Search results

  1. N

    DAR: Mwanafunzi UDOM anyongwa

    Yamkini yanaweza kuwa malipo ya dhambi ya Uzinzi. Ndipo tunasema mwenye ufahamu atape kufahamu ya Shamba Mungu anaposema dhambi ndani kuna mauti na uhalibifu ndo kama hivo. Rest at the place You deserve for your after life home
  2. N

    Uchambuzi wangu mfupi juu ya Lowassa kurejea CCM

    Asante kwa uchambuzi, ila Mimi Naona ameenda ili amkwamue mkwewe aliyekuwa lockup aachiwe huru. So Kuondoka kulikuwa motivated na family matters than political issues. On top of that mi naona pia uwepo wao upinzani uliwafanya watawala kuongeza mbinyo wa kuwadhibiti upinzani kwa kuwa walijua...
  3. N

    Huu Mwenge wa Uhuru unataka kufunga watu

    Jamani hivi mpaka Leo watu hatujui kuwa mwenge ni mungu sanamu wa nchi. Ni Ibaba na tambiko la kipagani la Nchi
  4. N

    Namshauri Rais afute vitambulisho vya wamachinga

    Na wewe unatakiwa uongee kwa ustarabu ungekuwa unajua principles za taxation?? Kwanza kwanini waweke flat rate. Halifu sio lazima kila mtu alipe Jodi directly kodi zingine zinatakiwa ziwe za ku encourage busineses and Investments. Mi naona hapa uchaguzi umekaribia, zinatafutwa Fedha za chama...
  5. N

    Serikali yaanza kuajiri makada wa CCM bila kuwafanyia usaili

    Kwa kweli inasikitisha sana, Ila kikubwa jua tu kuwa hayo ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali Za mitaa, si unajua lazima upinzani upotee 2020???
  6. N

    CHADEMA wamjibu Waziri Kangi Lugola kuhusu shambulio la Tundu Lissu

    The issues are not very complicated, they are very clear ,especially ukiuchunguza moyo au Nafsi ya Nchi juu ya mambo hayo
  7. N

    Lissu: Nimepata taarifa kwamba kuna mkakati unaandaliwa wa kunivua Ubunge

    Shetani Siku zote ni mjinga Na mpumbavu saana. Na ufahamu wake ulishatiwa giza na wala huo ufahamu hauoni, hausikii, kwa jumla hajitambui na wafuasi wake wapo hivyo hivyo!!! Kwasababu hiyo always he saws seed of its own destruction. Mfano kwa sisi Wakristo, shetani kupitia magent wake alidhani...
  8. N

    Iraq yaifanya Christmass kuwa siku rasmi ya mapumziko kitaifa

    Mpinga kristo atainuka na kuwatesa wafuasi wa Kristo Yesu Mwokozi wetu, je mpinga kristo ni dola la......... Litakalo tokea????? Kama ni ndiyo basi hata sasa......... Ni wapinga kristo aka wakala wa shetani
  9. N

    European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

    Yamkini na wewe umechanganyikiwa na unakichaa, Ila hujijuii kwa kuwa umekuwa westernized. Una ufahamu ila Nina wasi wasi Hufahamu kwakuwa huo ufahamu ulisha tiwa Giza wala hautaki kufahamu.
  10. N

    UN:Israel inapaswa iondoke katika miinuko ya golan haraka iwezekanavyo

    Kosa kubwa/ufahamu finyu kabila za watu wanafanya, wanaiangalia Israel kwa jicho La kisiasa Tu,lakini wangeangalia historia Na kidini wangejua mengi ikiwemo hili Zekaria:12.2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena...
  11. N

    European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

    Na Wewe achana Na huo unaouita utalaamu, ambao basically ni mitazamo iliyopandikizwa Na hao wanao shadidia ushoga. Laiti ungejua tafiti zina favour mfadhili yamkini ungetambua kuwa hata huo utaalam wako ni vapour/ ni ubatili mtupu. Wewe ndo una facts batili Kabisa tena POTOFU kuu. Yamkini we...
  12. N

    European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

    Bibilia ilishamaliza Kila kitu kuhusu ushoga Na usagaji. Angalia Warumi:1.18 Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu. Warumi:1.19 Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu...
  13. N

    Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu

    Nina wasi wasi kama unasoma biblia, walivuka Jordan ndo maji yaligawika. Walipokuwa wanavuka bahari ya Sham sanduku lilikuwa halijatengenezwa.soka Kitabu cha Kutoka agano la kale
  14. N

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Whites are very intelligent, wanatengeza vitu visivyokuwepo na kuzitwist akili za watu kuvione kama vipo huku waki- infiltrate ajenda zao like ushoga nk kwa hao watu huku akili zao zikiwa fungwa zisitambue hilo. Mungu awa rehemu.
  15. N

    Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Kama sio mvivu wa kusoma na kama unataka kuijua kweli ambayo hiyo kweli itakuweka huru kutoka kwenye hilo mbandiko lako, Soma kitabu cha Warumi utapata ufahamu.
  16. N

    Mahiga asema Tanzania haitambui Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, baada ya Ndugai kunukuliwa akisema anautambua

    [QUOTE="real G, post: Zekaria:12.1 Ufunuo wa neno la Bwana juu ya Israeli. Haya ndiyo asemayo Bwana, azitandaye mbingu, auwekaye msingi wa dunia, aiumbaye roho ya mwanadamu ndani yake. Zekaria:12.2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote...
  17. N

    Mdogo wangu alitoa laki tano kumuona prophet Frank Wa shiloh international ministry ili apokee miujiza

    Asubiri, awe na imani Mungu anajibu maombi hachelewi wala hawahi. Bwana wetu Yesu Kristo wa Nazareth alisema mmepokea bure toeni bure. Na pia neno la Mungu linasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Tafakari kabla ya kupost hapa. Japo wewe unamsema nabii lakini indirectly unamsema mdogo...
  18. N

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Raisi naye ni mwanadamu , lakini Kama Gwajima ni mtumishi wa Mungu na sisi tunaamini kuwa Mungu hukaa ndani yetu he si zaidi sana kumuamini mtumishi wa Mungu
  19. N

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Ni ajabu na vibaya mtu kutoa kauli kama hii hadharani hasa kwenye hili jukwaa. You looks you're not a critical thinker kwanini uwatuhumu watanzania wote??? Kibaya zaidi yamkini na wewe ni mtanzania kwa hiyo na wewe ni wa ajabu ndo maana umeleta post ya ajabu, Sema wewe ndo wajabu lakini sio...
  20. N

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    hata hizo unazo dai scientifically na factual pia ni fubricated. nani asiye jue kuwa studies nyingi zinakuwa fubricated kutimiza malengo ya funder? story za bible are absolutely correct?
Back
Top Bottom