Search results

  1. M

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Ninadhani Jizaledo ameeleza waziwazi 1. Tumieni hoja zenye nguvu badala ya nguvu za matusi kuwa ndio hoja!!!! 2. Jibuni mapigo ya hoja badala ya kuwazulia wanabodi wengine hisia zenu potofu 3. Ni dhahiri mnalumbana hapa kwa nguvu za udini kiasi cha kujisahau na kuanza kukasirika na...
  2. M

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Mkandara, Inaonekana wazi kuwa elimu yako ya uchumi imekuzwa vizuri na fikira za Nyerere na darasa za jukwaani. Sasa ujuwe kuwa Nyerere si mchumi kabisa hivyo inakubidi usomee uchumi vizuri. Pia Nyerere ni mtu aliyekuwa akikwepa ukweli na mwenye chuki za kibinafsi. Alipokuwa akiambiwa ukweli...
  3. M

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Mkandara, Heshima yako. Tafadhali soma yanayolumbanwa ndani ya mada yakuongoze jinsi ya kujibu. Wewe unaashiria kuwa wa kulaumiwa kwa kushuka shillingi ni Mungu wakati wenzako wanasema ni Mwinyi na mimi ninalumbana kutafuta kati ya Mwinyi na Nyerere ni nani anayestahili kulaumiwa kwa...
  4. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Mimi ninampongeza kama ambavyo ningempongeza alipopata uraisi. Wasiwasi wangu ni asijeakatuangausha huko. Nadhani hawa wanadhani kwa kuwa alimfuatilia Mwalim Nyerere kama mlolongo watatu wa uraisi wa Tanzania basi anastahili kufanya vivyo hivyo kama mlolongo wa tatu wa uenyekiti wa SCB (just...
  5. M

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    mkuyuga na kiruma, Mimi huwa msomaji mara nyngi na si aghalabu nikachangia mada na wala sikutaka kuchangia mada hii. Lakini ninaona waziwazi kuwa yanaletwa mabo ya kutugawa na anayefanya hivyo si Jizalendo bali ni huyu huyu Mkuyuga na kundi lake. Ninaona wale wanaotahadharisha udini ndio wao...
  6. M

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    mkuyuga, Haya ndiyo aliyoyalete Mzee Mwinyi? Hivi ndivyo unavyoamini kwa dhati ya moyo wako?
  7. M

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Jamani tukisema tunaambiwa tunatetea watu, ila sioni Magufuli anaingiaje hapa ila kama tutapewa ushahidi kuwa alishinikiza mdogo wake auziwe nyumba hiyo. Vinginevyo wa kushutumiwa ni huyo bwana mdogo na hao waliomuajiri. Hata hivyo tumeshasema kuwa zoezi lote la uuzaji nyumba lilikuwa ni bomu...
  8. M

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Hapa tunachoongelea ni uwezo wa chuo kutowa kiwango cha elimu fulani na hivyo basi kutunuku wanafunzi wake shahada zinazokubalika na wala sio mwanafunzi huyo atatumiaje elimu hiyo aliyopata baadaye. Hili la kuonyesha matumizi ya elimu hiyo ni jingine na linastahili lijadiliwe peke yake...
  9. M

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    Bravo, for bringing this debate back. More is being revealed and every one should see crystal clear how serious the issue is - even a VC is a fake PhD holder? How can degree from that university have any meaning? Our education system is finished unless government takes action now to address this!
Back
Top Bottom