Search results

  1. M

    TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

    Jamiiforums kwenye ubora wake…marehemu anasuuzwa
  2. M

    TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Pumzika salama Kemi, kawaida ubaya unavuma sana kuliko wema
  3. M

    Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Ila Mungu nisamehe kama yanayozungumzwa mitaani ni ya kweli kuhusu Mona na waume za watu,na kama si kosa la kiundishi kwa kijana wake inabidi tutafakari sana mienendo yetu na machumo tunayolisha vizazi vyetu
  4. M

    Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Mpaka uwe na jicho la kuona hicho
  5. M

    Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Hapo kuna tatizo mahali…tuombee hili Taifa hali ni mbaya kuliko tunavyodhani
  6. M

    Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Usikute alikosea kuandika Mshana,na je mama anaishi na mtoto au ndo mtoto analelewa huku na huku
  7. M

    Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Tuna uhakika na hiki tunachojadili tusije chuma dhambi bure
  8. M

    Mtoto wa miezi miwili aacha kunyonya; wazazi wanadai ana majini

    Kwani mtoto alipatikana kishirikina au
  9. M

    Kijana auawa kwa kulawitiwa na kuingiziwa chupa kwenye utupu

    Mchikichini tangu miaka ya 80 haikuwa salama saa hizi hali ndo itakuwa mbaya zaidi
  10. M

    DOKEZO Kuhani Musa Richard Mwacha ashitakiwe kwa kuwadhalilisha watoto wadogo

    Ni vile haturuhusiwi kuingilia Imani za wengoline,ila wanawake wanalala hovyo na wale wahuni wa temboni kwa ajili ya msaada wa nauli au chakula
  11. M

    Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

    Alimfilisi bibie na cheating za kijinga juu
  12. M

    Asikudanganye mtu, raha kwa mwanaume huwaga ipo kwenye kojo la kwanza na la pili tu

    Tafuteni hela nyinyi kojo halimpi raha yoyote mwanamke kelbu kabisa
  13. M

    Wazazi wa Dar kuweni serious na school bus

    Fatilia Shule za wahindi na waarabu school bus konda ni jinsia gani
  14. M

    Sijawahi kushusha uzi mapema kiasi hiki, wakuu nahisi yamenikuta makubwa

    Siku mbili hizi story nnazosoma humu zinanipa tafakuri sana…ni kweli wanawake wamekuwa warahisi hivi au ni chai jamani elfu tano inakupelekea kulala na mwanaume usomjua kiurahisi rahisi tu hujiulizi!!!
  15. M

    RichMitindo akumbatia bomu rasmi!

    Acheni maneno machafu kwa watu msowajua zaidi ya kuwasikia tu….hilo bomu Ritchie analijua na ndo ashaamua kulikumbatia jinyonge sasa!
Back
Top Bottom