Search results

  1. F

    Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

    Kuna namna bora ya kuwafidia, ila no way Ngorongoro lazima ibaki.
  2. F

    Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

    Tuache siasa uchwara, Ngorongoro lazima iwe salama. Lakini itumike njia sahihi kuwaondoa Maasai. Tuzingatie haki za binadamu, Serikali iweke bajeti kubwa ili wasipate athari. Ngorongoro must survive.
  3. F

    Ngorongoro sio sehemu ya makazi ya binadamu bali ni hifadhi ya wanyamapori

    Ngorongoro ni Urithi, Maasai wametafutiwa maeneo mengine na huduma zote za kijamii zimewekwa. Ngorongoro lazima iwe salama. 1959 busara ilitumika lakini Hifadhi inaendelea kuwa hatarini. Maasai wameanza ku practice ujangili. Watoke ila wafidiwe pakubwa.
  4. F

    Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Chuo bora Tanzania kwa sasa.
  5. F

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Sasa kama kuna waziri kwanini ashughulikie kila kitu yeye. Mambo ya one man show yameshaisha. Mama is doing great so far
  6. F

    Ili kumuenzi komredi Magufuli pendekezo na 7 la kamati lipewe kipaumbele

    Tumuenzi kwanini! Nyerere na Karume tu, labda Mama ajitutumue tuone.
  7. F

    Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

    Hili Baraza JPM amesikiliza wananchi, huyu Kigwa hakuwa na hadhi wala haiba ya kuwa Waziri kabisa.
Back
Top Bottom