mdahalo. Mdahalo unawahusisha watu gani kwa nia gani, ukipata jibu...
  14. M

    Davis Mosha, Makamu Rais Yanga apigana Uwanjani Tanga

    Ushahidi wa kutoka Azam hauwezi ukawa ushahidi huru, hivyo hakuna ushahidi bali ni porojo na uongo tu. Ni sawa sawa facebook ya CCM haiwezi kumuandika vizuri Dr. Slaa sawa sawa vile vile Facebook ya CHADEMA haiwezi kumuandika vizuri JK. Hapo haueleweki ina maana vyombo vya habari vyote...
  15. M

    Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

    Jamani mimi nimejitahidi kuangalia hiyo TV4africa lakini inatakiwa kulipia lakini hapa napata kupitia bongo Radio. Hapa UK iko poa hata sauti tunapata inatosha. Taarifa!
  16. M

    Askofu Kulola: Kuna mtandao wa kisiasa makanisani

    Jambo hili ukiliingilia kiushabiki unaweza kusema mengi lakini ukifikiri kwa umakini unaona kuwa ni propaganda hasa kwa kuzingatia impact ambayo CHADEMA wameifanya mwanza. Kwanza kama ni kweli kwanini hizo hoja zije dakika za majeruhi? na hasa baada ya JK kuanza kulia lia? mimi nafikiri CCM...
  17. M

    Askofu Kulola: Kuna mtandao wa kisiasa makanisani

    Mjukuu wake Mbasha si yuko kwenye kampeni za JK , hilo linafahamika. wale wale!
  18. M

    Uvumi wa kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura Tunduma

    Unajua watu wanasahau sana mambo kama haya hata afande Mahita alitoa taarifa za uzushi mwaka 2005 kuwa CUF wameiingiza visu kwa ajili ya uchaguzi. Ule ulikuwa uzushi wa mchana lakini Mahita aliendelea kupeta hicho ni kimuhemuhe cha sisi m! angekuwa kinana kazusha angefagiliwa tu.
  19. M

    Mtei alipotofautiana na Mwalimu Nyerere

    Huyu ernesto sheka siyo ni mpuuzi tu bali ni mzushi na mshenzi,CHADEMA imeanzishwa wakati Nyerere yupo na watu wabaya wote Nyerere aliwasema bila kificho na wala hata siku moja hakuwahi kuinyooshea mkono CHADEMA zaidi ya kuisifia kuwa katika vyama vyote vya siasa vya upinzania alisema...
  20. M

    Elections 2010 Chadema na place of gold

    Kwa vyovyote vile una matatizo ya akili!. Kuwa Geologist ni taaluma tu na wala haimfanyi yeye afukuze watu pale. Serikali ya CCM ndiyo imeiingia mikataba yote ya madini sasa unachofanya wewe ni kama mtu anayejificha kwa kutumia kijiti wakati mwili wote unaonekana. Ushindwe la ulegee ...
Back
Top Bottom