Poleni na majukumu wakuu wa jamvi hili maridhawa.
Naomba mwenye utaalamu juu ya kilimo cha matango anisaidie kujibu hoja zifuatazo:
1. Mbegu kiasi gani zinatosha heka moja.
2. Spacing yake kwenye upandaji ikoje?
3. Msimu mzuri wa kulima matango ni upi.
4. Mahitaji muhimu.
5. Wastani wa...
Ahsante Mkuu nimepata kitu kutokana na maelezo yako. Je, Arusha pia huu msimu wa Novemba - Februari unafaa? Ni eneo la Nduruma lenye joto kiasi kuliko maeneo mengine ya Arusha.
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1977, hata angekuwa na miaka 14 na ameridhia pamoja na wazazi wake haina shida. Lakini kama kweli ni mwanafunzi kuna sheria nyingine inamzuia kabisa kuolewa.
Mkuu kuhusu maeneo ya kupumzikia, yapo. Mfano mzuri ni eneo la mbele ya Palace hotel au ofisi ya mkuu wa mkoa, pia nyuma ya kanisa katoliki St. Theeresa na viwanja vya Gymkana. Labda we ulidhani utashuka stendi tu uone kila kitu. Ukija tena tutafute sio kulaumu tu.
Soma bila wasiwasi tena kwa bidii sana! Masomo ya muhimu kwa Udaktari hapo ni Biology na Chemistry. so kama ndo ndoto yako hiyo uko sawa mdogo wangu! We panga tu A na B, utaniambia. Kuna siku nitakukuta KCMC au Muhimbili.
Uko sawa mkuu. Airtel siku hizi wako hoi kabisa. Mtandao haushiki, wamekazana kuimarisha maduka. wakishafukuza wateja watauza nini kwenye hayo maduka ya kisasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.