Search results

  1. OME123

    Nina Milioni 16, naombeni ushauri

    Njoo uwekeze kwenye crypto currency hautojutia. Ila ntakuchaji asilimia 30% ya kipato. Ntakupa mbinu za kuwekeza na coin za kununua. Hautojutia. Karibu inbox
  2. OME123

    Ujue kwa undani Uwekezaji wa Sunranch Tanzania

    Waache waendelee kuuponda. Wabongo ujuaji mwingi. Kila siku kuilaumu tu serikali kuwa maisha magumu.
  3. OME123

    Ujue kwa undani Uwekezaji wa Sunranch Tanzania

    https://www.sunranch.vip/#/pages/register/register?code=27836 Jisajili hapo juu Bei ya bata ni Tsh 25000, utapata 1000 kila siku, na mapato ya jumla ni 60000 ( halali kwa siku 60) Bei ya sungura ni Tsh 75000, utapata Tsh 3100 kila siku, na mapato ya jumla ni 279,000(halali kwa siku 90) Bei ya...
  4. OME123

    Mtu mmoja auawa, Raila atangaza maandamano ya kuingia Nairobi Julai 12, 2023

    We jinga mama ako. Msenge sana ww mtoto. Tumia akili yako vizuri
  5. OME123

    Kombe la dunia tuko live

    StarTimes ni chanel ipi? Niangalie FIFA
  6. OME123

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Kingamuzi cha Startimes ni chanel namba ngalu wanaonesha FIFA?
  7. OME123

    Natafuta simu iPhone 13 pro max used

    Natafuta simu nzuri ya iphone 13 pro max ya bei nzuri. Niko Arusha kama unayo nicheki
  8. OME123

    Kuna mtu yeyote anawajua hii Japanese car exporter?

    Habari za asubuhi? Kuna mtu yeyote anawajua hii Japanese car exporter? Kwa hapa Tanzania. Na je sifa yao ikoje.
  9. OME123

    Natafuta Kampuni za Magari ya Dubai UAE

    Toyota coaster, Nissan Civilian, MISTUBISHI Fuso
  10. OME123

    Natafuta Kampuni za Magari ya Dubai UAE

    Naomba mwenye connection za makampuni wanaouza magari toka Dubai. Nahitaji bus na trucks. Aksanteni
  11. OME123

    Dawa ya kikohozi kwa mtoto wa umri wa mwaka 1

    Wadau naombeni dawa ya kikohozi ya mtoto mdogo, mwanangu anakohoa sana hasa usiku kuanzia mida ya saa 6 nimempeleka hospital hawajaona tatizo wanasema pengine ni allergies na amepewa dawa lakini haijamsaidia. Mtoto anakohoa sana hadi imepelekea upungufu wa damu. Aksanteni
  12. OME123

    Nahitaji gari la kukodi kwa siku 5 Mwanza

    Nahitaji kati ya V8, NISSAN V8 AU PRADO NEW MODEL. Nahitaji kukodi kwa siku tano. Kama unayo unicheki tufanye biashara
  13. OME123

    Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Jinga sana kijana. Unaongea pumba. Kumlinganisha Tundu lissu na ujinga huo. Achaa ujinga mara moja
  14. OME123

    Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Ngoja tuone. Lakini uchaguzi safi kabisa. Kenyans big up
  15. OME123

    Nahitaji Engine ya gari aina ya Toyota

    Crown 4GR
Back
Top Bottom