Search results

  1. P

    Edward Lowassa aungana na Gwajima kumtukana Kardinali Pengo

    Upo sahihi mkuu na la kuongezea tu ni kuwa lowassa anataka tumuuzie uraisi
  2. P

    Edward Lowassa aungana na Gwajima kumtukana Kardinali Pengo

    Ni kweli hata mi nlimskia alikuwa anahojiwa na waandishi wa habari
  3. P

    Kutana na Padre Pekupeku na Sir mwenye miujiza

    Amina mkuu,nimekusoma,mungu atuamshie ari ya kujitoa na kumtumikia yy
  4. P

    Unawezaje kumudu wake wawili?

    Ni aibu kwa mtu mwe ufahamu mkubwa,kutumia akili kubwa kujibu jambo la zama za kale za mawe,pole kwa kuwa kinyumba cha pili cha mtu,endelea kujifariji kuwa kuna raha huko,maana hata mashetani kuwa motoni hujifariji kuwa ni raha,
  5. P

    Unawezaje kumudu wake wawili?

    Nonsense ni mtu wa kizazi hiki kufikilia kuwa na wake wawili wakati watu wanafikilia kwenda sayari za mbaaaali,shame on u
  6. P

    Unawezaje kumudu wake wawili?

    Tafuta limbwata,wapige wawe mazuzu,kinyume na hapo ni kujidanganya na kujifariji tu,
  7. P

    JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

    Nipo east mbezi,mwana makanga
  8. P

    Hivi Watanzania lini Mungu atatupa viongozi wenye akili?

    Km viongozi wameoza inamaana waliowachagua ndo uozo zaidi,tatizo si viongozi tatizo ni wanaowachagua
  9. P

    Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    The Tomorrow People Hivi kuna pahala ktk maelezo yng nimetetea jambo hili?,soma vizuri nililoandika soma bila kusukumwa na hasira ya huyu ndg yako kuwa mtoto wa padri,hivi kusema kuzini ni dhambi ni kumtetea?,au ulitaka tutoe matusi ndo muone tunakemea,unaongea habari ya adhabu unejuaje km...
  10. P

    Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Ni kweli mkuu,usimuamini mtu yyte zama hizi,km hata baba anazini na mwanae,hata bAba ako usimuamini hizi ni zama za uzinifu na upotofu
  11. P

    Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Padri kuzini ni kukiuka kiapo chake cha maisha ya useja,ni dhambi sawa na mwanandoa kuzini nje ya ndoa ni kinyume cha kiapo chake cha ndoa,ni dhambi,pia ni sawa na mtu yyte Anaezini, na hata mlooa au kuolewa bila ndoa ni wazinifu tu,hata ww ulozaliwa na wazazi ambao hawajafunga ndoa ww ni mtoto...
  12. P

    Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Kwa hiyo mkuu unataka kutuambia unawajua mapadri woooote kiasi unasema wote wanazini?,km kweli unawajua mpadri wote na tabiA zao dunia nzima basi unafaa kujiita nabii na fungua kanisa,hv hawa waume za watu wanaozini nao ni mapadri,punguza chuki,hakuna faida unapata kwa kusema uongo,sana sana...
  13. P

    Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    crabat Hv yule nabii wenu alo na kashfa ya kuvunja ndoa ya muimba gospel songs nae ni padri,au hajaoa?,unataka kusema hakuna wachungaji wenye wake wanaofanya uzinzi,na hakuna mashekhe tena wenye wake watatu na bado wanazini nje ya ndoa zao? Uzinzi ni tabia ya ndani ya mtu na haisababishwi na...
  14. P

    Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Wapo walojifanya matowashi kwa ajili ya mungu, Hayo ni baadhai ya mistari inayoongelea kuhusu kutooa,inakuaje useme ni agizo la kidunia,soma vzr maandiko utajua,paulo mwenyewe aliandika ni afadhari bikira akae km alivo bila kuoa,na akawasihi wanaume kuwa ni bora kutooa km yeye alivo iwapo mtu...
  15. P

    Zamaradi mketema: Naongeza tena watoto wawili

    Nakuunga mkono mdau,wabongo gunaongea sana hasa mambo ya kijinga kuliko kuongea sana katika mambo ya ukweli,kwa jinsi hali ilivo sasa hakunantofauti kati ya wanaume na wanawake,tunavaa sawa,tunaongea na kufikiri sawa,na baya zaidi tunamajungu sawa,aibu,hiki ni kizazi cha hovyo kuliko vizazi...
  16. P

    Nyerere alisingiziwa mengi sana

    Faiza foxxxxy una kipaji kikubwa sana,sema labda haujakijua au unakijua ila unakitumia pasipo stahili, Unakipaji cha ujazaji chuki kwa wavivu wa kufikiri,kipaji hiki kinafaa sana uwe mkufunzi ktk makundi ya kigaidi na kwe makundi ya wabaguzi,hii italeta ufanisi sana ktk makundi hayo nlotaja,hebu...
  17. P

    Nyerere alisingiziwa mengi sana

    Labda na mimi nikuulize swali kidogo,hivi hayo unayosema nyerere kasingiziwa ilistahili aambiwe nani unaedhani alistahili kupewa sifa hizo,
  18. P

    Ushauri: Nahitaji kununua gari ninunue lipi kati ya haya?

    Kwanza jiulize unahela ya kununua gari?,bila shaka unayo ndo maana ukasema,pili jiulize unahela ya kulimudu gari kiuendeshaji?,isije fika mahala ukaanza hadi kutumia hela ya mambo muhimu ktk kufanya gari liwe barabarani,watoto wasije punguziwa matumizi ili tu gari liwe barabarani,naamini uko...
  19. P

    Faida 10 za kupiga punyeto!!

    Jambo lolote ambalo mungu kakataza jua linamadhara makubwa hata km wataalamu wa dunia watasema linafaida,makatazo ya mungu ndo dira na salama ya afya zetu, akili na roho
Back
Top Bottom