Search results

  1. Jmujun

    Warembo wa Bukoba

    Sasa kama wazazi wako hawapendi chini wewe wamekupataje...
  2. Jmujun

    What is great thinking? Who are the great thinkers?

    Bado namuheshimu sana @Mshana_Jr siwezi kumfananisha na hao masinkers
  3. Jmujun

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Hivi ni kweli kabla umauti haujamfika alimpigia Baba simu kwamba anakufa....... Inawezekana alipewa hiyo nafasi kabla hajakaushwa au......
  4. Jmujun

    Kuna ID mlango wa nane, mapooza

    Eeeh mkuu, we acha tu naona moderators washauchoma moto....yaan jf kuna manukato ya hujuma....nilifundishwa kutolalamika na kulaumu
  5. Jmujun

    Watambue madalali wa shetani

    Husihukumu husije kuhukumiwa..... Kama Mungu hakuwatuma kufanya wanachokifanya kiberiti kipo juu yao
  6. Jmujun

    Kuna ID mlango wa nane, mapooza

    Kuna Uzi nimeutoa juzi kati, mmmh aliyeanza ni majonzi jamaa ana elements za kichawi, alichokomenti hadi wamefka 20 wanarudia kile kile najiuliza kwani wote hawakuwa na akili ya kupambanua mambo ila nimekuelewa ntakuwa Nawatag kabisa wasianze Ku komenti
  7. Jmujun

    Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Tunasema dunia hii yote watu wote ni wa Mungu ila si wote wamefanyika wana wa Mungu....
  8. Jmujun

    Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Yawezekana ni kweli lakini nachokijua Mimi kuhusu Mungu aliye hai, ni kwamba kizazi ambacho hakuwa na makusudi nacho yaan yeye wala mjukuu wa hicho kizazi hutamsikia kwenye neno lake ambalo ni mpango wake. Adamu amezaa watoto wengine baada ya Abel na Kaini lakini hawatajwi anatajwa Sethi, yes...
  9. Jmujun

    Ulimwengu wa macho ni mwepesi sana

    @Mshana_jr naomba uni tag kwa hiyo mada...Nina nguvu Fulani ya kuzalisha majawabu na ndoto zangu huwa zina tafsr halisi na huwa zinatokea....hii nguvu ni kama cijajua how to control it....Nina uwezo wa kumlazimisha MTU kufanya jambo lolote ambalo ni baya kwangu.... Kupitia hilo somo ntajitambua...
  10. Jmujun

    Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

    Ukubar ukatae, ujinyonge ujinusuru ukweli ndo huo na hakitabadirika
  11. Jmujun

    Picha ya kufikirisha weekend hii...

    Tatizo ni Media, picha tatu tofauti, kama scale za macho yako nzima utazoom vzuuur
  12. Jmujun

    Hakika Tanzania iko Dunia ya Tatu

    Hasiye Shukuru kwa kidogo katiwa laana
  13. Jmujun

    Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

    Una degree au diploma ya matusi, au unataka banning
  14. Jmujun

    Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

    Hao wote mnaowasema bado sana....kuna jamaa yaan vyote yeye ni best of the best, master of masters... Alikuwa daktari mkuu, Alikuwa hakimu mkuu, Alikuwa mwalimu kuliko, Alikuwa genius mkuu, Hakuna mtu atazaliwa awe na hata 1% ya kufanana nae....JESUS. Ni hatari
  15. Jmujun

    Ikitokea vitabu vya biblia vimeteketea vyote duniani software na hardware kuna uwezekano wa kuandikwa upya?

    Neno la Mungu li hai..... Neno la Mungu ni maji ya uzima... Neno la Mungu siraha juu ya uovu wenu...Ulimwengu utatoweka lakini neno la Mungu lipo milele na milele hata litimie..... Biblia imeitabiri quran kama kitabu cha uongo pia limetimia.... Kwa msaada wa warumi ndo uislamu husioweza kusimama...
  16. Jmujun

    Kama una 26+ Na Hujatoboa kimaisha na una Mpango wa Kuoa Fanya Hivi.!

    Jifunzie kwangu how to quote, hakuna shida
  17. Jmujun

    Kama una 26+ Na Hujatoboa kimaisha na una Mpango wa Kuoa Fanya Hivi.!

    Wazungu huwa nawaelewa sana, hasa wanaposema MARRIAGE IS FOR MEN AND WOMEN NOT FOR BOYS AND GIRLS
  18. Jmujun

    Nani amewahi kufungua jicho la tatu, ni faida gani umeipata?

    Naskitika wote waliotangulia hawajuhi hiki kitu, Jicho la tatu ni uwezo unaozalishwa na MTU kuona yasiyowezekana kwa hali ya kawaida kuwezekana, au Ni nguvu ya kuzalisha majawabu
  19. Jmujun

    Watu wengi wako Smart Nyuma ya Keyboard na wengine Kinyume Chake!

    Ukiona comment MTU anajifanya hajui ujue imemgusa moja kwa moja
  20. Jmujun

    Tunaojiandaa kuishangilia Kesho Simba SC ikicheza na Singida United tujiandae Kisaikolojia

    Kutabir si kazi ya binadamu, mungu ndiye hutabiri, hivo ni rahis kujua kama kwako yupo au VIP
Back
Top Bottom