Search results

  1. kauzu

    Msaada wa kisheria katika kuanzisha kampuni

    Poleni na majukumu ya kila siku.Nilikuwa naomba msaada wa kisheria juu ya uanzishwaji wa kampuni.Kwa yeyote anayeweza kunisaidia katka hili naomba tuwasiliane kwa 0759-835929,au 0717-034065
  2. kauzu

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    papizo mungu akubariki kwa ushirikiano ulionipa mpaka nimeipata,yani imekausha jasho kabisa
  3. kauzu

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Kwa wenye hilo tatizo hiyo dawa ni ya ukweli sana tu,binafsi nimeipata na imenisaidia sana,PRETA MUNGU AKUBARIKI,kwani jasho limekata kabisa
  4. kauzu

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Penati nyingine
  5. kauzu

    Walimu wa shule za msingi ndio kiboko ya serikali

    Walimu wa shule za msingi wameonekana ni waoga sana katika kutetea haki zao,lakini makucha yao yameonekana kwa 30% ya wanafunzi waliojiunga sekondari hawawezi kusoma na kuandika.Serikali iwe makini kwani baada ya ongezeko la ujinga litaendelea kwa kasi kubwa
  6. kauzu

    Nawezaje kupata driclor ?

    Naombeni msaada wa jinsi ya kupata dawa ya driclor coz nimesikia inatibu excessive underarm sweating.Plzzzz nisaidieni jamani
  7. kauzu

    Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

    Wa mtoe kabisa huyo m2 atkiharibu chuo kwani hata UDOM aliyekiharibu chuo na kuwashawishi wenzake wachache wamchangie mkwere ni rais kwani wakati wa likizo alipelekwa china 2 weeks,akaitwa ikulu kupiga stori na mkwere,baada ya hapo akawa hafai kabsaaaa,akandaa mafisadi wachache wamchangie mkwere...
  8. kauzu

    Wanafunzi udom waombe radhi waandishi wa habari.

    wa jamaa ni MPUMBAVU kwani kila tukijitahidi kukueleza ishu ya udom na ccm ilivyo hauelewi sijui,ok we ulikuwa unashauri nini sasa?
  9. kauzu

    Wa mwisho kulaa hapa jf

    Jamani mi naenda kulala naomba kwa uaminifu,naomba nimjue wa mwisho kulala hapa jf,kama ni wewe kabla hujalala,comment kwenye hii thread,kesho nitaicheki mshindi nitampa zawadi:a s 101::a s 101::a s 101:
  10. kauzu

    Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

    kaka ivuga punguza ukali,sio wanafunzi wote tulimchangia form mkwere,ni wanachama wake tu,tena walioko campus ndogo ya informatics ila waandishi wa habari waliikuza tu,kuhusu jamaa kutunukiwa alipewa na washkaji zake kwani viongozi wa juu kuanzia chancelor na ma-deputy wake ni wanaccm wenzake,na...
  11. kauzu

    Msimamo wa ligi kuu england

    haya jamani msimamo ndio huo
  12. kauzu

    Ngeleja yuko TBC live anazungumzia mambo ya umeme

    duh,yani jamaa anavyoongea,bora nizime tv ncje mrushia chupa nikapasua tv yangu
  13. kauzu

    UDOM na U-CCM

    tumepondana kwa itikadi,za KISIASA na DINI tumeona haitoshi sasa tunapondana KIELIMU,kweli huko mbele tutalipoteza taifa na sijui hata maofisini tutabaguana kati ya watu waliosoma UDSM na UDOM,ila namshukuru MUNGU na degree yangu ya BEDCOM kutoka UDOM,
  14. kauzu

    Leo tuwafahamu devil worshipers

    iko siku hata mimi kauzu wa watu nikija kuwa maarufu niko na mishemishe yangu jukwaani bahati mbaya katika kuongea vidole vikajikunja kiasi mtasema ooh kauzu devil worshiper
  15. kauzu

    Elections 2010 The Rise and Fall of CHADEMA

    Hakuna mtu mwenye tabia kama ya mrema CHADEMA,kwani mrema ndiye aliua chama,(MBATIA+LIPUMBA+MREMA+CHEYO) eti wameungana kama sio vituko ni nini?
  16. kauzu

    HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

    ok,mi ndio nilikuwa napenda iwe hivyo na mahasira yake ya maamuzi yasiyo na logic atakutana na damu changa kama G.LEMA,MNYIKA,na mzee wa kazi AIKAELI MWANA WA MBOWE,duh kazi anayooooooooooooooooo
  17. kauzu

    HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

    Taarifa kutoka tbc inasema ameshinda kwa kura 200+ kuwania uspika wa bunge akifuatiwa na KATE KAMBA
  18. kauzu

    Mbowe awa kiongozi wa upinzani bungeni, Zitto naibu , Lissu chief whip

    naamini ni mwaka wa mafanikio kwa watanzania,na ni mwaka wa kuanguka kwa mafisadi,duh huyo spika kazi anayo:israel::israel::israel:
  19. kauzu

    I am sorry mabinti wa kichagga

    jamani mi thithemi thana,hao watani wangu hawafai mwedhenu na mmathai
  20. kauzu

    Elections 2010 Tanzania yenye maraisi wawili

    sory kaka kama kwako si njema,nimawazo yangu tu,kwani watanzania tunamjua raisi wetu ataapishwa 2015 wa kwako aliapishwa juzi
Back
Top Bottom