Ongeza na hii mkuu kwenye hiyo para "so that to push the developments of our peoples!" Haaa, hiki Kibeberu au maneno ya Kibeberu? Eti naye Dr. anajitia aibu bure bora angekomaa na Kiswahili tu ili vyombo vimsaidie! Sijui Kibeberu 100% lakini cha huyu kimezidi!
Kwa hiyo na Maalim Seif naye apewe jimbo? Mavi-jana ya CCM huwa mnatembea na vichwa ambavyo ni makopo tu hayana ubongo. Mmebakiza vichwa vya kufugia chawa!
CCM a.k.a Chama Cha Mazezeta bu Bujibuji, kiifanya figisu mayor Mwita na Mayor Jacob wakaondolewa ili yapige hela za ujenzi wa stendi. Mkataba wa ziada ulisainiwa baada ya hao wawili kuondolewa kwenye nafasi zao! Magufuli amepigwa za uso!
Nimeitoa mahali, samahani kwa kutomtaja mwandishi!
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesema vyama vya Tanzania Labour (TLP) na United Democratic (UDP) ambavyo vilitangaza kumuunga mkono mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli, vilisitisha mpango huo kwa sababu vilikuwa...
Huoni alivyowatesa polisi? Kukaa na mtu tangu asubuhi nayo ni adhabu tosha kabisa! Angekubali kurudi ile asubuhi na wao wangeenda kwenye majukumu mengine, leo kawatia jambajamba mpaka wakaanzisha lindo jingine bila kupenda! Usifikri askari waliokalishwa hapo wamefurahi!
Huoni alivyowatesa polisi? Kukaa na mtu tangu asubuhi nayo ni adhabu tosha kabisa! Angekubali kurudi ile asubuhi na wao wangeenda kwenye majukumu mengine, leo kawatia jambajamba mpaka wakaanzisha lindo jingine bila kupenda! Usifikri askari waliokalishwa hapo wamefurahi!
Sasa kama amehojiwa Kiingereza unataka atumie Kiswahili? Magu atakuwa amenuna huko aliko maana mwenzake hata lugha ya nje anatiririka kama Kiswahili! Piipo yuzidi tu dai inze reki!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.